miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #41
kwa mtazamo wako ila kiukweli wanaume wajibikeni acheni kujificha chini ya mwavuli WA HAKI SAWA.. hii kitu never exist na haitakaa itokee.. ila kwa kuwa mnajidanganya ndiyo maana kuna wimbi kubwa sana la mario kwenye age 25-30s ni problem ... mwavuli wa haki sawa upo tu na ni mshazari hakuna reality na hautakaa ukutane..ukiona mwanamke anaongelea pesa pesa mda wote, huyo ana matatizo na she needs counseling.
..maisha ni kiwajibika, haijalishi mwanaume au mwanamke. Ndio maana siku hizi hamna mzazi anayebagua watoto likija swala la elimu na kujiendeleza.
..chukua na ubebe majukumu yako, iwe kitandani, jikoni, sebuleni, kazini...popote pale. Take your responsibilities na sio kuangalia mwenzangu anafanya nini.