Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Simu janja (Smartphone)

Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Simu janja (Smartphone)

Darasa Tamuuuuu Kweli Nimelipenda
 
Laiti mngeionja Sony Z3 aisee! Hayo mnayoongea hapa
 
Barikiwa kwa taarifa itatusaidia

1431851958607.jpg
 
Dogo kuna hii simu screen kubwa aina ya vodafone vodashop inauzwa laki na themanini, nijitose au ninunue huawei. Mbona TECNO hujaitaja inaaminika ?

Mjomba hiyo ni vodafone tablet,nnazo used from southafrica nazgonga kwa 150
 
Naomba wataalam wa mambo hayo mnipe status ya kisimu changu mimi niko wapi hapo SUMSUNG J1
 
Mtataja simu zoote lakini toleo lolote la HTC kuanzia 2GB RAM ni moto wa kuotea mbali. Kwanza touch yake tu vidole vinaburudika.
 
Shukrani kwa kutupanua wigo wa uekewa! mkuu mi nina samsung galaxy lakini namna ya kuangalia Mambo uliyo yataja nashindwa. Hebu endelea kunipa msaada.

Settings > About Phone > System Update
 
Dogo kuna hii simu screen kubwa aina ya vodafone vodashop inauzwa laki na themanini, nijitose au ninunue huawei. Mbona TECNO hujaitaja inaaminika ?

Nimeweka mfano tu
 
Asante hapo kwenye RAM umenifunza kitu mkuu, kuna simu nilitaka kuiacha simply ina RAM ya 1GB, kumbe nitainunua sasa

Ila nina swali kuhusiana na hizi Apps: hivi
unavyokuwa nazo nyingi hazitumalizie hizi zetu za internet?? nikiwa namaanisha zinakuwa updated kila wakati mobile data inapokuwa ON

Mkuu,

Zikiwa ON matumizi ya data yanaongezeka.
 
Mi nimenunua HTC kubwa ila sijui jina inaitwaje nisaidie Mkuu maana
 
Back
Top Bottom