Mambo ya KUNDU...... CHI

Mambo ya KUNDU...... CHI

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
.
IMG_20190626_165702_587.jpeg
View attachment 1139189
 

Attachments

  • IMG_20190626_165702_588.jpeg
    IMG_20190626_165702_588.jpeg
    114.7 KB · Views: 73
Sesten Zakazaka njoo unipe majina ya hawa Samaki mana mi nimeambulia kuwajua Tasi na wale C h a n g u tu hapo. 😀😀😀
Naona mambo ya Kundu.chi...hayo Shadeeya
Wapajua huko? Majina ya samaki kuna kolekole, changu, pweza, ngisi, jodari,nguru papa, pono, tasi,chuchunge na majina mengine uje kule nikifundishe😃😃😃
 
Tangu jumatatu nna hamu ya samaki ila sijapata wasaa wa kumtengeneza. Napenda samaki nimkaange mwenyewe najipimia chumvi na ndimu.

Changu wa blue na wekundu ni watamu haooo....

Ngoja nipange safari ya Cape Town aka beach Matata.
 
Naona mambo ya Kundu.chi...hayo Shadeeya
Wapajua huko? Majina ya samaki kuna kolekole, changu, pweza, ngisi, jodari,nguru papa, pono, tasi,chuchunge na majina mengine uje kule nikifundishe[emoji2][emoji2][emoji2]
Yule samaki mwenye miba mingi anayepewa mtoto wa kambo anaitwaje ??
 
Mambo yote Dada ila kuna wale dagaa tunawaita uono hua wanakaangwa wanawauza kwa mafungu aisee ni balaa. Hua nawanunua hats wa buku 5 natafuna tu kwenye foleni njiani
Tangu jumatatu nna hamu ya samaki ila sijapata wasaa wa kumtengeneza. Napenda samaki nimkaange mwenyewe najipimia chumvi na ndimu.

Changu wa blue na wekundu ni watamu haooo....

Ngoja nipange safari ya Cape Town aka beach Matata.
 
Naona mambo ya Kundu.chi...hayo Shadeeya
Wapajua huko? Majina ya samaki kuna kolekole, changu, pweza, ngisi, jodari,nguru papa, pono, tasi,chuchunge na majina mengine uje kule nikifundishe😃😃😃
Yabidi jamaani maana kukaa Bara imefanya niwajue samaki wa maji baridi tu hawa wengine inakuwa mtihani. 😀😀😀😀
 
Mambo yote Dada ila kuna wale dagaa tunawaita uono hua wanakaangwa wanawauza kwa mafungu aisee ni balaa. Hua nawanunua hats wa buku 5 natafuna tu kwenye foleni njiani
Nawapenda wale fresh, wanakaangwa halafu unapata Ugali,mlenda Wa bamia na mtindi, my favorite.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom