Mambo ya kuyaepuka kwenye gear box ya Automatic

Kutoka D kuja kwenye hizo 2 na L maana yake ni unatoka gearkubwa kuja gear ndogo. Kama upo katika speed kubwa ukibadili kuja 2 au L ni majanga na utakuwa unasaga vitu. Kama upo kwenye speed ndogo haina shida.

Pia kuna watu wanatumia 2 na L kama engine brake. Hiyo ni very risk.
Nimekupata...japo umeibua swali lingine...bado nirudi kwenye maeneo ya milimani...kipi kizuri...kutumia break moja kwa moja au kutumia engine breaking...L na 2?
 
HAPO SHIDA NI GEAR BOX YAKO NI CHAIN NA IMEKUFA KWA KUWEKA OIL AMBAYO SIO SAHIHI NDIO HUO MSTUKO UNATOKEA, MM IMENIKUTA HIYO NA NIMEFUNGUA NIMEKUTA GEAR BOX CHAIN IMEKATA KABISA, SHIDA NI OIL HAPO HUTUMII RECOMMENDED OIL
 
Kama unaona utatembea speed ndogo basi unaweza kutumia 2 au L ila ukishaanza kuongeza tu speed utaona rpm inapanda tu maana haitaweza kujiongeza kwenda higher gears kwenye L na 2.
 
HAPO SHIDA NI GEAR BOX YAKO NI CHAIN NA IMEKUFA KWA KUWEKA OIL AMBAYO SIO SAHIHI NDIO HUO MSTUKO UNATOKEA, MM IMENIKUTA HIYO NA NIMEFUNGUA NIMEKUTA GEAR BOX CHAIN IMEKATA KABISA, SHIDA NI OIL HAPO HUTUMII RECOMMENDED OIL

Hapo unamislead watu. Gearbox ambazo zina mkanda ndani ni CVT pekee ambazo mtumiaji wake mkubwa ni Nissan na Subaru.

Kwenye toyota unakutana na convetional gearboxes wakati kwenye gari kama VW unakutana na gearbox ambazo ni Duo clutch.

Na kukata huo mkanda huwa si rahisi hasa kwenye CVT ya subaru. Labda Nissani.
 
Na ndio maana hakuna sehemu nimetaja forward gear yoyote maana hizo ndio huwa zinabadilika automatic.

Mfano wa gear ambazo hazibadiliki automatic ni kutoka D kuja R, D kuja 2, D kuja L n.k. Hapa ndio hasa napaongelea.
 
Hapana; Still kuna mazingira ambayo unaweza shift from D to L2 0r L kuendana na speed uliyopo!naomba uzingatie hilo.
 
Hapana;Still kuna mazingira ambayo unaweza shift from D to L2 0r L kuendana na speed uliyopo!naomba uzingatie hilo.
And I have been doing it for number of times without problems and its advisable! L or L2 Ina speed range yake.ex.L2 Ina speed range up to 40km/hr in some cars-therefore ukiwa kwenye speed range ya up to 40km/hr unaweza shift from D to L2
 
Huwa natumia L kupanda milima mikali, kwenye matope na mchanga.

Zaidi ya hapo sijawahi itumia.
 
Hapana;Still kuna mazingira ambayo unaweza shift from D to L2 0r L kuendana na speed uliyopo!naomba uzingatie hilo.

Kuna post yangu nimelizungumzia hilo suala la speed.

Yes unaweza kubadili katika low speed Ila siyo upo 80kph halafu unatia 2 au L hapo utakuwa umedownshift pakubwa sana na lazima tu utapata majanga siku za mbeleni. Au unakuta kuna mwingine anataka kuitumia kama engine brake. Hii si sawa.
 
And I have been doing it for number of times without problems and its advisable! L or L2 Ina speed range yake.ex.L2 Ina speed range up to 40km/hr in some cars-therefore ukiwa kwenye speed range ya up to 40km/hr unaweza shift from D to L2

At least ww unaconsider suala la speed.
 
Back
Top Bottom