Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

Bora turudi kunywa chai ya sukari gulu kama enzi za mwalimu kuliko kuwanyenyekea hao west kwani hawabebeki.

Utakunywa wewe Professori wako hawezi kusema hayo na hawezi kunywa chai ya aina yako .
 
Kazi ipo. Majuzi alienfa China kusuluhisha mgogoro. Leo Amerika. Shamba lisilo na mwenyewe ni Tanzania. Hii ni another Berlin Confetence for Tanzania. Tumegawanywa. Hatutakusahau Kikwete.
 
Hatari mno.
Kuna mahali niliandika kapost fulani kuhusu hili,ngoja nikatafute.
 
Hii hapa post yenyewe;

Nakubaliana nawe kabisa mkuu.
Ni kweli Marekani na U.K zinatuhumiwa kuleta vurugu sehemu mbalimbali duniani ili kushinikiza maslahi yake na wamekuwa wakileta vita nchi nyingi ilimradi kama vurugu inasaidia maslahi yao.

Hata hivyo jamaa si wapuuzi kivile,ni wakoloni na wezi wazoefu tangu enzi. Wanachotazama ni mazingira ya eneo husika kama panahitajika vita au amani ili kudumisha maslahi yao.

Ukitazama Tanzania,wananchi wake wako chini mno katika kutambua na kudai haki zao.

Hali hiyo ndio inayoipa Tz sifa ya utulivu wa muda mrefu.

Watz wanahitaji basic needs fulani tu ili waione dunia ni pepo,ukiwapa hizo hata ukiwaibia they dont care.

Hii inaifanya Tz kuwa very special case.

Serikali iliyopo madarakani Tanzania hivi sasa,hasa kuanzia awamu ya tatu hadi ya nne,imekuwa ikiharibu uchumi wa watz walalahoi kufikia kiwango cha kuwastusha na wameanza kujitambua taratibu.

Serikali hii haijui kula na kipofu.

Wamarekani wanalijua hili vizuri,so usishangae wakajenga uhasama na serikali hii,kwani wanaona kwamba dalali wanayemtumia atawagharimu kutumia nguvu kulinda maslahi katika siku za usoni,mahala ambapo pasingekuwa na ulazima wowote kufanya hivyo,kama dalali huyo,angejua namna ya kula na kipofu.

Tena C.I.A wanaweza kutumia scenario hiyo kujenga trust kwa watz before it's too late,kwa kuipiga vita serikali inayochukiwa na watz wengi,wakapandikiza mtu wao katika mazingira yanayokubalika na watz,wakampa support,wakampaisha,wakamuingiza kwenye siasa zenu kisiri,mkampigia kura na kujipatia "Yeltsin" wenu,mkaanza kuongozwa kwa remote from Washington bila kujua,tena mkaridhika nae kwa kuwa kafundishwa namna ya kula na kipofu,na U.S ikatumia nguvu ndoogo kudumisha maslahi yake ndani ya Tz kwa miaka mingi hadi kitokee kizazi cha wenye macho badala ya vipofu,huku na wao wakiwa wameshaiba sana.

So,tusifikiri wakati wote mmarekani anataka vita,no,kuna wakati anataka amani kabisa ikiwa amani ndiyo tool nzuri kulinda maslahi yake kulingana na eneo husika unless eneo hilo halina umuhimu mkubwa sana kwake.

Kwa jinsi tabia ya utulivu ya watz ilivyo,tena walivyo consistent kwenye tabia hiyo,nina wasiwasi kama C.I.A wanafurahia ukandamizaji wa "mchana kweupe" unaofanywa na hawa mafisadi wetu,kwa sababu utaondoa utulivu wa watz mapema mno,bila ulazima wa kufanya hivyo.

Na utulivu wa watz ni wa wajinga,so ni tool nzuri kuwaibia.

We waachie uchumi wa kuchangia harusi,kucheza ngoma,kununua Toyota ipsum,kujenga nyumba ya vyumba viwili,kula kitimoto,bhaas,utaiba mafuta bila kuulizwa,tena watakusaidia uyabebe vizuri.

Kwa hiyo CCM huenda wako kwenye wakati mgumu sana,hawakubaliki na wananchi,hawapati support ya "mabwana wakubwa" wa dunia,kilichobaki ni hao wakubwa kuwatengenezeeni "Yeltsin" wao wampigie debe mumkubali kabla wananchi hamjajitengenezea "Yeltsin" wenu,kitu ambacho kitakuwa ni worst case scenario kwa mafisadi wote,wa ndani na nje.

Na maneno ya uzi kama huu,ikiwa mleta mada ni mwandani wa serikali,basi "wambea" tumeanza kunusa harufu kuwa serikali yetu ipo juu ya misumari ya moto,inatapatapa.

