Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Umegeuza maneno....mwanzo ulisema huwezi kumuhudumia mwanamke asiye mke wako...kwan hapa tunaongelea wanaume tunaokutana nao barabarani?

hahaha!! Khantwe hukunielewa bhana!! Nilisema sitahudumia mtu asiyw na future na Mimi. Akiwa mchumba, kwa maana kuwa tayari process zote za kufahaniana na kutoa mahari zimekamilika, hapo sawa. Otherwise nitazidi kuwa kauzu. Hem' fanyeni kazi acheni kutegemea wanaume. Vijana wenyewe wamepigika maisha magumu.
 
Last edited by a moderator:

Nani kasema TUNATEGEMEA? af we mbona kauzu hivyo lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hahahahah mwanamke mwenye uelewa na anaye mfahamu mume wake vizuri akiona amenuna wala hakasiriki. Ukiona mwanamke analalamika sana uje kwanza ana matatizo na pili yeye ndiyo kabadilika.wanasema ukiona mwenzi wako kabadilika usitafute mchawi kwanza jichunguze mwenyewe kwanza kama hujabadilika? Kuhusu wanawake kutumia hela kwa kificho hata muda mwingine haifahamiki wamefanyia nini limekuwa linazidi sana siku hizi. hata muda mwingine hicho alichofanyia siyo hicho anachokuambia. mwanaume akishajua tu hilo mwanamke hatapata hela yake. Wanaolalamika sana wengi wao wameolewa au kuingia kwenye mahusiano kwa ajili ya maslahi na pindi wanapoona maslahi yao hayatimilizwi ndiyo wanaishia kulalamika tu.

duh!! umefunguka mkubwa....!!!!!!
 
mwanaume mlalamishi simpendiiiii kutoka moyoni
 
mwanaume mlalamishi simpendiiiii kutoka moyoni

Acha kabisaa....wanakeraaa....usipopokea simu mara mbili --------- booonge la gazetiii....mi huwa naona bora mwanaume mkali kuliko mlalamishi....yan kitu kidogo atalalamika hadi kero...
 
Nani kasema TUNATEGEMEA? af we mbona kauzu hivyo lol
mngekuwa sio tegemezi msingelalama na pesa zisizo zenu, after all hao ni mahawara tu wala hamjaolewa....
.. Mie asili yangu ukauzu.
 
mngekuwa sio tegemezi msingelalama na pesa zisizo zenu, after all hao ni mahawara tu wala hamjaolewa....
.. Mie asili yangu ukauzu.

Halafu....kwenye huu uzi umeliona hilo la pesa tu? Mbona yapo na mengine?
 
Acha kabisaa....wanakeraaa....usipopokea simu mara mbili --------- booonge la gazetiii....mi huwa naona bora mwanaume mkali kuliko mlalamishi....yan kitu kidogo atalalamika hadi kero...

awe mkali ni sawa pia kwangu ila tu mkono wake na mwili wangu visiwe na mahusiano kwa kweli. kupigana awaachie wakurya
 
umeona eeh?wakizikamata tu ni pombe na kubadilisha wanawake hamna mambo ya maendeleo,na hizo baby tuma picha,baby uko wapi?baby unafanya nini?baby uko na nani?basi niweke kwenye wallet kabisa
 
umeona eeh?wakizikamata tu ni pombe na kubadilisha wanawake hamna mambo ya maendeleo,na hizo baby tuma picha,baby uko wapi?baby unafanya nini?baby uko na nani?basi niweke kwenye wallet kabisa,na hivi vitambi vya bia na nyama choma ndivyo vinawafanya kuwa wavivu
 
Mke mwema daima huwezi kuona anaropokaropka matatizo ya ndoa yake kwa kila mtu NEVER. Hao aliowataja kuwa wanalalamika hamna mke hapo.

yah!!! ni kweli kabisa unajua yeye anafananisha wake na makapeti''''
 
mengi ni kweli kabisa, lakini nanyi muache kubweteka na kujisahau mno... miss chagga

Pesa tuzitafute wote...italeta heshima.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la binadamu huwa hamtaki kukubaliana na ukweli. Najua ngumu kumesa ila huo ndo ukweli hahahahah....poleee

ohoooops utafikiri sio wewe ndo mana kaka zangu wa ki real life nawapa majukumu yangu kibao kabla hawajaoa wananikatia pocketmoney ya kutosha najua wakioa mambo yatakuwa si mambo tena lol
 
ohoooops utafikiri sio wewe ndo mana kaka zangu wa ki real life nawapa majukumu yangu kibao kabla hawajaoa wananikatia pocketmoney ya kutosha najua wakioa mambo yatakuwa si mambo tena lol

Hahahaha kaka akushaoa si wako tena.....kama hukumtumia alipokuwa hajaoa ndo umechelewa hivyooo
 
Back
Top Bottom