Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Hii dunia haipo fair kabisa kikolo....kuna watu wanakula pesa za hao wanaoitwa bahili kiulaniiiii kabisa na huduma juu.
Ntine kila mtu ana bahati yake unaweza kumpata mtoaji wee ukikohoa tuu bby chukua hizi nenda hospital ,Lakini mwingine sasa hadi bajaji unajikodia yeye anakodoa macho tuu lakini yote heri maisha yanasonga.Kila mtu anavigezo vyake wewe anaweza akawa bahili au anavisirani lakini mambo mengine yote yakawa poa weakness zake nyingine zikamezwa na mazuri yake.
 
- kuvua suruali na kuiacha chini
-kuingia ndani na viatu wakati tunadeki
-kuandikiwa sms ndefuuuu ye anajibu ."ok"
-kumaliza ugomvi kwa kusema "hayaishi"
-kutoa hela na kuuliza "enh kwani umefanyia nini'
kutoa compliments kimoyomoyo but complains kiwaziwazi
-kufutia viatu vitambaa /nguo yyte iliyopo mbele yake
-kuweka miguu juu ya meza
enhenhenhenhrnhe vitu vidogooooooooooooo ila vinatukeeeeeeeeeeera!
 
[QU OTE=miss strong;10019203]
Hii dunia haipo fair kabisa kikolo....kuna watu wanakula pesa za hao wanaoitwa bahili kiulaniiiii kabisa na huduma juu.

It's all about love and timing sio mtu anataka hela bila mpango, sitoi ng'o!!
 
Na kama huko tayari kuhudumia mbona walala nae kama mkeo?

..nafanya hivyo kwa sababu anakuja getto kwangu huku ameshavua skin tight, anakata mauno....teh!!! Lakini kama angejitunza wala sina mda wa kumlala mtu kabla ya kumuoa.
 
Ahsante miss chagga .natumai ujumbe umewafikia wanaume wachache wa JF.
 
Kila mtu ana bahati yake unaweza kumpata mtoaji wee ukikohoa tuu bby chukua hizi nenda hospital ,Lakini mwingine sasa hadi bajaji unajikodia yeye anakodoa macho tuu lakini yote heri maisha yanasonga.Kila mtu anavigezo vyake wewe anaweza akawa bahili au anavisirani lakini mambo mengine yote yakawa poa weakness zake nyingine zikamezwa na mazuri yake.
 
Mwanaume atatimiza majuku yake pale tu akicha gundua kuwa ww ni wathamani kwake..
So nijukumu la nyinyi wanawake kuwathamini wanaume zenu kwanza ndio muanze kuongea Kuhusu majukumu ya mwanamke.
 
Don't hate the player, hate the game. Play your cards right and I will make the money rain on you.
 
..nafanya hivyo kwa sababu anakuja getto kwangu huku ameshavua skin tight, anakata mauno....teh!!! Lakini kama angejitunza wala sina mda wa kumlala mtu kabla ya kumuoa.
Hapo hapo binti akiwa na msimamo wake mnashangaa mnaleeta hadi uzi huku eti shake well sasa hivi unasema nini Eli79
 
idadi kubwa ya watoto wa kike hawataki kupangiwa bajeti BELIEVE ME! Ukijiloga utakapoanza kumpangia bajet utasikia mbahili! Mara ananipangia pangia nini? Nyumban wazazi wanipangie na yeye anipangie? HATA UFANYE MAZURI VPI LAWAMA NI LAZIMA NDANI YA NYUMBA.
huyo ni tatizo mkuu kwa huyo siwezi ongelae kwa sasa
 
Habari wana JF

Katika pita pita zangu nimekutana na haya wanaume wengi wanalalamikiwa na wanawake au mabinti kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU kama unatatizo kati ya haya baadhi nitakayotaja jirekebishe ni upendo wangu tu kwenu.

  • Kutokubali majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa responsible na take care of your famili kama ukibahatika kupata mtoto. kwa wadada ukiona mwanaume hayupo responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivu wa kutupa ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno. Kukiss ujui akilalamika hivyo kaa kimya uone kama anaweza kazi..... utasikia wanawake wanachuna tutaachaje kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtaki mjifunze.

  • Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... he he susa wenzio wala
  • miss chagga, ina maana mzee akisusa unaingia mchepuko....
 
- kuvua suruali na kuiacha chini
-kuingia ndani na viatu wakati tunadeki
-kuandikiwa sms ndefuuuu ye anajibu ."ok"
-kumaliza ugomvi kwa kusema "hayaishi"
-kutoa hela na kuuliza "enh kwani umefanyia nini'
kutoa compliments kimoyomoyo but complains kiwaziwazi
-kufutia viatu vitambaa /nguo yyte iliyopo mbele yake
-kuweka miguu juu ya meza
enhenhenhenhrnhe vitu vidogooooooooooooo ila vinatukeeeeeeeeeeera!

asante kwa kuongezea mkuu
 
siyo pesa uache tabia ya kununa nuna na kuomba picha kumi kumi kila siku

Sasa picha huo ni urafiki sio ndoa wala uchumba, pesa zinatoka wapi hapo? Kwani wewe hufanyi kazi? Msingi papuchi!
 
