dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,439
Mkuu badili msimamo............We mwanaume umetokea sayari gani? Au umetokea Mars? By the way WEMA is subjective.... Unaweza kufanya mambo ukadhani ni wema kumbe mwenzio ndo anapata sababu ya kukudharau na kukuchoresha hadi kwa rafiki zake. U guys are so selfish. Mimi huwa nasema sitajisumbua kamwe kujaribu kumfurahisha mwanaume....I will be gud for myself sio kujisacrifice kwaajili ya mtu.
Inabidi umsome mtu ni wa aina gani ili uweze kuamua kuwa nae au la, ila kama nawewe unaenda kwake kwa lengo la kimaslahi kwa kweli utaishia kuumizwa na kutokwa povu kila siku.
wadada wengi wa mijini ndio visababishi vya majanga wanayoyaface kwenye mahusiano. Kuna mahali huwa mnakosea bila nyinyi kujua na kusukumwa na external force mnazoziendekeza.
Baadhi ya sababu ni hizi:
1. Tamaa
2. Kutokuwa muhalisia
3. Kuwa available any time ( cheap- nakupigia simu nakuita unakuja bila kutoa excuse yoyote)
4. Kutokua na mawazo tofauti na ngono, jenga urafiki sio kila tukikutana hakuana maongezi zaidi ya ngono.
5. wivu usokua na msingi.
............
..........