Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Hahahaa , hapana siwezi kua hivyo, huwa najenga urafiki na mtu ili tuweze kufurahia relationship to the maximum. Yaani nina tabia ya kufanya jambo nafanya kwa ukamilifu ili nisijutie. Hahaaa umenipaisha sana mkuu japo nina mapungufu but sio hayo uloyataja.

dikembe no sijakupisha kidogo umenikonga moyo hongera kijana ... ujaliwe mke mwema
 
Hahaaa...umenifurahisha kwa certificate...thanks
Msibani sijaenda ila nliwasiliana nae na kumpa pole zake. wew hukufanikiwa kushiriki pia?
sijafanikiwa ila nitakuwa nao kiroho . kesho ndiyo safari ya mwisho ..
 
Ni kweli wana penda mteremko hao sijui wametoa wapi hyo tabia mwanaume atakula kwa jasho cha kushangaza wao ni walalamishi wakubwa wanakwepa majukumu ndo mana mamariooo wamezidi hadi wanatimuliwa na wake zao

Umeonaaa useme wewe unaweza kujifanya ndo mwema na hiyo kauli mbiu ya cost sharing ukajikuta unalia na kusaga meno.unawekeza na mwenzio anachukua anapeleka kuhonga tuu kwa wanawake

Wanaume wa siku hizi hawapend majukumu kabisa utasikia baby tusaidiane bhasi
Ptuuuuu
Mm natakiwa nikusaidie kutoka rohoni pale napoona ulichofanya najua kweli bebito wangu hapa hana pesa
Unakuta hakuna lolote alofanya bt he need cost sharing
 
Hizo effects inategemea na mnavyochukuliana na mnavyojaliana, Khantwe ukiwa mwema na muaminifu kwangu sitaweza kukuacha ukiumia au ukiteseka. TUTASAIDIANA na KUPENDANA na sio KUKUSAIDIA na KUKUPENDA hapa mambo yatakua yamebalance na kila mmoja atafurahia mahusiano.

We mwanaume umetokea sayari gani? Au umetokea Mars? By the way WEMA is subjective.... Unaweza kufanya mambo ukadhani ni wema kumbe mwenzio ndo anapata sababu ya kukudharau na kukuchoresha hadi kwa rafiki zake. U guys are so selfish. Mimi huwa nasema sitajisumbua kamwe kujaribu kumfurahisha mwanaume....I will be gud for myself sio kujisacrifice kwaajili ya mtu.
 
Last edited by a moderator:

Khantwe maamuz yako magumu mamy ila mazuri pia
 
charminglady, that's too low of you..!! Anyways, huo ni mtazamo wako. Nitakuwa na jukumu la kumpendezesha na kumjali mzazi wangu pindi sijaoa, siwezi kumpendezesha mtu ambaye sijui kesho yetu itakuwaje, ni ufujaji na matumizi mabaya ya pesa. Pendezeshwa na wazazi kwa vile bado upo nyumbani, jipendezeshe mwenyewe kwa vile una kipato na hujaolewa. Ukishaolewa hiyo ni story nyingine.

Eli 79 nikuite nani sasa? Ukumbuke wengine tumefika hapa tulipo kutokana na wazazi wetu (mama au baba) kwa kuuza walichokuwa nacho ili tupate elimu ya juu. Sasa wewe umekuwa na familia yako unasema hao wazazi wajiangalie wenyewe? Je kwa vipi? Tuache kuiga hadithi na mila za wengine most likely weupe!
 
Sawa ila hakuna aliye sawa kila mtu ana mapungufu yake na maisha ni kuvumiliana kama unaona lipo juu ya uwezo wako ni bora kuquit

Sawa mamy....kila mtu ana mambo yake anayoweza kuyavumilia....kuna mtu anaweza kumvumilia mwanaume mlevi wakat mwingine hawezi kabisaa....mimi binafsi mtu mwongomwongo na mwenye kisirani simtaki kabisa.... Ikitokea mmetofautiana anakimbilia kujinunisha badala ya kuweka jambo mezani tulizungumze....na hata ukijaribu kutaka suluhu hataki...aaarrghh
 
We mwanaume umetokea sayari gani? Au umetokea Mars? By the way WEMA is subjective.... Unaweza kufanya mambo ukadhani ni wema kumbe mwenzio ndo anapata sababu ya kukudharau na kukuchoresha hadi kwa rafiki zake. U guys are so selfish. Mimi huwa nasema sitajisumbua kamwe kujaribu kumfurahisha mwanaume....I will be gud for myself sio kujisacrifice kwaajili ya mtu.

huu ndo ukweli lazima ifike sehemu tutambue value yetu sio kwenda kama saa mbovu tuu mwanaume hasifiwi gegedo bhana ...nione anachacharika huku na kule,plan with action ,BUSINESS PLAN anakuwa nazo anajua dunia inaenda wapi sio PLZ NITUMIE PICHA BABY,...fool u wanna eat my pics or wat??

tuangali maisha ya mbeleni mwanaum majukuu,mipango,decision making,ujitambue bhana mwanamke ni ubavu wao wao ndo kiongozi ila wanatia aibu

best hujambo hongera kwa yale ya mtaa wa pili na wifi yako
ukimona Kaizer niitie pls
 
Hahahahahaaa.... ICHANA umenivunja mbavu eti u wanna eat my pics..... Cha muhimu ni kufuata moyo wako best. Kama moyo wako unafurahi kumvulia pichu vua,kama unaona unafurahi kubana we bana tuuuu.... Ukisema umsikilize mwanaume ili umfurahishe hutofanikiwa na tena utaishia kuumia. Hahaaaa kule mtaa wa pili mbona we sikukuoana?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom