Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:
Fisi ni mwoga kazi yake ni kula mizoga!
naona humfahamu vizuri huyu mnyama, nimetizama juzi kwenye national geographic channel yumo katika list ya world Deadliest animals na wakaonyesha anamuua swila na mwingine akiua chatu na kifutu na kumtafuna hapo hapo, ana meno makali sana,
Mbugani kuna wanyama wengi sana kama tembo,chui,simba,twiga,nyumbu,mbwa mwitu nk. lakini ni mnyama yupi muoga kuliko wanyama wote?
Simba watano walimshindwa, binadamu hutolewa mbio na huyu honey budger.
Unaambiwa ukimpiga mkuki unadunda, ana wivu kupita kiumbe yeyote kuwahi kutokea.
wivu tena, hii sijawahi isikia
Acha utani mkuu, nyoka wakimuona wanaharisha halafu bado useme muoga. this is one of the dangerous animal.Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:
Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:
Akiwa na mama ngina wake ukioneka around nawe ni wa kiumeni timing yake ni kwenye kengele, yaani fasta tu, salama yako ni kukimbia tu tena kwa kasi ya ajabu

ni FISI