Nyumbu Hana akili..na kama anazo basi ni kidogo sana, na kama anazo hizo kidogo basi hazitumii, na kama anazitumia hizo kidogo basi ni fal.a
Yanaboa haya mawanyama..eti unakuta simba mmoja halafu manyumbu yako mia mbili lakini yanafurumushwa balaa..sasa ni akili hiyo kweli?na kama ni fal.a ataendelea kuliwa na samba maana hamna namna nyingine ya kumsaidia
Unataka kuanza shuhuli za ujangili eeh...
Mm nadhan in nyumbu au fisi
nadhani membe ni muoga zaidi ya wote.
ndo nani huyu membe, au waziri!!
Mada nzuri tusojua tume elimika kuhusu hao wanyama,kuna huyo myama ameongelewa kwa kidhungu Honey badger, mnaomjua hamuwezi tutafutia jina lake kwa kiswahili?!.
hayo umesema wewe nilimaanisha mende
Panya.. ..........ninepataaaaaaaa..nipe zawadi yangu!!!