Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Simu janja (Smartphone)

Kabla ya kununua simu nawashauri muwe mnaingia kwenye Mitandao na kuzisoma simu mnazotaka kununua, specification zake zote ili siku ukienda dukani ikurahisishie ununuzi, mana hata muuza duka akikudanganya utaelewa na sio kukurupuka tu kwenda dukani, nilichogundua watu wengi hununua simu baada ya kupewa sifa zake na wauza duka na siyo sifa na uwezo wanaoupenda wao kwa uhitaji wao.
 
Nami ngoja nijazie,hasa kwenye teknolojia ya 4G...tafadhali sana kuwa na uhakika ama kujua masafa ambayo kampuni za simu yanatumia...namaanisha "Frequency band" kwa hakika wakati wa 3G hatukuwa tukiangalia kwa kuwa kulikuwa na masafa mengi ambayo kila simu ilikuwa inakubali kwa kila kampuni.
Kwasasa hali ni tofauti simu itakayo kuwa inafanya kazi kwenye mtandao wa Tigo wa 4G usishangae ikashindwa fanya kwa Voda 4G.hii inatokana na frequncy band tofauti.
Kingine cha kuangalia kwenye hizi smart phone hasa kwenye 4G zina matabaka kuhusu kasi gani unaweza kupakua data kwani kuna za bei nafuu hizi uwezo wake si wa kasi sana hata kama inafanya kazi kwenye 4G yenye kasi ya 150Mbps simu yako itakuwa haiendani na kasi hiyo kwakuwa uwezo wako mdogo...wamezigawa kwa "Category" 1,2,3,4,5,6....zenye "Category" kuanzia 4-6 ndio nzuri ila ni gharama...
Nikirudi upande wa masafa ukikuta simu ina masafa mengi yaani"Frequency band" na gharama yake itakuwa kubwa kidogo....
 
Vp mkuu kuhusu techno L8?
 
Katika nchi zilizoendelea ikiwa Marekani, Europe au Bara Asia sehemu kubwa simu hizi zinapotengenezewa, wanunuzi wengi huangalia "Usalama Kwanza", sio madoido au features zilizotajwa hapo juu. Maana madoido huwa yanabadilika kila siku.

Usalama wa Afya zao.
Usalama wa data zao kwenye simu.

Mfano wa Apple, wanatumia bajeti kubwa sana katika kumlinda mteja anayetumia vifaa vyao. Sheria zinatungwa Marekani. Apple wenyewe wanatengeneza hardware zao na software zao.
BlackBerry pia ilikuwa na nafasi nzuri wakati server yake ilikuwa iko Canada, mpaka ilipouzwa huko Uingereza. Sheria za kutoa siri za Mteja kwenye simu yake huko Canada zilikuwa na ugumu sana sio kama Uingereza. Ndio maana tunaona Blackberry haina umaarufu tena.

Nokia ilipouzwa kwa Microsoft, tuliona pia soko lake limeanguka.
Wataalamu wa mambo ya mawasiliano wanasema Microsoft ni sawa na "Choo cha Umma (Public Toilet)" yaani ni rahisi kunasa siri au data za mtu anayetumia Microsoft.

Tukirudi kwenye Simu ambazo zinatumia Android ya Google. Hakuna mfanya biashara yeyote maarufu ambae anaficha siri zake za kazi akatumia Android operating system. Hii pia features zake nyingi zinamuzesha mteja kuwa hadharani, watu wakaona mitandao unayoingia na shughuli kadhaa unayofanya kwenye mitandao.
Ukiwa ni mtu wa kutumia Android, jaribu sana kujifundisha jinsi ya kuzitumia "security" features, sio lazima uwe mhalifu hata kama ni malaika, bado una haki ya kuficha siri zako. Haruhusiwi jasusi yoyote kuingia kwenye simu yako mpaka apate ruhusa ya mahakama.

