Wanajanvi sitaki kuwarudisha nyuma ya haya maongezi ila ninashindwa kuelewa ni wanaume wa aina gani wanaongelewa hapa? Je na wale vijijini wanaongelewa au hapana? Nikiwa na maana kwa mfano kule Kyela ndani au Marangu ndani mpaka hatu kule Karagwe ndani kabisa?