johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,000
- 142,027
Kwa kifupi tuu maalim seif,lipumba, mrema,mbatia hawawezi kurejea ccm wala kujiunga ccm ila ninajua hawa ni wana usalama ,Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.
Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?
Halafu iangalie vizuri historia ya Prof Lipumba na James Mbatia katika siasa za Tanzania. Kisha jikumbushe namna Nccr mageuzi na Cuf zilivyoasisiwa na namna mzee Mapalala rip alivyokimbizwa chamani na maalimu Seif.
Yuko wapi mzee Marando wa Nccr mageuzi aliyehamia Chadema? Je baada ya bunge kuvunjwa Joseph Selasini atabakia Chadema?...... Prof Baregu je? na Prof Safari?
Kwa kifupi ni kwamba robo karne ya Upinzani mamboleo imefikia tamati, Chadema itabaki na mzee Mtei lakini Lyatonga Mrema, mzee Cheyo, mzee Shibuda wote hawa watarejea CCM where they belong.
Kisha vipimo vitamwelekea Zitto Kabwe wa ACT wazalendo kama ni mpinzani wa kizazi kipya au ndio walewale. Ikumbukwe wakati upinzani unaasisiwa Zitto alikuwa bado ni mtoto kwa mujibu wa sheria za nchi.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu hata wewe utajiunga CCM maana hapo Ufipa mtatawanyika!Ndio vizuri mamluki wote wawe upande wa ccm ndio itakuwa rahisi kupambana nao adui aliyepo ndani ni tofauti kabisa na adui aliyepo nje.
Hizo zama zimekwisha kupita bwashee!Kwa kifupi tuu maalim seif,lipumba, mrema,mbatia hawawezi kurejea ccm wala kujiunga ccm ila ninajua hawa ni wana usalama ,
Maalim seif analinda usalama wa Zanzibar kama mpinzani
Lipumba,mbatia,mrema wanalinda usalama wa bara kama wapinzani
Uwepo wao ndani ya vyama vya upinzani una manufaa makubwa katika kulinda usalama wa nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Perfect, vibaki vyama viwli, Democrats na Republican! Takataka zote ziwe CCM wenye AKILI wawe CDM, true freedom fighters....Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.
Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?
Halafu iangalie vizuri historia ya Prof Lipumba na James Mbatia katika siasa za Tanzania. Kisha jikumbushe namna Nccr mageuzi na Cuf zilivyoasisiwa na namna mzee Mapalala rip alivyokimbizwa chamani na maalimu Seif.
Yuko wapi mzee Marando wa Nccr mageuzi aliyehamia Chadema? Je baada ya bunge kuvunjwa Joseph Selasini atabakia Chadema?...... Prof Baregu je? na Prof Safari?
Kwa kifupi ni kwamba robo karne ya Upinzani mamboleo imefikia tamati, Chadema itabaki na mzee Mtei lakini Lyatonga Mrema, mzee Cheyo, mzee Shibuda wote hawa watarejea CCM where they belong.
Kisha vipimo vitamwelekea Zitto Kabwe wa ACT wazalendo kama ni mpinzani wa kizazi kipya au ndio walewale. Ikumbukwe wakati upinzani unaasisiwa Zitto alikuwa bado ni mtoto kwa mujibu wa sheria za nchi.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
Mwanzoni mwa April bwashee!Kwaresma inaisha lini?
Chadema itabaki kuwa Chadema, wateule na wavumilivu pekee ndio watakaoingia Kaanani.Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.
Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?
Halafu iangalie vizuri historia ya Prof Lipumba na James Mbatia katika siasa za Tanzania. Kisha jikumbushe namna Nccr mageuzi na Cuf zilivyoasisiwa na namna mzee Mapalala rip alivyokimbizwa chamani na maalimu Seif.
Yuko wapi mzee Marando wa Nccr mageuzi aliyehamia Chadema? Je baada ya bunge kuvunjwa Joseph Selasini atabakia Chadema?...... Prof Baregu je? na Prof Safari?
Kwa kifupi ni kwamba robo karne ya Upinzani mamboleo imefikia tamati, Chadema itabaki na mzee Mtei lakini Lyatonga Mrema, mzee Cheyo, mzee Shibuda wote hawa watarejea CCM where they belong.
Kisha vipimo vitamwelekea Zitto Kabwe wa ACT wazalendo kama ni mpinzani wa kizazi kipya au ndio walewale. Ikumbukwe wakati upinzani unaasisiwa Zitto alikuwa bado ni mtoto kwa mujibu wa sheria za nchi.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
Inaweza kubaki CCM na ACT wazalendo bwashee lakini maalimu Seif atakuwa chama Dola!Perfect, vibaki vyama viwli, Democrats na Republican! Takataka zote ziwe CCM wenye AKILI wawe CDM, true freedom fighters....
Vipi CHADEMA bado ina moral authority ya kuongoza upinzani baada ya kununuliwa na Lowassa waliyetumia miaka minne wakimtangaza kuwa ni fisadi, list of shame, hasafishiki?Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.
Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?
Halafu iangalie vizuri historia ya Prof Lipumba na James Mbatia katika siasa za Tanzania. Kisha jikumbushe namna Nccr mageuzi na Cuf zilivyoasisiwa na namna mzee Mapalala rip alivyokimbizwa chamani na maalimu Seif.
Yuko wapi mzee Marando wa Nccr mageuzi aliyehamia Chadema? Je baada ya bunge kuvunjwa Joseph Selasini atabakia Chadema?...... Prof Baregu je? na Prof Safari?
Kwa kifupi ni kwamba robo karne ya Upinzani mamboleo imefikia tamati, Chadema itabaki na mzee Mtei lakini Lyatonga Mrema, mzee Cheyo, mzee Shibuda wote hawa watarejea CCM where they belong.
Kisha vipimo vitamwelekea Zitto Kabwe wa ACT wazalendo kama ni mpinzani wa kizazi kipya au ndio walewale. Ikumbukwe wakati upinzani unaasisiwa Zitto alikuwa bado ni mtoto kwa mujibu wa sheria za nchi.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
Kwani hilo deni liliwahi kupungua lini meku?!Je wakishajiunga na ccm deni la taifa litapungua, wanaodai pesa ya korosho watalipwa, bei ya mbaazi na pamba itatengamaa, ajira zitapatikana?
Chadema itabaki kwenye makumbusho ya mzee Mtei!Vipi CHADEMA bado ina moral authority ya kuongoza upinzani baada ya kununuliwa na Lowassa waliyetumia miaka minne wakimtangaza kuwa ni fisadi, list of shame, hasafishiki?
Kwa hilo unajidanganya.Inaweza kubaki CCM na ACT wazalendo bwashee lakini maalimu Seif atakuwa chama Dola!
Haya!Kwa hilo unajidanganya.
ndio maana nikakuuliza maana unavyofurahia labda umeelezwa kuwa wakijiung na ccm litapunguaKwani hilo deni liliwahi kupungua lini meku?!
Wewe unaumizwa sana na deni la taifa meku!ndio maana nikakuuliza maana unavyofurahia labda umeelezwa kuwa wakijiung na ccm litapungua
Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.