Mwanaume wa kiroho
Member
- Dec 16, 2022
- 49
- 37
Nimeipenda embu njoo bobo
Japo post ya muda wacha nichangie,kwanza hakuna binadamu kazaliwa ana hormones za kike wala kiume yote ni mapepo majini wachafu ummu subiani,mtoto anapokuwa mdogo hana madhambi malaika humlinda husubiri pale ka baleghe sasa ndo hujipenyeza kwa mtoto,na majini hawa ndio huwatia ashki matamanio teenager haswa ile kuota unafanya mapenzi unachafua shuka haswa kwa wanaume,na haya majinni ya ummu subiani ya na jinsia 2 ya kike na kiume,humpa kijana matamanio kwenye ndoto kama kufanya mapenzi na wanaume wenzie au wanawake wenzie, iwapo hana imani ucha Mungu ndo anapotea, hapa sasa wazazi tuwasomeshe watoto maswala ya imani, dawa yake ikikutokea hali hio ni kukemeaa kuikataa kabisa hali hio inaenda mpaka inaiisha ila ukichukulia poa inaanza ndotoni waona raha mwisho unatamani ufanye kweli na wanakupa mvuto wa kuvutia watu wa kukufanyia au kuwafanyia uchafu huo,majini wana mambo mengi sana wapo kama sie binadamu wapo wema na wabaya na binadamu wengi sana wana majini bila wao kujua sababu majini wanapenda sana binadamu mpaka lifestyle ya kiubinadamu kama kufanya mapenzi kula mavazi etc,na kuna watu wana bahati anaweza kuwa na jinn(tena wala huwezi jua maana hawapandi) ana kipaji cha mpira basi mtu atapiga ball balaa, mtu ana jinn mfanyabiasha atafanya biashara utakuta akifanya mambo mengine hayaendi,kadhalika upishi fashion hata mambo ya dini unakuta jinn mtu wa imani flani mfano muslim jinn anapenda kusali kusoma Quran automatically binadamu atakae kuwa nae atapenda mambo hayo anakataa machafu,wapo pia majini wa wizi mtu anakuwa mwizi hashikiki wapo majini wa umalaya mtu anafanya umalaya balaaa hapo utashangaa mtaani wanamsema binti malaya anabadili wanaume hashikiki wazazi wenyewe wamechoka wanaacha dunia imfunze ni hawajui tu ni roho chafu ina control mind ya mtoto wao sio yeye,yapo majini malevi nbwa yakikuvaa ni kulewa tu pombe huachi,muhimu wewe mwenyewe uikatae hio hali upambane na nafsi yako mwisho shetani hushindwa tu maana Mwenyeezi Mungu haibadili nafsi ya mtu ambae mwenyewe hajaamua kubadilika,unapambana na roho chafu muombe msaada Mungu, pia punyeto ni mapepo maana jinn ana njia 3 za kufanya mapenzi kwa mwanadamu ya kwanza ndotoni ya 2 kwa hisia yaani kwa punyeto ya 3 kupitia mwanadamu kama jinn wa kike anamuingia mwanamke mume anagonga anajua anagonga mkewe kumbe anagonga 2 in 1 kama jinn wa kiume anamuingia mume mke anakata miuno kumbe anamkatia na jinn miuno 😁ndo maana kwa muslim wanaume wanaambiwa wasiingilie wake zao bila dua iwapo mimba ikitunga basi mtoto anakuwa ana DNA za kijinn muda mwingine unaona mtoto mkorofi kuna tabia humuelewi kumbe toto la jinn wengi wana gongewa sana wake zao na majini mpaka wanazalishwa bila wao kujua.
Tuombee watoto na kuwatolea sadaka.