kama hupendi sawa but ndo habari nyeti zilizotufikia.
Marekani wamemwambia profesa kuwa ni wakati sasa inabidi aamue kama ni east au west. Hii ni baada ya Russia kuonyesha nia ya kuanza uhusiano wa kiuchumi na Tanzania,nia ambayo inafuatiwa na ujio wa rais wa Russia kama prof hatakataa.
Waziri wa fedha wa marekani mbali na mambo mengine alileta ujumbe mahususi kwa la profeseri kuwa mahusiano yoyote na Russia katika kipindi hiki cha cold war reborn, ni nia ya moja kwa moja ya kupinga vikwazo (sanction) mbalimbali vilivyowekwa kwa Russia na jumuiya ya kimataifa.
Ikumbukwe USA walichukizwa sana na ile mikataba 16 kati ya profesa na CHINA na wakalichukulia kama ni uchonganishi wa kiuchumi.
To worsen matters, shinikizo la uingereza kwa rafiki zao marekani kuhusu kujitoa katika misaada ya kibajeti limeshika kasi, moja ya mambo yaliyojadiliwa katika ujumbe huo mahususi ni ultimatum zilizotolewa na marekani kwa profesa kuhakikisha anashughulikia wezi wa escrow or else .
Inasemekana mambo si mazuri na ndugu zetu USA na hii inamfanya mkuu kufanya safari ya kiintelligensia USA ili apate muda wa kutosha kurekebisha mambo
Note: Tetesi hiinimepenyezewa na mmagogoni mmoja baada ya kumuhoji kuhusu taarifa ya safari ya mkuu ya 20 days
Hahahahahaaaaa huyu tayari namalizana nae, sijawahi kumtusi mtu ila huwa tunashindana kwa hoja tu
Sasa kama kwenye wizara moja, kitengo kimoja aliye Dar kalipwa, aliye Ngudu hajalipwa, si wamelipwa wa DAR hapo?
east daima,nani aende west ,unapewa condom kisha masharti kibao.
sisi sera yetu ni kutofungamana na upande wowote kwahiyo kama marekani akiona nguo imebana aivue asepe mapema kabisa sisi hatuchaguliwi rafiki.
usihofu duniani wanaume ni wengi sana,huyo mrusi tu ninaamini anakuja kutoa posa,maana mchina keshatuzalisha watoto wasiyoeleweka, anyway nitashangaa sana iwapo tutachaguliwa rafiki, natamani Mugabe aje awe Rais wetu au awe mshauri mkuu wa presidaa.Hali ni mbaya eti eeeeeeh!!!!!.Ila njaa zingine bwana!!,CCM mmezidisha umalaya, hivi mnataka muolewe na wanaume wangapi?,Sasa mmeona matokeo ya kupenda pesa za wanaume yalivyo mabaya?.Marekani na UINGEREZA wanataka kujitoa kwenye hiyo ndoa.Cjui itakuwaje jamani???.
Huyu mtu kachoka hata kuchunga hataweza.
Jamani hebu nisaidieni... baba Riz amepewa uprof na chuo gani huko china? leo wakati anahutubia huko dodoma TBC wameendelea kumwita Doctor, sasa kama ni prof. na TBC bado wanamwita Doctor hilo sio kosa la jinai aisee?
mkuu wajerumani hawapendi unafiki kabisa so hatutawezana nao, sifa ya viongozi wa Tanzania ni unafiki na wizi
east daima,nani aende west ,unapewa condom kisha masharti kibao.
Bado hajakuwa rasmi prof wachina bado wanamtengenezea cheti kikiwa tayari watakileta na hapo ndipo atatangazwa kuwa profprof....you fail this nation!
jk ana~uimara wa kulizungumza hilo?I knew earlier! na nilisha lizungumza humu jf kitambo/kwa kuchanganya east na west ni rahisi nchi yetu kugeuka kama DRCsisi sera yetu ni kutofungamana na upande wowote kwahiyo kama marekani akiona nguo imebana aivue asepe mapema kabisa sisi hatuchaguliwi rafiki.