Hapo hapo binti akiwa na msimamo wake mnashangaa mnaleeta hadi uzi huku eti shake well sasa hivi unasema nini Eli79

Gemmy, nasema kama mimi, sio kwa niaba ya wanaume wote. Tena sipendi mdada anayejirahisi, ukisema tu keshavua, nope!!! Wengi waliokata tamaa ndio wanakuwa na tabia hizo...
 
Last edited by a moderator:
- kuvua suruali na kuiacha chini
-kuingia ndani na viatu wakati tunadeki
-kuandikiwa sms ndefuuuu ye anajibu ."ok"
-kumaliza ugomvi kwa kusema "hayaishi"
-kutoa hela na kuuliza "enh kwani umefanyia nini'
kutoa compliments kimoyomoyo but complains kiwaziwazi
-kufutia viatu vitambaa /nguo yyte iliyopo mbele yake
-kuweka miguu juu ya meza
enhenhenhenhrnhe vitu vidogooooooooooooo ila vinatukeeeeeeeeeeera!

da snowhite, hayo yote uliyoainisha hapo yanafanywa sana na wadada, wengi siku hizi wapo so disorganized, sijui kwa nini...
 
Last edited by a moderator:
Habari wana JF

Katika pita pita zangu nimekutana na haya wanaume wengi wanalalamikiwa na wanawake au mabinti kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU kama unatatizo kati ya haya baadhi nitakayotaja jirekebishe ni upendo wangu tu kwenu.

  • Kutokubali majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa responsible na take care of your famili kama ukibahatika kupata mtoto. kwa wadada ukiona mwanaume hayupo responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivu wa kutupa ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno. Kukiss ujui akilalamika hivyo kaa kimya uone kama anaweza kazi..... utasikia wanawake wanachuna tutaachaje kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtaki mjifunze.

  • Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... he he susa wenzio wala.
  • Kuwa mchoyo.. unakuta mwanaume ni mchoyo kiasi kwamba hata kuhudumiana ni tatizo... mwanume pesa yako vitu vyako ni tatizo sasa maana ya mimi kuwa mpenzio au mwili mmoja ni ipi kama unaniwekea demacation kwenye vitu vyako... yani hawa hadi kutoa mawazo ni kazi anaona utafaidi...
  • Mwanume mbahili yani hadi anaumwa au unaumwa kutoa hela ya kutosheleza matibabu hato ... yani sasa huyu wimbo wake wa kila siku utasikia sina hela.. hivi kutokuwa na hela ni sifa au ni uvivu basi tuone unafanya jambo la maana upuuzi mtupu
  • Mwanume kuendekeza pombe na marafiki yani unatoa kipao mbele rafiki zako kuliko mpenzio ukiona hivyo ujue huna future nzuri.... baadhi ya maandiko yanasema "ajifanyie rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe though rafiki anweza kuwa kama ndugu" tafakari.
  • Wivu uliopitiliza hapa wengi ni 25 na 30 sana hawa ndio tatizo utasikia baby tuma picha ... tuma picha unatuma bado tena tuma picha ... hivi niwaulize mnatengenezea movie hizo picha ni nini tatizo?...

muhimu: jitahidini kutafuta pesa kwa bidii na kufanya mazoezi ya viungo. siku njema rafiki

HAHAHAHAHAAAAAAA.....
VIPI BIBIEE!!!! YAMEKUKUTA ETIEE! POLE SANA JIKAZE VUMILIA ULIE NAE NDIO YUKO HIVYO NA BORA UMEMJUA UKIJARIBU KUTAFUTA MPYA AMBAE UTATEGEMEA ATAFANYA UNAVOTAKA HAPO WANGU UTAUMIA MANA HUYO ATAKUJA NA STYLE ZAKE USIZO ZIJUA.. HIT AND RUN!!! MWISHOE NNDII..:mimba: ALAFU SHHHAAAA!!:llama:
 
da snowhite, hayo yote uliyoainisha hapo yanafanywa sana na wadada, wengi siku hizi wapo so disorganized, sijui kwa nini...
basi mna kazi!
naimagine binti kaweka miguu mezani !
 
Last edited by a moderator:
kupewa papuchi anataka lakini kumhudumia hataki...
Mkuu...kwemaaa???

Ok, napenda kujuzwa, hivi tunapeana au wewe unanipa ? hivi mimi peke yangu ndio naenjoy au sote? nijibu hapa....
Mbona mimi huwa mswitie akiwa na genye ananiomba nkampoze? je namimi nimchaji? nina maswali meengi sana kuhusu mnavyotuchukulia.

Turudi kwenye topic, hayo ulosema hayatakiwi kwa both side (ke & me) sababu wote mnapendana na sio mimi (me) ndio nakupenda wewe tu.
 
Back
Top Bottom