Mambo ya kujua kabla hujaoa

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,007
Kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo
  • Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa
Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu uzuri, smartness, na kindness ni vizuri ukalifahamu hilo kabla ya kuoa, kwanin nasema hivi kuna mto uzi moja amesema alimsaidia mwanamke mmoja kwenda kununua mafuta na anahisi yule mwanamke anampenda na akaongezea anajuta kwanin alioa mapema ni moja ya vitu vya kufedhehesha sana
  • Mwanamke unayemuoa atazeeka na kupoteza mvuto
Uzuri wa mkeo wako au muonekano wake hauwez kuwa sawa miaka yote, kuna kipindi utaondoka ni wajibu wako kuendelea kumheshimu mke wako
 
kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo

Tusipangiane maisha..wewe ishi utakavyo kwenye mahusiano hakuna fomula..wengine tunaoa wake kadri tutakavyoweza.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mmoja na apendavyo kufanya,na linalokufurahisha wewe tambua laweza kumkera mwenzio,na hivyo hata katika mahusiano hakuna fomula,jaribu kupita kwenye uzi wetu pendwa wa rikiboy kula kimasihara,utagundua mahusiano hayana fumula,hivyo kila mmoja afanye kwa kadri itakavyo mpendeza yeye.
 
Kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo
  • Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa
Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu uzuri, smartness, na kindness ni vizuri ukalifahamu hilo kabla ya kuoa, kwanin nasema hivi kuna mto uzi moja amesema alimsaidia mwanamke mmoja kwenda kununua mafuta na anahisi yule mwanamke anampenda na akaongezea anajuta kwanin alioa mapema ni moja ya vitu vya kufedhehesha sana
  • Mwanamke unayemuoa atazeeka na kupoteza mvuto
Uzuri wa mkeo wako au muonekano wake hauwez kuwa sawa miaka yote, kuna kipindi utaondoka ni wajibu wako kuendelea kumheshimu mke wako
Haya mambo hayana fomula, hata wafalme na wenye hekima yaliwashinda
 
Maneno mazima unayosema mimi kuna ex wangu anajileta kwa sana, na mimi nilivyokuwa kauzu najifanya kipofu sioni yeyote zaidi ya wife tu. Uono wangu tu:- Riziki ya kweli inayokuja mikononi mwako ukiiona kwa mwenzako hio sio riziki yako ila ni riziki ya mwenzako.

Lunatic
 
Back
Top Bottom