miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #121
mme amua kutusakama miss chagga....mbona mnapenda mdebwedo
siyo mdebwedo mnachosha mwanaume kulalama uvivu tu muache hiyo tabia mbaya
mme amua kutusakama miss chagga....mbona mnapenda mdebwedo
Amante, asante kwa kuliona hilo pia. Kuna characters ukioa hakika utajuta. Pesa ni muhimu lakini isiwe kigezo cha kupenda/kuishi na mtu.
Some of the comments make very excellent points. Thank you.
But u miss chagga & Co. have negative perception on Men! And on less serious note, Men: be aware of these girls!
Haya ni maneno yasiyo rasmi, hayakufaa kutumika na mimi binafsi siyatumii ni udhalilishaji kwa namna moja ama nyingine...ndio maana hatuna neno NIMEKUJAMIII tunatumia TUMEJAMIIANA.Sasa kama ni tendo la kufanyana maneno kama NIMEMLA, NIMEMGONGA, NIMELALA yanatoka wapi?
miss chagga , Unaweza kunipa hela kama tukiwa wapenzi? kwa lengo la kusaidiana? Kama NDIO , huoni hizo sababu ulizotoa inabidi tuwajibike wote?ha ha ha ha ha jamani michakachue maana ... jamani my aim ni kuwa muwe responsible jamna that all... sasa kama unaweza kutoa hela huku unanituia that good too
Haya ni maneno yasiyo rasmi, hayakufaa kutumika na mimi binafsi siyatumii ni udhalilishaji kwa namna moja ama nyingine...ndio maana hatuna neno NIMEKUJAMIII tunatumia TUMEJAMIIANA.
Mkuu...kwemaaa???
Ok, napenda kujuzwa, hivi tunapeana au wewe unanipa ? hivi mimi peke yangu ndio naenjoy au sote? nijibu hapa....
Mbona mimi huwa mswitie akiwa na genye ananiomba nkampoze? je namimi nimchaji? nina maswali meengi sana kuhusu mnavyotuchukulia.
Turudi kwenye topic, hayo ulosema hayatakiwi kwa both side (ke & me) sababu wote mnapendana na sio mimi (me) ndio nakupenda wewe tu.
Sipendi mwanaume ambaye hajui wajibu wake mpaka aambiwe... Mf. Kutwa kucha anataka mchat lakinu vocha hatumi, Anaona unapendeza hajui hata bei ya lotion, nguo wala namba ya viatu....
Wanaume wapendezeshe wenzu wenu...
Asante mamy....kila mtu ana vipaumbele vyake kiukweli...mimi siko interested kiivyo na wale wanaodhani bila wao mjini huishi. Kodi ya nyumba anataka alipe yeye...hela ya umeme yeye chakula yeye....yan unakuwa umeshikwa hapo huwezi hata kufurukuta atataka akuendeshe kama mtoto wake vile..[/QUOT
Godoro kakununulia sofa kanunulia mapazia kanunulia tv na vyote ulivyonavyo ----------- siku kikinuka aghhh mbona utalala chini
Haipendezi hii mpenzi anangalu na wewe uwe na power na vitu vyako kwahiyo cost sharing inahusika

Kweli kabisa....kuna wanaume visirani siku likiamua kujinunisha na wewe moyo hautulii maana hapo sawasawa upo kwenye nyumba yake tu. Lkn kama kodi unalipa mwenyewe kitanda umenunua mwenyewe likinuna unasema go to hell...! Siku akijisikia kucheka atarudi na maisha yangu yanaendelea kama kawaidaa....
Unawezaje kusema unampenda mtu halafu humjali??
Kuna watu ni bahili sana hata kwa mkewe aliyemweka ndani,kula nyama mpaka sikukuu lakini kwa hawara sasa anavyozimwaga usiseme.
Papuchi ina nguvu hata mama yako unaweza kumsahau.
Marijan Rajabu aliimba kuwa kwenye watu kumi binadamu ni mmoja. Binadamu ni mtu ambaye anaweza kuishi kulingana na mazingira miss chagga niliyemfamu alipokuja huku Njinjo kunitembelea wiki mbili zilizopita ni binadamu maana samaki nchanga alitafuna bila matatizo, mtoto wa kichagga alikubali kuishi huku kwetu na nyumba zetu za makuti! Hivyo naona ni mwalimu mzuri tu anajitahidi kutuasa sie vijana tunaochipukia (muwazi kama Lara 1, si lazima awe kihivyo). Ingawa naona ameninanga, nitajitahidi kubadilikaSome of the comments make very excellent points. Thank you.
But u miss chagga & Co. have negative perception on Men! And on less serious note, Men: be aware of these girls!
Ila aangalie inawezekana akarudi akakuta nyumba imejaa. Majuto ni mjukuuKweli kabisa....kuna wanaume visirani siku likiamua kujinunisha na wewe moyo hautulii maana hapo sawasawa upo kwenye nyumba yake tu. Lkn kama kodi unalipa mwenyewe kitanda umenunua mwenyewe likinuna unasema go to hell...! Siku akijisikia kucheka atarudi na maisha yangu yanaendelea kama kawaidaa....
miss chagga , Unaweza kunipa hela kama tukiwa wapenzi? kwa lengo la kusaidiana? Kama NDIO , huoni hizo sababu ulizotoa inabidi tuwajibike wote?
Hizo effects inategemea na mnavyochukuliana na mnavyojaliana, Khantwe ukiwa mwema na muaminifu kwangu sitaweza kukuacha ukiumia au ukiteseka. TUTASAIDIANA na KUPENDANA na sio KUKUSAIDIA na KUKUPENDA hapa mambo yatakua yamebalance na kila mmoja atafurahia mahusiano.Hahahah....lakini unajua kuwa hilo tendo lina effect tofauti kwa mwanaume na mwanamke?
Zawadi ni zawadi huwa hairudishi ukiona mtu mnakosana anadai zawadi jua ana asili ya umaskini wa roho ingawa kimwili ni tajiriAsante mamy....kila mtu ana vipaumbele vyake kiukweli...mimi siko interested kiivyo na wale wanaodhani bila wao mjini huishi. Kodi ya nyumba anataka alipe yeye...hela ya umeme yeye chakula yeye....yan unakuwa umeshikwa hapo huwezi hata kufurukuta atataka akuendeshe kama mtoto wake vile..[/QUOT