Wanajamii forums. Mwenzenu maji yamenifika shingoni..nina mambo mazito sana mwenzenu. Hapa nilipo leo au kesho nabwaga manyanga. Bora niwe single ntalea kiumbe changu mwenyewe kilichopo tumboni. Kiufupi yamenishinda. Kweli nimeamini ndoa ni ndoano. Machungu kila siku jamani? Hapana nimechoka. Nishaurini ila matusi nisingependelea kwa kuwa tumetofautiana fikra. Nimeji minus kwa lolote.