Tumwandalie nguo za kufua wikiendi hiiUmeacha Kuondoa Kitambi Tena Upo Kwenye Simu
MkuuNgoja niandae nguo za wikiendi za kufua
Ana Laki Tatu Anaweza Kupata, Kumbuka Mleta Mada Ana Mambo Mengi Sana. Anataka Apunguze Mwili Awe ModoTafuta Samsung matoleo ya A hautajuta
[emoji3][emoji3][emoji3]...najuta Bora ningeenda kuomba USHAURI kwa Dr Ndondi .. NimekomaUmeacha Kuondoa Kitambi Tena Upo Kwenye Simu
Mkuu...mbona unanisumbua .huku natafuta simu .hayo Mambo yakupungua kilo nimeyaacha huko huko..Ana Laki Tatu Anaweza Kupata, Kumbuka Mleta Mada Ana Mambo Mengi Sana. Anataka Apunguze Mwili Awe Modo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Aisee mpo vizuri Sana.Tumwandalie nguo za kufua wikiendi hii
AsanteTafuta Samsung matoleo ya A hautajuta
Asante sanasimu za watu wasiojua mambo mengi ni samsung A series.
hizi simu kuanzia a10 kiendelea ni simj ambazo hiwezi jutia maamuzi kama wewe.andaa laki 3 ukajichagulie moja huko.
ukitaka kununua usisite kuja dukani kwetu kariakoo mtaa wa aggrey. Tutakupa punguzo la bei na kukuingizia app zote unazotaka bure kabisaAsante sana
Tatizo zimeadimika mno.madukani wengi hawana sikuhizi.sijui wapi zilipo tenaChukua samsung A10 na kuendelea zko poa
Nenda shop ukachue mpya kwa hyo 3k utapata na warranty ya mwaka 1 endapo itaharibika utatengenezewa bureee
Camera iko poa na mengine mengi tu..
Mdogo wangu anayo hiyo simu kuna siku alinipga picha usiku,,
Picha ilikuwa natural kabisa
Nikaikubali tokea siku hyo.
Hilo nalo ni tatizo.Tatizo zimeadimika mno.madukani wengi hawana sikuhizi.sijui wapi zilipo tena
Ukitka mzeiya nikuunge na mchina mmoja anaitwa fei fei kisha uinjoy maisha anauza model nying sanaHilo nalo ni tatizo.
Watakwambia zile hazipo kuna hizi toleo jipya
Scan code hio we chart nikupe seller wa maanaUkitka mzeiya nikuunge na mchina mmoja anaitwa fei fei kisha uinjoy maisha anauza model nying sana
Asante mkuu,Ukitka mzeiya nikuunge na mchina mmoja anaitwa fei fei kisha uinjoy maisha anauza model nying sana
Hvi samsung zipo vzuri kama iphone?Tafuta Samsung matoleo ya A hautajuta