miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #561
nyinyi mnatoaga kwa hiari??
Hapana wakat mwingine kushurutishwa
nyinyi mnatoaga kwa hiari??
Mkuuu najua kuitafuta hela kuliko unavyofikiri.... men u should work very hard la sivyo mtanyanyasika mpaka mfe............... mwanaume mwenye akili he will take my word na kufanyia kazi japo si sheria...
Kama unajua kuitafuta hela mbona unalia hupewi hela?? Tutanyanyasika vipi na nyie ndio wenye shida??....Mwanaume akifika kwa demu anazitoa pesa mwenyewe wala hasubiri kuombwaombwa km ivi,wa kwako hajafika bado.
Katika tembea tembea zangu nimekutana na haya wanawake wengi wanalalamikiwa na wanaume au wavulana kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU kama unatatizo kati ya haya baadhi nitakayotaja jirekebishe ni upendo wangu tu kwenu.
1.KUTOKUBALI MAJUKUMU NA UKUBWA, mwanamke umeamua kuwa na mwenza/mpenzi wako mmeoana au mnaishi kama wanandoa kwa makubaliano, lakini utashangaa mwanamke hataki majukumu yake kabisa bado anataka kuendeleza vijiwe vya ujanani na mitoko ya kila siku na mashoga zake bila kujali yeye ni mke au mme wa mtu, kuwa busy na mitandao ya kijamii kupita kiasi hadi kumfanya ashindwe hata kulea mtoto au kukaa na mwenza wake, muda wote kuupload picha fb, kila baada saa profile photo inadilishwe kwenye whatsApp, Viber, wechat, telegram etc wote wote online mpaka usiku, kuvalisha nepi mtoto hajui wala kudeki, muda wote na simu anazunguka mpaka na chaja ya ziada yaani power bank. Kila ukimgusa kutaka kumgegeda amechoka. Kwa wanaume ukiona mwanadada yupo lege lege na mtu wa misamahani mingi (so many excuse - A defence of some offensive behaviour or some failure to keep a promise) ujue hata kitandani hamna kitu.
2. KUKASIRIKA AU KUNUNA NUNA BILA SABABU AU ONYO, hii tabia inakera sana na mara nyingi ni dalili namba moja ya mwanamke alifudhu kwenye michepuko kwa anajidefence, mwanamke akikufanyia hatua pekua simu yake utabaini ametoka kwenye magendo kwa hana hamu na wewe na wewe mwanaume chukua hatua.
3.KUWA MCHOYO AU MBINAFSI - SELFISH. Unakuta mwanamke kakuzidi kipato lakini anakuomba hadi tshs 100 ya chumvi au kiberiti na usipo toa hapiki na yeye anaenda kula chips na kuku, yupo teyari kuingia hasara ya hata 20,000/- kuliko kutoa 100 ya kiberiti na akitoa hela anasema anakukopesha na utarudisha kweli sio utani, kula vinono jikoni peke yake ndio maana wengi wanenepa kwenye ndoa kuliko wanaume hii tabia inakera sana.
4. MWANAMKE KUTOKUWA MWELEWA -UNDERSTANDING /DETERMINED WOMAN. Hapa hii tabia inakera sana yaani utakuta mwanamke haamini kabisa kwamba kuna siku unaweza ukawa huna hela, toa pesa siku zote shindwa moja anakutoa thamani na matusi juu, hii inaenda sambamba na kutokuwa na shukrani yaani mwanamke anaweza kukuomba vitu kumi ukampa tisa ukakosa hicho kimoja atakubadilikia mpaka utajisikia vibaya na wala hata kukushukuru kwa vitu hivyo tisa ng'o. Atanuna mwezi.
5. WIVU ULIOPITILIZA. Utakuta mwanamke kutwa anaishi kwa wasi wasi, ukivaa vizuri kosa utasikia unaenda kwa vijanamke vyako, mbona simu haukopea, mbona msg yangu hukujibu, upo wapi na mimi nije.
6. KUFANYA MITANDAO YA KIJAMII NDIO MAHAKAMA YA MATATIZO YAKE. Utakuta umekosana kidogo teyari kaingia fb kabadilisha status kwenye relation badala ya married anaandika complicated ili watu waanza kumuuzia aanza kuwasimulia, au anaandika am sick ilimradi aulizwe hii inakera sana unakuta watu wanakupigia vipi shemeji anaumwa. Kwa kifupi hana siri.
Copy to:- miss chagga
Sema tabia za baadhi ya wanaume.
siwanyanyasi ila ninyi mmezidi sana kuwa na ujinga huo we unaendekkeza rafiki kuliko familia no space ya wewe na mpenzio
OK miss chaga unaweza kuendelea kuwapa vidonge vyao hao baadhi ya wanaume.okey baadhi ya wanaume
Wapo tena wengi tu!Weekend mnapanga kutoka mnafika sehemu mara marafiki hao wanajiunga mezani kwenu looh!!Nimejuaga kununa sababu ya marafiki was mupenzi na ninawachukiaaaaaa!!!!!!!
Habari wana JF
Katika pita pita zangu nimekutana na haya wanaume wengi wanalalamikiwa na wanawake au mabinti kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU kama unatatizo kati ya haya baadhi nitakayotaja jirekebishe ni upendo wangu tu kwenu.
- Kutokubali majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa responsible na take care of your famili kama ukibahatika kupata mtoto. kwa wadada ukiona mwanaume hayupo responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivu wa kutupa ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno. Kukiss ujui akilalamika hivyo kaa kimya uone kama anaweza kazi..... utasikia wanawake wanachuna tutaachaje kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtaki mjifunze.
- Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... he he susa wenzio wala.
- Kuwa mchoyo.. unakuta mwanaume ni mchoyo kiasi kwamba hata kuhudumiana ni tatizo... mwanume pesa yako vitu vyako ni tatizo sasa maana ya mimi kuwa mpenzio au mwili mmoja ni ipi kama unaniwekea demacation kwenye vitu vyako... yani hawa hadi kutoa mawazo ni kazi anaona utafaidi...
- Mwanume mbahili yani hadi anaumwa au unaumwa kutoa hela ya kutosheleza matibabu hato ... yani sasa huyu wimbo wake wa kila siku utasikia sina hela.. hivi kutokuwa na hela ni sifa au ni uvivu basi tuone unafanya jambo la maana upuuzi mtupu
- Mwanume kuendekeza pombe na marafiki yani unatoa kipao mbele rafiki zako kuliko mpenzio ukiona hivyo ujue huna future nzuri.... baadhi ya maandiko yanasema "ajifanyie rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe though rafiki anweza kuwa kama ndugu" tafakari.
- Wivu uliopitiliza hapa wengi ni 25 na 30 sana hawa ndio tatizo utasikia baby tuma picha ... tuma picha unatuma bado tena tuma picha ... hivi niwaulize mnatengenezea movie hizo picha ni nini tatizo?...
muhimu: jitahidini kutafuta pesa kwa bidii na kufanya mazoezi ya viungo. siku njema rafiki
Wanawake siku hizi ni full draamaa wacha tuu tupombekeeee