Pearl si kupenda kwangu..maana nlilia kwenye sufuria ndo nikaja kuambiwa.ah ah ah sasa ww ur on ur way to heaven unataka mkeo aje kukaa eda?
hee jamani mbona mie siku danganywa na vitu kaa hivi?
mtoto niliambiwa kuwa yumo tumboni na anakuwa mkubwa kila siku na hospitali unaenda kumtoa kwa mtindo wa kama kwenda haja kubwa
Pearl si kupenda kwangu..maana nlilia kwenye sufuria ndo nikaja kuambiwa.
Kuhusu location yangu: i hope ts the sem wit u aisee..nitakumiss nikifika huko nikakukosa!
on red: ulizaliwa na kukulia wapi wewe?hee jamani mbona mie siku danganywa na vitu kaa hivi?
mtoto niliambiwa kuwa yumo tumboni na anakuwa mkubwa kila siku na hospitali unaenda kumtoa kwa mtindo wa kama kwenda haja kubwa
Ukimchungulia mama mkwe unaota kisekenene
ukipita makaburini usiongee wala kugeuka nyuma
ukipewa muhindi unampa mkubwa akutengenezee njia ya kwenda kwenu(ukistuka umebaki mistari miwili tu)
Sijui hii ilikuwa ni imani au vipi; ilikuwaUkienda kununuja chumvi dukani usiku husemi chumvi "unasema dawa ya mboga au dawa ya jikoni" halafu ukisema chumvi mwenye duka anakwambia haipo!