Kila mtu ana haki ya kuficha siri zake. Ikiwa anawasiliana na familia yake au kufanya biashara zake.

Ingawa katika hali tulipo sasa, wote ni sawa na tupo uchi mbele ya hii mitandao. Walioekeza kuchunguza data za watu wanaendelea kila siku, na watengenezaji wa simu hizi na wao pia wanajitahidi sana kuweka usalama sana na kuwazuia majasusi kupitia sheria na technolojia.

Usalama ndio faida kubwa na ndio dhamani halisi ya simu. Ndio maana Wachina wengi wamenunua simu za Apple. Simu za Apple zinategemezwa China. Lakini huwezi kuzinunulia huko. Mpaka zipelekwe Marekani na ndio zitambazwe dunia nzima zikiambatana na sheria za Kimarekani zinazomlinda mteja.

Tukirudi kwenye suala la 4G/LTE, sio sehemu zote zinakuwa na hudumu hizi. Inategemea na jinsi mitandao ilivyoekeza.
Unaweza kuwa na simu yenye LTE na usipate huduma, simu zingine hupata moto sana wakati inapodai huduma ya LTE, wakati service provider wako hana hiyo huduma sehemu ulipo.
Jaribu uwe mnazima simu na kuiwasha au kuzima Internet au uweke kweye "Auto" ili ichague LTE au 3G au E.

Pia jaribu kutafuta simu ambayo spares zinapatikana kama itahatibika, pia anagalia simu ambao ni rahisi kuiuza yani ina soko zuri kama utakuwa mtu wa kubadilisha na kuchukua mpya.

Usalama kwanza.
 
GMS imekuwa sana maarufu kwa ajili ya urahisi wake lakini CDMA ilikuwa ni teknolojia nzuri sana maana hii ilikuwa ni teknolojia ya jeshi kabla haijaingia sokoni. Na ilikuwa vigumu sana majasusi kuinasa.
 
Bila kusahau kupewa dhamana ( WARRANTY ) angalau ya miezi 12 na muuzaji, muuzaji ajicommit kwa maandishi kwenye risiti aliokupa, kisha tunza risiti yako.
 
Nimependa sana huu uzi,binafsi napenda sana kusoma habari za simu toka gsm arena maana napata update
 
View attachment 433373

View attachment 433374
1.Betri:ukubwa wa betri unatagemea na uwezo wake wa kutunza charge hivyo ukinunua smartphone hakikisha ina angalau 3000 mAH na kuendelea. Betri yenye ukubwa huu unaweza kuitumia siku nzima kwa matumizi mchanganyiko bila ya kuichagi.

2."4G/Lte".:ni uwezo wa kimtandao wa simu yako ambao unaweza kukusaidia kupakua mpaka 150M mpaka 300MB kwa sekunde na kuangalia hata "HD" au "UHD" video bila ya kukatika katika ukiwa online. Upatikanaji wa mtandao huu pia utegemea mtoa huduma.Kushindwa kwa mtoa huduma kutoa huduma hiyo kutakufanya ukose mtandao hata kama smartphone yako ina "Lte".

View attachment 433375
3."Type C USB port": Tundu la kuingizia charge na data ambalo linageuzika,tundu hili ni zuri kwa kuwa halina usumbufu wakati wa kuingiza cable, vyovyote unavyoingjza cable linakubali.

4."Quick charge 3": Ni technologia inayokusaidia kuchagi smartphone kwa haraka kwa mfano ndani ya nusu saa smartphone inaweza kuwa inakaribia kujaa.

5."Corning gorilla Glass 4 au 5": hii ni technolgia ya kufanya kioo kiwe kigumu sana na kupambana na mikwaluzo na uvunjifu wa kioo pindi smartphone inapodondoka.

