Mambo ya Pwani

List ya vitu vinavyonifanya ni-miss nyumbani ni pamoja na pweza. Pale Posta Mpya, mbele ya Empire Cinema (zamani) kila jioni kulikuwa na jamaa mmoja anajua sana kuwatengeneza, alikuwa anaharibu sana bajeti yangu ya daladala.
 
hahaha hawa pweza sio mchezo unaweza maliza hela mpaka unashangaa
 
list ya vitu vinavyonifanya ni-miss nyumbani ni pamoja na pweza. Pale posta mpya, mbele ya empire cinema (zamani) kila jioni kulikuwa na jamaa mmoja anajua sana kuwatengeneza, alikuwa anaharibu sana bajeti yangu ya daladala.

hivi mkuu hii kitu ina relationship gan na tendo la ndoa
 
Sina uhakika na hilo, binafsi sijawahi kuwa na tatizo na tendo la ndoa nikiamua saa yoyote naingia uwanjani na nafanya perfomance nnavyotaka mimi.
 
Mimi msukuma hapa ntaharibu hali ya hewa
 
List ya vitu vinavyonifanya ni-miss nyumbani ni pamoja na pweza. Pale Posta Mpya, mbele ya Empire Cinema (zamani) kila jioni kulikuwa na jamaa mmoja anajua sana kuwatengeneza, alikuwa anaharibu sana bajeti yangu ya daladala.

Hahahahaha hela yote unanunulia pweza alafu unaishia kutembea na miguu sasa pweza wa kukaanga umoatie na chumvi uliotwanga pomoja na pilipili kavu weee tamu ajabu

Cc gorgeousmimi
 
Last edited by a moderator:

Ngoja nimuwekee oda lol!!na mm pweza asije nifilisi!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…