JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,835
- Thread starter
- #81
Sijawahi kutumia gear nyingine zaidi ya D, na fail wapi?
Hahah... Haufail popote mkuu....
Sijawahi kutumia gear nyingine zaidi ya D, na fail wapi?
Nimeliamini gari linibadilishie gear linapoona inafaa, sasa makosa yangu ni yepi?[emoji848]Hahah... Haufail popote mkuu....
Nimeliamini gari linibadilishie gear linapoona inafaa, sasa makosa yangu ni yepi?[emoji848]
Habari mkuu, gari yangu aina ya vitz old model nikiliwasha nikiingiza gear D halichanganyi kuondoka hapo hapo ina delay kama sekunde kadhaa ndio inakubali hata ukikanyaga mafuta haliondoki ukilazimisha kukanyaga zaidi mafuta linafanya kushtuka sana...
Hapa labda ni baina ya D na R. Ila kuanzia L kwenda D, sijaona tatizo, mana kuna kipindi flani ivi nilikuwa niko moto kwenye mambo ya kwenda mbio, naweka L navuta mpaka 60 naweka 2 navuta mpaka 120, naweka 3 navuta mpaka 180, naweka D inaendelea mbele tu.4. Usibadili gear gari inapokuwa inatembea
Gearbox za automatic huwa zinakuwa na bands za clutches. Kutegemeana na aina gearbox unaweza kukuta gearbox ina hata bands 8 za clutches. Kila band huwa inakuwa na lock pin. Hivyo kama unabadili gear huku gari inatembea inaweza kupelekea lock pin kuhama kwenye njia yake au hata kuvunjika. Hili likitokea inaweza kupelekea gearbox yako kukosa gear kabisa au kupata gear fulani kwa shida.
Hapa labda ni baina ya D na R. Ila kuanzia L kwenda D, sijaona tatizo, mana kuna kipindi flani ivi nilikuwa niko moto kwenye mambo ya kwenda mbio, naweka L navuta mpaka 60 naweka 2 navuta mpaka 120, naweka 3 navuta mpaka 180, naweka D inaendelea mbele tu. Sikuwahi kupata tatizo kwenye gearbox hadi leo hii, na hio ni miaka kama 5 nyuma iliopita kitendo ambacho nlikuwa nafanya karibia mara nne kwa wiki kwa miaka miwili mfululizo.
Anyway labda kuna kitu sijakiweka sawa kwenyw maelezo yangu.
Hizi gear yaani L, 2 na 3 zina limit zake za speed. Na changamoto kubwa ambayo inaweza kuharibu gearbox ipo wakati wa kupunguza gear. Kama upo kwenye max speed ya namba 3 na ghafla ukashift kurudi 2 au L bila kupunguza speed, Haitakuchukua muda utanunua gearbox nyingine.
Siku moja sijui ata nlikuwa na mawazo gani, nimeingia kwenye gari, ile napiga starter tu sikusubiri ata iwake nikajikuta nishaweka D, ah nikaweka neutral nikawasha tena, nikaondoka zangu nipo kwenye 20km/hr ivi mkono nilikuwa nimeuweka kwenye gear knob kwa bahati nikajikuta nimeipush mbele mpaka kwenye reverse, ebana we ule mshtuko nlouhisi apo kwenye engine na gearbox yani sikuchelewa kuirudisha D afu kusimama na kuanza kujaribu gear zote kama zinabadilika bado au zote zishakuwa Neutral!...
Umezingatia ushauriMimi hunitokea sana wakati nageuza gari...ninakuwa kwenye D nanyunyiza break kwa mbali na R gear inaingia vizuri tu ingawa kuna mlio fulani usiokuwa wa kawaida husikika na gari hustuka na kuanza kurudi nyuma as if hakuna uharibifu lakini baada ya kujisomea tabia hiyo nimekoma
Nilishafanya hvyo kwenye mlima mkali shaft ya kulia ikakatikia kule kwenye cv joint, ndo nikajifunza kuanzia siku hyo gari ikiwa inatembe hasa ikiwa inatumia nguvu kubwa sitakiwi kushift gear, maana nilizoeaga sana hako kamchezo kakupanda na D kwenye mlima halafu nikiona kama inataka kushindwa natupia 2.Hata ukitoka D kuja 2, 3 n.k. kama gari inatembea. ni majanga. Gearbox automatic ni kama mayai tu...
Japo ukiitunza inakaa
Nilishafanya hvyo kwenye mlima mkali shaft ya kulia ikakatikia kule kwenye cv joint, ndo nikajifunza kuanzia siku hyo gari ikiwa inatembe hasa ikiwa inatumia nguvu kubwa sitakiwi kushift gear, maana nilizoeaga sana hako kamchezo kakupanda na D kwenye mlima halafu nikiona kama inataka kushindwa natupia 2.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwendo haukuwa mkali ila mlima ndo ulikuwa mkali sana plus ubovu wa njia na nilikuwa na watu ndani ya gari.Aiseew pole... Inaonekana ulikuwa mwendo mkali.
Maisha yangu yote, sijawahi kuendesha gari automatic, nijuavyo mimi ni kuwa automatic ukishaweka D ni unakajaga mafuta tu,
Naomba unifafanulie hapo uliposema kuwa "usibadili gia,gari inapokuwa inatembea umenichanganya kidogo mkuu"
Maelezo tafadhali.
Umechanganya, mtoa mada hazungumzii Bodaboda, yeye anaelezea gari. POLE!Maisha yangu yote, sijawahi kuendesha gari automatic, nijuavyo mimi ni kuwa automatic ukishaweka D ni unakajaga mafuta tu,
Naomba unifafanulie hapo uliposema kuwa "usibadili gia,gari inapokuwa inatembea umenichanganya kidogo mkuu"
Maelezo tafadhali.
Na ukumbuke ukiweka N bila kugusa brake gari ina move kulingana na uelekeo wa barabara kama ina kimteremko hivyo swala la brake kwenye folen haliepukik vinginevyo buti za wenzio zitakuwa halali yako au labda pawe tambararw kabisa kwamba hata ukiweka N Gari ibaki hapo hapoHuwa natumia N kwenye foleni kali au kwenye mataa.
Kukanyaga break muda wote inachosha.