6."4K Camera": ni kamera yenye uwezo wa juu wa kuchua video na picha ambazo ni angavu sana.(UHD na HD video na picha)

7.">128 GB internal memory" :uwezo wa kuhifadha data utakuwezesha kuwa na nafasi ya kutosha ya kuhifadhia data hasa 4K video na picha ambazo zinachukua nafasi kubwa.

8."Assistant": hii ni program ambayo inakusaidia kuiambia simu ikufanyie jambo au ikutafutie Taarifa fulani kwa kutumia sauti ya mdomo.Assistant ambazo zipo kwenye smartphone mbalimbali ni kama vile Siri kwenye Apple, BlackBerry assistant kwenye Blackberry 10 na Google assistant kwenye simu za Google. Mara nyingi assisstant inakuja ikiwa tayari kwenye simu lakini ni Smartphone chache zinazokuja na assisstant.

9."Fingerprint scanner (0.2 sec)": hii ni technologia inayokuwezesha kufunga na kufungua simu yako na baadhi ya applications kwenye smartphone kwa kutumia "Fingerprint" ndani ya 0.2 sekunde.
View attachment 433376

10."Operating system" (OS) mpya: ni vizuri ukanunua smartphone yenye "up to date" Os kwa kuwa watengezaji wengi wa smartphone hawafanya "Upgrade" ya OS au wanachelewa sana kufanya upgrade baada ya kununua smartphone. Kwa mfano kwa wanaopendelea simu zenye "Android Os" kwa sasa Os mpya ni Nougat (7.1).Hivyo kama unataka kufaidi Android basi ulizia smartphone ya Android yenye Os ya Nougat ina features nyingi zuri mpya.
View attachment 433377

11."RAM na Processor": hakikisha smartphone yako ina Random access memory (RAM) kuanzia 3MB na kundelea na hii itakusaidia kuendesha applications nyingi kwa wakati mmoja bila ya simu kuonyesha kuzidiwa pia hakikisha simu yako ina processor nzuri ya 2 Ghz na kuendelea ulizia simu yenye Processor za Qualcomm snapdragon 800 series ni nzuri sana au processor za Hisilicon Kirin 900 series zinafanya kazi nzuri sana.

Nawakilisha,

Article.
Mkuu hapo kwenye RAM naomba usahihisho 3 mb?
 
wakuu sorry samahanini sana aisee nna note 2 yangu imezma ghafla wakat natumia haitak kuwaka wla ukichomeka charge haionesh kama inacharge tatizo linaweza kuwa nn hasa? aisee mwnye idea naomba aniambie maana nataka kwenda kwa fund lakin sio fresh kwenda mweupe kabisa
 
Katika nchi zilizoendelea ikiwa Marekani, Europe au Bara Asia sehemu kubwa simu hizi zinapotengenezewa, wanunuzi wengi huangalia "Usalama Kwanza", sio madoido au features zilizotajwa hapo juu. Maana madoido huwa yanabadilika kila siku.

Usalama wa Afya zao.
Usalama wa data zao kwenye simu.

Mfano wa Apple, wanatumia bajeti kubwa sana katika kumlinda mteja anayetumia vifaa vyao. Sheria zinatungwa Marekani. Apple wenyewe wanatengeneza hardware zao na software zao.
BlackBerry pia ilikuwa na nafasi nzuri wakati server yake ilikuwa iko Canada, mpaka ilipouzwa huko Uingereza. Sheria za kutoa siri za Mteja kwenye simu yake huko Canada zilikuwa na ugumu sana sio kama Uingereza. Ndio maana tunaona Blackberry haina umaarufu tena.

Nokia ilipouzwa kwa Microsoft, tuliona pia soko lake limeanguka.
Wataalamu wa mambo ya mawasiliano wanasema Microsoft ni sawa na "Choo cha Umma (Public Toilet)" yaani ni rahisi kunasa siri au data za mtu anayetumia Microsoft.

