Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

Nimemsikiliza leo akiongea na Wazee wa Dodoma. Kwa hotuba yake lililosemwa hapa laweza kuwa la kweli.

Alijikita kusifia East na kuwaponda West waziwazi.

Amesema China ndio rafiki zetu wa misimu yote hawana msimu wala masharti kama ya Magharibi.
 
Tanzania haina DIRA,Tanzania haieleweki inataka kua kama nani(nchi iliyoendelea) baadae!katiba ya 6 ndo kabisa hamna kitu mule.Kenya au Rwanda zingepata hizi chance za mahusiano na China tungetawaliwa na Kenya au Rwanda.
 
Amerika should offer a much better deal; not interfear with our soverinity we are a very poor nation we need strategic patners

Am sorry my brother WE ARE NOT VERY POOR" Hatuhitaji mtu yeyote,tumekosa UONGOZI BORA,tulionao ni wezi kuanzia boss wao mpaka wa chini yake.Haiingii akilini kuona Rais wanatumia mabilioni kwenda tu kuhudhuria kiako ambacho angeenda waziri.

Kweli hatuna Viongozi Tanzania tulionao wote ni mafisadi wameshalewa madaraka na hawapo kwa ajili ya Taifa wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao.

Rafiki Tanzania ni matajiri mno.
 
.... Tatizo La Watanzania Ni Wanafiki Siku Zote, Marekan Hawawez Kufanya Kaz Na Wanafiki
 
Ni kweli kabisa wajerumani wako strait hatuwawezi hawapendi wala hawajazoea magumashi si unaona ishu ya strabag ilivoingizwa mambo ya kiswahili tu wakasepa sasa wame subcontract kwa wadosi,too shame tanganyika

Daah..mkuu hii issue ya strabag ni kweli?daah jamaa wapo straight sana aisee..black or white hawana longolongo hawa watu
 
.. Hv Tz Inafata Sera Ipi, Ya Kibepari Au Ya Kijamaa???
 
... Hahaha, Et Prof, Duuh. Uprof Siku Hz Ni Wa Kuokota Tu. Kama Na Jk Nae Ni Prof Ni Bora Huo Uprof Nisiupate
 
Tanzania haina DIRA,Tanzania haieleweki inataka kua kama nani(nchi iliyoendelea) baadae!katiba ya 6 ndo kabisa hamna kitu mule.Kenya au Rwanda zingepata hizi chance za mahusiano na China tungetawaliwa na Kenya au Rwanda.

.... Marais Wenye Akili Zao Kama Kagame Hizi Chance Hazilazii Damu, Na Nchi Zilizoendelea Zinajenga Urafiki Na Marais Ambao Hawajitambui Kama Wakwetu Ili Wachukue Chao Mapema
 
Na mapito tu wakati mwingine shida uleta maarifa maana itawafanya wawe wabunifu wa kuangalia vyanzo vipya vya mapato maana wao wanachojua ni kupanga kwa ku-copy na ku-paste alafu gap linalobaki wanakimbilia kwa wahisani

Ni ukweli ambao wengi hawatapenda kuusikia...
Sirikali ya JK imekusanya kodi kuliko zote zilizopita sababu ya kulingiwa na donor...waendelee kubana ndio tutajua kujitegemea...

Nashangaa watu wanataka wanaume walambane miguu...bora kuwa masikini kuliko kuuza utu wako...

Malaysia wasingetoka kama si kubaniwa na wa West pale walipopinga structural Adjustment Program (SAP)za IMF and WB...embu wakate misaada tupate akili...

Malaysia waliamua kuangalia South South cooperation...cheki walipo sasa....
 
!! kama Rwanda ilivuka tetemeko la genocide na sasa inaunguruma kiuchumi kuliko Tanzania

I hate who thinks with their buttocks. Rwanda ya Kagame waliowezi na maaluni ni wa kufananisha na Bongo. Shame on you
 
DON'T PLAY WITH U.S.A.... never CHEAT U.S.A...

U.S they can sabotage J.K or any PRESIDENT HARAKA SANA.....U.S.A ni danger...