Hata huyo Putin si mjinga,KGB wake watampa mrejesho ili ajue wabongo tulipishana wapi na wazungu wenzie,halafu atafanya maamuzi akiwa influenced na factor hiyo pia.

Sidhani kama mbia wa biashara asiyekuamini ni mzuri kwako,ataishi nawe kwa tahadhari iliyopitiliza ambayo muda wowote ukijichanganya anaweza kukutia hasara kubwa.

Tabia ya ufisadi uliopitiliza ya viongozi wetu imevuka mipaka na kutoaminika hata na hawa wezi wenzao wa kimataifa.

Hata wizi nao unahitaji kuwa smart ili uwe mwizi wa kudumu.
 
20 days,??? Wakati zahanati hazina dawa, shule hakuna na hata hizo zilizopo hazina madawati. Kweli Tanzania tunaendeshwa kibabe
 
kila Kikwete anapokwenda nje ujue kicha agiza unyama fulani ufanyike kama mnabisha mtanieleza subirini tu
 
Kutofungamana na upande wowote hatujaanza leo
 
Serikali dhaifu ya CCM imeifanya Tanzania kuwa kama mwanamke malaya, kila mwanamme anamtaka!
 
Hii hapa post yenyewe;

Nakubaliana nawe kabisa mkuu.
Ni kweli Marekani na U.K zinatuhumiwa kuleta vurugu sehemu mbalimbali duniani ili kushinikiza maslahi yake na wamekuwa wakileta vita nchi nyingi ilimradi kama vurugu inasaidia maslahi yao.

Hata hivyo jamaa si wapuuzi kivile,ni wakoloni na wezi wazoefu tangu enzi. Wanachotazama ni mazingira ya eneo husika ili wayatumie kudumisha maslahi yao.

Ukitazama Tanzania,wananchi wake wako chini mno katika kutambua na kudai haki zao.

Hali hiyo ndio inayoipa Tz sifa ya utulivu wa muda mrefu.

Watz wanahitaji basic needs fulani tu ili waione dunia ni pepo,ukiwapa hizo hata ukiwaibia they dont care.

Hii inaifanya Tz kuwa very special case.

Serikali iliyopo madarakani Tanzania hivi sasa,hasa kuanzia awamu ya tatu hadi ya nne,imekuwa ikiharibu uchumi wa watz walalahoi kufikia kiwango cha kuwastusha na wameanza kujitambua taratibu.

Serikali hii haijui kula na kipofu.

Wamarekani wanalijua hili vizuri,so usishangae wakajenga uhasama na serikali hii,kwani wanaona kwamba dalali wanayemtumia atawagharimu kutumia nguvu kulinda maslahi katika siku za usoni,mahala ambapo pasingekuwa na ulazima wowote kufanya hivyo,kama dalali huyo,angejua namna ya kula na kipofu.

Tena C.I.A wanaweza kutumia scenario hiyo kujenga trust kwa watz before it's too late,kwa kuipiga vita serikali inayochukiwa na watz wengi,wakapandikiza mtu wao katika mazingira yanayokubalika na watz,wakampa support,wakampaisha,wakamuingiza kwenye siasa zenu kisiri,mkampigia kura na kujipatia "Yeltsin" wenu,mkaanza kuongozwa kwa remote from Washington bila kujua,tena mkaridhika nae kwa kuwa kafundishwa namna ya kula na kipofu,na U.S ikatumia nguvu ndoogo kudumisha maslahi yake ndani ya Tz kwa miaka mingi hadi kitokee kizazi cha wenye macho badala ya vipofu,huku na wao wakiwa wameshaiba sana.

So,tusifikiri wakati wote mmarekani anataka vita,no,kuna wakati anataka amani kabisa ikiwa amani ndiyo tool nzuri kulinda maslahi yake kulingana na eneo husika unless eneo hilo halina umuhimu mkubwa sana kwake.

Kwa jinsi tabia ya utulivu ya watz ilivyo,tena walivyo consistent kwenye tabia hiyo,nina wasiwasi kama C.I.A wanafurahia ukandamizaji wa "mchana kweupe" unaofanywa na hawa mafisadi wetu,kwa sababu utaondoa utulivu wa watz mapema mno,bila ulazima wa kufanya hivyo.

Na utulivu wa watz ni wa wajinga,so ni tool nzuri kuwaibia.

We waachie uchumi wa kuchangia harusi,kucheza ngoma,kununua Toyota ipsum,kujenga nyumba ya vyumba viwili,kula kitimoto,bhaas,utaiba mafuta bila kuulizwa,tena watakusaidia uyabebe vizuri.