Tukirudi kwenye Simu ambazo zinatumia Android ya Google. Hakuna mfanya biashara yeyote maarufu ambae anaficha siri zake za kazi akatumia Android operating system. Hii pia features zake nyingi zinamuzesha mteja kuwa hadharani, watu wakaona mitandao unayoingia na shughuli kadhaa unayofanya kwenye mitandao.
Ukiwa ni mtu wa kutumia Android, jaribu sana kujifundisha jinsi ya kuzitumia "security" features, sio lazima uwe mhalifu hata kama ni malaika, bado una haki ya kuficha siri zako. Haruhusiwi jasusi yoyote kuingia kwenye simu yako mpaka apate ruhusa ya mahakama.

Kila mtu ana haki ya kuficha siri zake. Ikiwa anawasiliana na familia yake au kufanya biashara zake.

Ingawa katika hali tulipo sasa, wote ni sawa na tupo uchi mbele ya hii mitandao. Walioekeza kuchunguza data za watu wanaendelea kila siku, na watengenezaji wa simu hizi na wao pia wanajitahidi sana kuweka usalama sana na kuwazuia majasusi kupitia sheria na technolojia.

Usalama ndio faida kubwa na ndio dhamani halisi ya simu. Ndio maana Wachina wengi wamenunua simu za Apple. Simu za Apple zinategemezwa China. Lakini huwezi kuzinunulia huko. Mpaka zipelekwe Marekani na ndio zitambazwe dunia nzima zikiambatana na sheria za Kimarekani zinazomlinda mteja.

Tukirudi kwenye suala la 4G/LTE, sio sehemu zote zinakuwa na hudumu hizi. Inategemea na jinsi mitandao ilivyoekeza.
Unaweza kuwa na simu yenye LTE na usipate huduma, simu zingine hupata moto sana wakati inapodai huduma ya LTE, wakati service provider wako hana hiyo huduma sehemu ulipo.
Jaribu uwe mnazima simu na kuiwasha au kuzima Internet au uweke kweye "Auto" ili ichague LTE au 3G au E.

Pia jaribu kutafuta simu ambayo spares zinapatikana kama itahatibika, pia anagalia simu ambao ni rahisi kuiuza yani ina soko zuri kama utakuwa mtu wa kubadilisha na kuchukua mpya.

Usalama kwanza.
Shukrani sana kwa somo,nimejifunza mengi..naomba nipe ushauri wa kununua HTC phone
 
Kabla ya kununua simu nawashauri muwe mnaingia kwenye Mitandao na kuzisoma simu mnazotaka kununua, specification zake zote ili siku ukienda dukani ikurahisishie ununuzi, mana hata muuza duka akikudanganya utaelewa na sio kukurupuka tu kwenda dukani, nilichogundua watu wengi hununua simu baada ya kupewa sifa zake na wauza duka na siyo sifa na uwezo wanaoupenda wao kwa uhitaji wao.
Pia tembelea Forums – SMARTPHONES TANZANIA Ili kukutana na maoni mbalimbali ya watumiaji wa simu iliuweze kufanya maamuz sahii Pia kuuliza swali lolote
 
View attachment 433373

View attachment 433374
1.Betri:ukubwa wa betri unatagemea na uwezo wake wa kutunza charge hivyo ukinunua smartphone hakikisha ina angalau 3000 mAH na kuendelea. Betri yenye ukubwa huu unaweza kuitumia siku nzima kwa matumizi mchanganyiko bila ya kuichagi.

2."4G/Lte".:ni uwezo wa kimtandao wa simu yako ambao unaweza kukusaidia kupakua mpaka 150M mpaka 300MB kwa sekunde na kuangalia hata "HD" au "UHD" video bila ya kukatika katika ukiwa online. Upatikanaji wa mtandao huu pia utegemea mtoa huduma.Kushindwa kwa mtoa huduma kutoa huduma hiyo kutakufanya ukose mtandao hata kama smartphone yako ina "Lte".