Mm ningependekeza JK. aachane na mikataba ya CHINA...na PUTIN asikanyage hapa TZ.....na hiyo mikataba 16 aachane nayo sbb ITATUDHURU SANA...NA U.S.A wanaweza sababisha vita vya kwetu wenyewe kwa wenyewe...i.e CIVIL WARS, like ARAB SPRING...ni U.S.A who financed and main player of ARAB SPRING....so tuwe makini sana...!!!
 
USA wapo wazi kwenye sera zao ila viongozi wetu wanapenda kujipendekeza. Namkumbuka proffesa mmoja ktk chuo cha STEMMUCO, aliwahi kusema vita ya tatu ya dunia itatokea na chanzo itakuwa ni bahari ya hindi na tanzania atakuwa chanzo cha mgogoro huo. Na mataifa yatakayohusika ni CHINA na USA.

Tanzania sijui wanamatatizo gani, wanajua fika kuwa RUSSIA na USA hawapikiki chungu kimoja na kila anaekupa misaada anamasharti yake hivi unadhani tutaweza kutimiza masharti ya pande zote bila kuwagonganisha hawa jamaa!?

NAOGOPA SANA.

Jk sheeeeeda
 
Jiulize tu hao jirani zetu Kenya waliokuwa watoto watiifu kwa west hasa US since cold war ni developed country au hatuchekani????

Kwa nini hatujiamini???


DON'T PLAY WITH U.S.A.... never CHEAT U.S.A...

U.S they can sabotage J.K or any PRESIDENT HARAKA SANA.....U.S.A ni danger...

Mm ningependekeza JK. aachane na mikataba ya CHINA...na PUTIN asikanyage hapa TZ.....na hiyo mikataba 16 aachane nayo sbb ITATUDHURU SANA...NA U.S.A wanaweza sababisha vita vya kwetu wenyewe kwa wenyewe...i.e CIVIL WARS, like ARAB SPRING...ni U.S.A who financed and main player of ARAB SPRING....so tuwe makini sana...!!!
 
May I quote you what Albert Einstein once said! "The world as we created it is a process of our thinkong.It can not be changed without changing our thinking".The worst unremarkable thinking with African leaders'thinking is to think that America is the friend to Africa.No! no ! a very great nation or any successful national in terms of human resources and an usurped technology as super as China and Russia can not absolutely befriend with Tanzania one of the poorest nation in the world planet. Mpaka nchi hii ichukuliwe name wakina Mwamunyange ndo pataeleweka!
 
Lisemwalo lipo kama halipo basi laja.

Chochote kwa wamarekani kinawezekana.

Mkuu tuangalie miaka ya nyuma kidogo katika Nchi ya Museven alipoingia madarakani nchi za magharibi zenye nguvu na ushawishi mkubwa duniani walimpongeza na kumpenda sana Museveni na kushushiwa sifa za kila aina ,hatima yake alifika wakati ikawa anachukiwa kuliko na kuna wakati kulikuwa na mkutano mmoja wa viongozi wa kutoka africa na Uengereza kama sikosei ,Siku hiyo alikuwapo Tony Blair wakati huo akiwa ni waziri mkuu wa Uk, kilichotokea Museveni akapewa kisogo na Tony Blair hali ya kuwa walikuwa wameketi jirani ,na huyu jamaa yenyu amekuwa akijifanya shumaha sasa unakaribia tamati kumaliziki kuyeyuka ,mtakuja shuhudia wenywe jinsi walio pembeni yake na wapambe wake watakavyo mtupia zigo la Msalaba alibebe peke yake .
 
Tanzania kama nchi itavuka tu; the country will for sure outlive "the professor without a profession"!! kama Rwanda ilivuka tetemeko la genocide na sasa inaunguruma kiuchumi kuliko Tanzania ambayo its thieving leadership haijui jinsi ya kuwaletea wananchi wake maendeleo wakati wa amani sina uhakika kama watajua cha kufanya wakati wa vurumai kufuatia haya ya Jaji warioba majuzi!!

Rwanda ni kama mkoa wa pwani tu hata wewe unaweza kuongoza
 
Back
Top Bottom