Mambo ya kuyaepuka kwenye gear box ya Automatic

Mambo ya kuyaepuka kwenye gear box ya Automatic

Kuna post yangu nimelizungumzia hilo suala la speed.

Yes unaweza kubadili katika low speed Ila siyo upo 80kph halafu unatia 2 au L hapo utakuwa umedownshift pakubwa sana na lazima tu utapata majanga siku za mbeleni. Au unakuta kuna mwingine anataka kuitumia kama engine brake. Hii si sawa.
Ila kutumia O/D Off hapo vipi? Maana mie nikitaka overatake on highway speeds lazma nifanye O/D Off kisha narudisha ON!

Gari inavuma ikirudi gear ya 3, ila nikiiwasha gear zinaenda 4-5 chap na wepesi unaongezeka maradufu sambamba na speed naikata gari kama imesimama.
 
View attachment 1522727
Nimejaribu kuweka baadhi ya vitu vichache ambavyo huenda watu wanavifanya na vinaleta shida. Natambua kwamba vipo vingi ila nimeandika vichache tu. Kama kuna mtu anaweza kuongezea, karibu.

Okay sasa tuendelee,

1. Usiwashe gari na kuanza kupiga resi
Ukiwasha gari yako ni vizuri kuiacha ifikie joto lake kabla ya kuanza kuresi. Pia kama unaondoka ni vizuri ukakanyaga accelerator taratibu, Kama utakanyaga kwa nguvu unaweza kufanya clutch bands kwenye gearbox yako kuisha haraka na hivyo gearbox yako haitaishi maisha marefu...
Nichangie na mimi Pointi namba 3.... Nimewahi kuona spear tire imeandikwa kuwa isitumike zaidi ya umbali wa 60km, aina ya gari ilikuwa ni hizi minicars zenye 660cc.
 
Mwaka 2013 brake pads za mbele zilishawahi kunichomokea hapo kitonga sema nlikua nalamilia mteremko, nikichofuata ni kuzama shambani kwa mtu ndio ilika pona yangu na abiria wangu
Pole sana mkuu, hahaha najaribu ku imagine unatia mguu kati halafu hamna kitu! Hahahah kuingia shamba haikwepeki 😂😂😂😂😂 breki mgomba!
 
Pole sana mkuu, hahaha najaribu ku imagine unatia mguu kati halafu hamna kitu! Hahahah kuingia shamba haikwepeki 😂😂😂😂😂 breki mgomba!
natia mguu kati naona moshi unatoka mbele kube mafuta ya brake yanaingia kwenye brake disc ya moto ilikua kimbembe nliwasha hazard na full light na natembea na honi hadi naingia shambani 😀 😀
 
Unamaanisha aondoe mguu kwenye accelerator ?Unamaanisha nini wakati gari inatembea. Husisha jibu lako na pedals ndo utaeleweka zaidi.

Mimi hunitokea sana wakati nageuza gari...ninakuwa kwenye D nanyunyiza break kwa mbali na R gear inaingia vizuri tu ingawa kuna mlio fulani usiokuwa wa kawaida husikika na gari hustuka na kuanza kurudi nyuma as if hakuna uharibifu lakini baada ya kujisomea tabia hiyo nimekoma
 
Unamaanisha aondoe mguu kwenye accelerator ?Unamaanisha nini wakati gari inatembea. Husisha jibu lako na pedals ndo utaeleweka zaidi.

Siyo tu uondoe mguu kwenye accelerator. Unatakiwa ukanyage brake kabisa. Kwa sababu kuna gari hata ukiondoa mguu kwenye accelerator bado inatembea...
 
Mimi hunitokea sana wakati nageuza gari...ninakuwa kwenye D nanyunyiza break kwa mbali na R gear inaingia vizuri tu ingawa kuna mlio fulani usiokuwa wa kawaida husikika na gari hustuka na kuanza kurudi nyuma as if hakuna uharibifu lakini baada ya kujisomea tabia hiyo nimekoma

Ni bora uache mapema... kwa maana utakuja kuingia gharama kwenye gearbox wakati gearbox yako labda ingekaa muda mrefu...
 
Ila kutumia O/D Off hapo vipi? Maana mie nikitaka overatake on highway speeds lazma nifanye O/D Off kisha narudisha ON!

Gari inavuma ikirudi gear ya 3, ila nikiiwasha gear zinaenda 4-5 chap na wepesi unaongezeka maradufu sambamba na speed naikata gari kama imesimama.

O/D iache tu ON mkuu wala hakuna ulazima wowote wa kuizima. Na wala haina athari yoyote...
 
Nichangie na mimi Pointi namba 3.... Nimewahi kuona spear tire imeandikwa kuwa isitumike zaidi ya umbali wa 60km, aina ya gari ilikuwa ni hizi minicars zenye 660cc.

Unajua kikawaida kila unapobadili tairi za gari yako inatakiwa ufanye wheel alignment.

Ndio maana hiyo spea tairi wameandika usiendeshe zaidi ya 60km sababu wengi hufunga tu na kuanza kuendesha.
 
Mwaka 2013 brake pads za mbele zilishawahi kunichomokea hapo kitonga sema nlikua namamizia mteremko, nikichofuata ni kuzama shambani kwa mtu ndio ilikua pona pona yangu na abiria wangu

Aiseee pole sana mkuu....
 
Siyo tu uondoe mguu kwenye accelerator. Unatakiwa ukanyage brake kabisa. Kwa sababu kuna gari hata ukiondoa mguu kwenye accelerator bado inatembea...
Ndiyo hivyo,Gari zote ukitowa mguu kwenye accelerator hazisimami bali kasi inapungua tu maana kunakuwa bado na Kinetic Energy. Ili gari isimame lazima ukanyage break.ila unapokuwausikanyage unashuka galope kali usikanyage break continousily.
 
kwanini usikanyage breki continuiusly?
 
Kuna gari nyingne zina herufi B .. nayo ina kazi gani? Ni kama L au?

B ina maana ya Brake. Yaani itatumika kama engine brake wakati unashuka mteremkoni, itaongeza drag kwenye engine hivyo engine haitakuwa kama ipo free...

Pia itakusaidia kwenye kupunguza matumizi ya brake. Hivyo brake zako hazitaisha haraka. Japo nayo ni gear ndogo kama tu ilivo L
 
Back
Top Bottom