Mambo ya KUNDU...... CHI

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
.
IMG_20190626_165702_587.jpeg
View attachment 1139189
 
Attachments

  • IMG_20190626_165702_588.jpeg
    IMG_20190626_165702_588.jpeg
    114.7 KB · Views: 61
Tangu jumatatu nna hamu ya samaki ila sijapata wasaa wa kumtengeneza. Napenda samaki nimkaange mwenyewe najipimia chumvi na ndimu.

Changu wa blue na wekundu ni watamu haooo....

Ngoja nipange safari ya Cape Town aka beach Matata.
 
Mambo yote Dada ila kuna wale dagaa tunawaita uono hua wanakaangwa wanawauza kwa mafungu aisee ni balaa. Hua nawanunua hats wa buku 5 natafuna tu kwenye foleni njiani

Nawapenda wale fresh, wanakaangwa halafu unapata Ugali,mlenda Wa bamia na mtindi, my favorite.
 
Back
Top Bottom