View attachment 433375
3."Type C USB port": Tundu la kuingizia charge na data ambalo linageuzika,tundu hili ni zuri kwa kuwa halina usumbufu wakati wa kuingiza cable, vyovyote unavyoingjza cable linakubali.

4."Quick charge 3": Ni technologia inayokusaidia kuchagi smartphone kwa haraka kwa mfano ndani ya nusu saa smartphone inaweza kuwa inakaribia kujaa.

5."Corning gorilla Glass 4 au 5": hii ni technolgia ya kufanya kioo kiwe kigumu sana na kupambana na mikwaluzo na uvunjifu wa kioo pindi smartphone inapodondoka.

6."4K Camera": ni kamera yenye uwezo wa juu wa kuchua video na picha ambazo ni angavu sana.(UHD na HD video na picha)

7.">128 GB internal memory" :uwezo wa kuhifadha data utakuwezesha kuwa na nafasi ya kutosha ya kuhifadhia data hasa 4K video na picha ambazo zinachukua nafasi kubwa.

8."Assistant": hii ni program ambayo inakusaidia kuiambia simu ikufanyie jambo au ikutafutie Taarifa fulani kwa kutumia sauti ya mdomo.Assistant ambazo zipo kwenye smartphone mbalimbali ni kama vile Siri kwenye Apple, BlackBerry assistant kwenye Blackberry 10 na Google assistant kwenye simu za Google. Mara nyingi assisstant inakuja ikiwa tayari kwenye simu lakini ni Smartphone chache zinazokuja na assisstant.

9."Fingerprint scanner (0.2 sec)": hii ni technologia inayokuwezesha kufunga na kufungua simu yako na baadhi ya applications kwenye smartphone kwa kutumia "Fingerprint" ndani ya 0.2 sekunde.
View attachment 433376

10."Operating system" (OS) mpya: ni vizuri ukanunua smartphone yenye "up to date" Os kwa kuwa watengezaji wengi wa smartphone hawafanya "Upgrade" ya OS au wanachelewa sana kufanya upgrade baada ya kununua smartphone. Kwa mfano kwa wanaopendelea simu zenye "Android Os" kwa sasa Os mpya ni Nougat (7.1).Hivyo kama unataka kufaidi Android basi ulizia smartphone ya Android yenye Os ya Nougat ina features nyingi zuri mpya.
View attachment 433377

11."RAM na Processor": hakikisha smartphone yako ina Random access memory (RAM) kuanzia 3MB na kundelea na hii itakusaidia kuendesha applications nyingi kwa wakati mmoja bila ya simu kuonyesha kuzidiwa pia hakikisha simu yako ina processor nzuri ya 2 Ghz na kuendelea ulizia simu yenye Processor za Qualcomm snapdragon 800 series ni nzuri sana au processor za Hisilicon Kirin 900 series zinafanya kazi nzuri sana.

Nawakilisha,

Article.
Mkuu mie nae taka kununua simu kwaajiri ya kupiga na kupokea, SMS, na ku browse email kidogo niangalie yote hayo??
 
Ni vitu gan vya kuzingatia kabla ya kanunua cm janja?Mara nyingi huwa nakurupuka tu.
 
Nilinunua Simu Aina ya Tecno Povouir Air 2.. hii Simu niliangalia camera na Inavyong'ara kwa nje napenda rangi ya blue..ndo ilinivutua kununua hii simu.

Sina ujuzi wa Mambo ya Simu.

Lakini Ni Simu nimeichukia Sana ..YouTube Siwezi kusoma comments..inatumia YouTube Go.

Camera Yake mtoto ali uninstall...camera za kudownload ziko slow hazina quality na zimejaa matangazo.

Japo Ina kaa na charge..hili Ni positive
Namengine mengi sijayapenda..

Je, kwenye kununua smartphone vitu vya kuangalia Ni vipi ili nipate Simu ya ubora...budget laki3... Sina uwezo zaidi ya Huo.
 
Back
Top Bottom