miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Nakuamini mamy ni sawa pia.
Sawa kabisa ila pia wanawake tuache uvivu.....katika kila nyanja.
Nakuamini mamy ni sawa pia.
Amini nakwambia.....mtu yeyote kwenye jambo lake analoliona linampa raha ubahili uwekwa kando.[/QUOTE:
Kikolo! kuna watu wanashida haya yanayoongelewa hapa sio story ni kweli kabisa .
Sijaongelea mambo ya HAKI SAWA.., nilichosema ni kuwa wewe kama miss chagga unatakiwa kuwajibika ili kujenga uhusiano bora, na kama mnaishi vizuri mtapanga mambo yenu pamoja. Ukiwa na mawazo hasi kama hayo, familia haijengeki katu.
Kuna kitu kimoja kinanshangaza kwa watoto wa kike anaweza kukuomba pesa akakwambia bby nahitaji 300k unamuuliza kwa uzuri tu unahitaji laki 3 ya kufanyia nini?
Basi ataanza maneno utasikia sitak tena ata hyo pesa yako, unaniuliza ya nini kwan hujui na matumizi yangu nayojua mimi? Sawa sikatai una matumizi binafsi but mshahara wako unaufanyia nini? Unakuta kuanzia msosi ndani, ada za shule kwa watoto na majukumu kibao anafanya mume lakini bdo atahitaji pesa zisizokuwa na matumizi rasmi.
Mbaya zaidi utakuta tunapokea mshahara sawa, haoni mzigo unaokuelemea bt atataka kufanya atakavyo. Tungekuwa tunasaidiana ningekuelewa. We mshahara wako unaishia kununua high heels, bracelace, na saloon. Wakati ukiwa kwenye MP Mpaka pads nakununulia mimi. Nikihoji unahitaj pexa kwa matumiz gani unanuna? At the end of the day mnadai mnataka haki sawa PUMB...AAAAVU
charminglady, that's too low of you..!! Anyways, huo ni mtazamo wako. Nitakuwa na jukumu la kumpendezesha na kumjali mzazi wangu pindi sijaoa, siwezi kumpendezesha mtu ambaye sijui kesho yetu itakuwaje, ni ufujaji na matumizi mabaya ya pesa. Pendezeshwa na wazazi kwa vile bado upo nyumbani, jipendezeshe mwenyewe kwa vile una kipato na hujaolewa. Ukishaolewa hiyo ni story nyingine.
huyo ni mpuuuuumbavu uliyeamua kumuweka ndani.... lazima atoe maelezo ya nini hana sababu una haki ya kumnyima......... na hakuna haki sawa duniani hapa never existKuna kitu kimoja kinanshangaza kwa watoto wa kike anaweza kukuomba pesa akakwambia bby nahitaji 300k unamuuliza kwa uzuri tu unahitaji laki 3 ya kufanyia nini?
Basi ataanza maneno utasikia sitak tena ata hyo pesa yako, unaniuliza ya nini kwan hujui na matumizi yangu nayojua mimi? Sawa sikatai una matumizi binafsi but mshahara wako unaufanyia nini? Unakuta kuanzia msosi ndani, ada za shule kwa watoto na majukumu kibao anafanya mume lakini bdo atahitaji pesa zisizokuwa na matumizi rasmi.
Mbaya zaidi utakuta tunapokea mshahara sawa, haoni mzigo unaokuelemea bt atataka kufanya atakavyo. Tungekuwa tunasaidiana ningekuelewa. We mshahara wako unaishia kununua high heels, bracelace, na saloon. Wakati ukiwa kwenye MP Mpaka pads nakununulia mimi. Nikihoji unahitaj pexa kwa matumiz gani unanuna? At the end of the day mnadai mnataka haki sawa PUMB...AAAAVU
Na kama huko tayari kuhudumia mbona walala nae kama mkeo?
Labda tunapenda tusipopendekaNi kweli ubahili umewajaa kila siku umpigie yeye ya kwake anawapigia wengne uchoyo na ubinafsi na kujali wengne kuliko wewe
Tell them bro.
Amini nakwambia.....mtu yeyote kwenye jambo lake analoliona linampa raha ubahili uwekwa kando.[/QUOTE:
Kikolo! kuna watu wanashida haya yanayoongelewa hapa sio story ni kweli kabisa .
Hii dunia haipo fair kabisa kikolo....kuna watu wanakula pesa za hao wanaoitwa bahili kiulaniiiii kabisa na huduma juu.
Hii siredi imefika peji ya saba mara hii...ama kweli ujumbe umefika
Sawa kabisa ila pia wanawake tuache uvivu.....katika kila nyanja.
mmmh! umeongea kwa mahasiraKuna kitu kimoja kinanshangaza kwa watoto wa kike anaweza kukuomba pesa akakwambia bby nahitaji 300k unamuuliza kwa uzuri tu unahitaji laki 3 ya kufanyia nini?
Basi ataanza maneno utasikia sitak tena ata hyo pesa yako, unaniuliza ya nini kwan hujui na matumizi yangu nayojua mimi? Sawa sikatai una matumizi binafsi but mshahara wako unaufanyia nini? Unakuta kuanzia msosi ndani, ada za shule kwa watoto na majukumu kibao anafanya mume lakini bdo atahitaji pesa zisizokuwa na matumizi rasmi.
Mbaya zaidi utakuta tunapokea mshahara sawa, haoni mzigo unaokuelemea bt atataka kufanya atakavyo. Tungekuwa tunasaidiana ningekuelewa. We mshahara wako unaishia kununua high heels, bracelace, na saloon. Wakati ukiwa kwenye MP Mpaka pads nakununulia mimi. Nikihoji unahitaj pexa kwa matumiz gani unanuna? At the end of the day mnadai mnataka haki sawa PUMB...AAAAVU
Kuna mtu anaandaliwa mazingira ya kupigwa mzinga mkubwa hapa
Kumbe ayo yote yalikua maelezo, lengo kuu ni pesa
hapo anaongea ukweli kama matumizi ni mambovu unahaki hata ya kumpangia bajeti ni si kukata matumizi kabisa