Misiri na Israeli kimenuka Vibaya mno

Misiri na Israeli kimenuka Vibaya mno

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,547
Reaction score
14,209
Wanajeshi watatu wa Israeli wameuwa kwa kupigwa risasi na Wamajeshi wa Misiri na kupelekea wasiwasi mkubwa sana wa hizo chi kukinukisha vibaya. Wote ni washirika wa Marekani sasa tungoje tuone
Screenshot_20230604_133344_com.facebook.katana.jpg
 
Kama vita ya Ukraine na Russia imefanya bei ya Petrol na Dizeli kufika shilingi 3,437/Lita.

Hiyo Vita ya Egypt na Israel si itafanya bidhaa hizo kuuzwa 5,099 kabisa🙆
 
Wamisri nao watawaruhusu Mayahudi waue askari wao.9
 
BBC nao wamekurupuka!?..
habari kamili ni kuwa magaidi ndo walileta purukushani na wala sio wanajeshi wa pande mbili. BBC ni nani? si watu tuu kama wewe na mimi hivyo hata wao wamekurupuka. sasas hivi pande zote mbili wameweka tower kubwa sana za satelite kumonitor mpakani.
 
Wewe una wawakilishi na vyanzo vya habari dunia nzima Kama BBC!?..hapo wanafunika kombe tu maana hakuna kitachofanyika
 
Back
Top Bottom