Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

Koooooo nan akubembelezee kwa kipi haswa ulichonacho ichoicho walichonacho wanaume wotee

Bwana eeeh! Nanihilu yangu inathamani, kwanza nataka muwe mnalipia. Bila malipo hakuna huduma.
 
We ngoja wenzako wameshaanza kuulizia namba, mi nimeringa tu kuwapa, afu wewe unajifanya humaindi. Nitoe buku tano upate siti ya mbele.

Hata ingekua sh 20 ya zaman ncngekupa......nmezoea kupewa na s kutoa loh
 
Mnajiita vichwa vya family afu hamtaki kutoa pesaa.......kwa jasho utakula so ni kazi yenuu..mtuache loh
 
Kama umenitongoza tena kwa kunibembeleza sana aisee lazima ugharamie! Kama nimekutongoza mie najigharamia mwenyewe even shows nalipia na vocha nakutumia.

sijatongozwa na mwanamke nina muda , sijui nagundu.
 
Na yale mambo nalipia nayo??

Ndiyo maana nilikwambia ni katika mfumo wa nipe nikupe. Na watoto anaokuzalia jee na wewe ukapata ufahari wa kuitwa baba kuna thamani yo yote unaweza kuweka hapo?
 

kweli kabisa mkuu, umeongea ukweli vpu:

v) niliwahi kushuhudia demu akimlipia mgegedo wake mahari.

vi) baadhi ya madem hujidai waaminifu sana kwa kudai kupima afya kabla ya kugegedana 'kavu', kumbe wizi mtupu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…