Kwa hiyo CCM huenda wako kwenye wakati mgumu sana,hawakubaliki na wananchi,hawapati support ya "mabwana wakubwa" wa dunia,kilichobaki ni hao wakubwa kuwatengenezeeni "Yeltsin" wao wampigie debe mumkubali kabla wananchi hamjajitengenezea "Yeltsin" wenu,kitu ambacho kitakuwa ni worst case scenario kwa mafisadi wote,wa ndani na nje.

Na maneno ya uzi kama huu,ikiwa mleta mada ni mwandani wa serikali,basi "wambea" tumeanza kunusa harufu kuwa serikali yetu ipo juu ya misumari ya moto,inatapatapa.

Hata huyo Putin si mjinga,KGB wake watampa mrejesho ili ajue wabongo tulipishana wapi na wazungu wenzie,halafu atafanya maamuzi akiwa influenced na factor hiyo pia.

Sidhani kama mbia wa biashara asiyekuamini ni mzuri kwako,ataishi nawe kwa tahadhari iliyopitiliza ambayo muda wowote ukijichanganya anaweza kukutia hasara kubwa.

Tabia ya ufisadi uliopitiliza ya viongozi wetu imevuka mipaka na kutoaminika hata na hawa wezi wenzao wa kimataifa.

Hata wizi nao unahitaji kuwa smart ili uwe mwizi wa kudumu.

Pamoja unajichanganya ila naona unasema ninj.
Of course west hawataki migogoro maana migogoro ndio inaleta matatizo kwao na deal zao.
CCM sio modern world. Ni wazee wenyw itikadi zilizipitwa na wakti.

Hebu niambie nini maana ya kuongea na wazee?
Upuuzi mtupu!!!

Na ni kweli,west wataanza kampeni zao kutoa CCM kwneye madaraka maana iko linked na CHina na kitendo cha JK kutokuwa na msimamo kuwa hafungamani na nchi ndio imeharibu mambo.
Kikwete kaifanya Tz kama kahaba.mabwana wawili.

Mimi nataka CCm itoke madarakani kwa namna yeyote ile
 
sisi sera yetu ni kutofungamana na upande wowote kwahiyo kama marekani akiona nguo imebana aivue asepe mapema kabisa sisi hatuchaguliwi rafiki.

Hii ni sera ya zamani sana...
 
Tanzania yangu imekua kama kuku aliyekatwa kichwa hajui aendapo,huku yumo kule yumo,kama ingekua mtu basi mwanamke tena aliye na pepo la ngono,bora angekua malaya pesa angezichuma,shtuka tanzania kuwa na msimamo
 
May I quote you what Albert Einstein once said! "The world as we created it is a process of our thinkong.It can not be changed without changing our thinking".The worst unremarkable thinking with African leaders'thinking is to think that America is the friend to Africa.No! no ! a very great nation or any successful national in terms of human resources and an usurped technology as super as China and Russia can not absolutely befriend with Tanzania one of the poorest nation in the world planet. Mpaka nchi hii ichukuliwe name wakina Mwamunyange ndo pataeleweka!
jk asome haya/pia nadhani ana washauri wabovu watu kama salim h salim na warioba wanaoujua ulimwengu unaendaje kuliko kuja mabitoz
 
Naipenda sana marekani inavowatia jambajamba majinga majinga kama le professeri
 
ingekuwa mwalimu ndio prez wakati huu angewaonyesha dole la kati!
Si kweli hata kidogo wala asingeweza, kama alikuwa kidume kwa nini aliondoka madarakani? Kwa uhakika aliondoka ili kuficha aibu ya sera zake kufa kifo cha mende.
 
Wachina waliomtunuku upropesa WANATOSHA. wana pesa nyingi kwa hivyo hapana matata - ni kujinafasi kwa kwenda mbele. Hongera Propesa Jakaya Kikwete.
Na baada ya kutunukiwa upropesa juzi katoa ya moyoni mwake kuhusu uhuni aliofanyiwa Mzee Warioba kwamba "Naamini Katiba inayopendekezwa itapitishwa, nina matumaini hayo. Nadhani na mimi nitakavyokuwa napiga kampeni hayatatokea yale ya jana, maana mie sioni haya kuipigia kampeni kama wale wenzetu ambao wanataka isipite". (source: Mwananchi Nov 4, 2014)
Kamaliza mkuu wa nchi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Kwa nini Wachina wasimpe upropesa???

6: "yaliyompata Warioba amejitakia mwenyewe"
kwenye red mim hoi
 
jk asome haya/pia nadhani ana washauri wabovu watu kama salim h salim na warioba wanaoujua ulimwengu unaendaje kuliko kuja mabitoz

yap upo sahihi na hua nafikiri sana hawa jamaa wana tatizo gani vichwani mwao
 
Back
Top Bottom