Mambo Ya Kurushiana Mito...!!!!

Mambo Ya Kurushiana Mito...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
Za muchana? How's the weekend? Huku kwetu mpigi magoe ni kwema tu.
Sasa wakuu, kitu kimoja. Nimekua nikiona kwenye movies katika romantic scenes na hata kwenye some of the music videos hii kitu ya kurushiana/kupigana na mito. Aisee sijawahi kujua mizuka yake jamani maana nikijicheck mtu mzima na ndevu zangu za shaba kama mkuu kabanga leo hii nikae sebuleni narusha mito kama mtoto mdogo duuh naona ni ngumu kidogoo. So hivi hua huo mchezo una enhance romantic mood au vp? Daah, mambo ya vijana haya, mambo ya ma smartphonga ma digitali nini, haya bwana.
Mchana mwema waungwana!
 
Last edited by a moderator:
hayo mambo yanatokeaga automatically samtymz mnaweza kurushiana hata mawe.... ni mood tu mkuu.
 
Ungeweka na picha ingependeza sana
 
Attachments

  • pillow.jpg
    pillow.jpg
    40.5 KB · Views: 143
nimecheka! 'mtu mzima na ndevu zako....! huwa hawapangi kwamba sasa tuanze kurushiana mito. labda na type ya mkeo wote mmekutana hamuwez, ila ww mwenyewe ungejistukia unaurusha! hapo ndo ungejua kama una ndevu ama la!
 
Hahah itabidi nijaribu siku moja mkuu!
 
Hayo ni ya kwenye movie tu, ktk hali halisi hakuna upuuzi kama huo....
.
 
Hahah itabidi nijaribu siku moja mkuu!

ndugu yangu donlucchese haya mambo sio yakupanga na pia sio kila mwenzi wako mwaweza kurushiana. kurushiana mito.

hii inategemea sana mazingira mliyopo na pia ukaribu na mwenzio maana unawrza kuwa na mupenzi na hamko kirafiki hapo kurushiana mipillow itakuwa ngumu. lakini mkiwa na urafiki kati yenu mbona raha... au waonaje farkhina
 
umenena vema
 
hayo mawe ya aina gani wewe binti..?

mawe mkuu ama hata tofali ikibidi....
hii inarahisisha mood ya mwenzio kwenye huu mchezo kwani ni lazima akurudishie nawe unarudisha.... ukimrushia mto anaweza asirudishe af ukajishtukia mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom