Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,489
- 42,564
jiananume la kununa nuna ni ushamba na mjinga pia mtu kakukosea mwambie... huna furaha sema leo sina furaha bosi kanitukana ili mimi nijue nakutreat vipi? umekuja umejinunisha unataka mimi nikusidiaje ... ukisema umekasirika kwa 1,2,3 na unatamani ufanyiwe nini naweza toa msaada... si umekuja umenuna mimi nikushike kiuno kumbe unahitaji kushikwa nywele muwe mnaongea...
Baby basi jamani loh mpaka nashindwa kunywa maji unavyolipuka Kama mabomu ya mbagala