Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,827
- 27,616
kwani kuna kampuni yoyote russia hapa kama *gazprom* lkn pia western haipaswi kuwa na hofu kama putin anakuja kutembelea tanzania kwa raha zake/
Hizo Cold Wars ya kwanza na ya pili ni zipi hizo?Cold war 3 reloaded .............
Sijui kama Rais kwa sasa anajua anachokifanya kwa Taifa letu, ila tu maji yalishamwagika na yatazoleka mwakani, mwakani kazi itakuwa moja tu kwa sisi wenye tunaojitambua vizuri.
If you had really known what does global economic warfare and economic area of influence mean you wouldn't have commented like this. Ukisemacho kitabaki kwenye vitabu na kusemwa kwenye majukwaa ya kisiasa but in a real sense maingiliano yapo na mifano ni mingi tu.hii ni habari ya kufikirika, hakuna ukweli ndani yake, marekani ipo huru kudeal na yeyote yule, that is known and respected by other sovereign states, we are also free to meet, talk, deal or not deal with any one as a free and sovereign state, that should be respected by other free sovereign states, USA is and has been our good and trusted partners for a very long time, that is undisputed fact and it will remain like that for years.
ingekuwa mwalimu ndio prez wakati huu angewaonyesha dole la kati!
hii ni habari ya kufikirika, hakuna ukweli ndani yake, marekani ipo huru kudeal na yeyote yule, that is known and respected by other sovereign states, we are also free to meet, talk, deal or not deal with any one as a free and sovereign state, that should be respected by other free sovereign states, USA is and has been our good and trusted partners for a very long time, that is undisputed fact and it will remain like that for years.
Si kweli hata kidogo wala asingeweza, kama alikuwa kidume kwa nini aliondoka madarakani? Kwa uhakika aliondoka ili kuficha aibu ya sera zake kufa kifo cha mende.
east daima,nani aende west ,unapewa condom kisha masharti kibao.
anaenda e-west
sisi sera yetu ni kutofungamana na upande wowote kwahiyo kama marekani akiona nguo imebana aivue asepe mapema kabisa sisi hatuchaguliwi rafiki.
Sasa hili noma ni sooo!!!!!
Sasa safari ya marekani tena , kunani?
Uongozi ni talanta na sio uswahiba! huwezi kuwa rafiki na taifa kama la marekani na uingereza ukaishia pazuri! haya ngoja tuone mtinange huu utakuwaje!
toka lini marekani ndugu zetu marekani hawana undugu na mtu yoyote wao ni maslahi yao kwanza angalia walivyomgeuka sadam na mbaya zaidi marekani wanaamini mafuta yote duniani ni ya kwaokama hupendi sawa but ndo habari nyeti zilizotufikia.
Marekani wamemwambia profesa kuwa ni wakati sasa inabidi aamue kama ni east au west. Hii ni baada ya Russia kuonyesha nia ya kuanza uhusiano wa kiuchumi na Tanzania,nia ambayo inafuatiwa na ujio wa rais wa Russia kama prof hatakataa.
Waziri wa fedha wa marekani mbali na mambo mengine alileta ujumbe mahususi kwa la profeseri kuwa mahusiano yoyote na Russia katika kipindi hiki cha cold war reborn, ni nia ya moja kwa moja ya kupinga vikwazo (sanction) mbalimbali vilivyowekwa kwa Russia na jumuiya ya kimataifa.
Ikumbukwe USA walichukizwa sana na ile mikataba 16 kati ya profesa na CHINA na wakalichukulia kama ni uchonganishi wa kiuchumi.
To worsen matters, shinikizo la uingereza kwa rafiki zao marekani kuhusu kujitoa katika misaada ya kibajeti limeshika kasi, moja ya mambo yaliyojadiliwa katika ujumbe huo mahususi ni ultimatum zilizotolewa na marekani kwa profesa kuhakikisha anashughulikia wezi wa escrow or else .
Inasemekana mambo si mazuri na ndugu zetu USA na hii inamfanya mkuu kufanya safari ya kiintelligensia USA ili apate muda wa kutosha kurekebisha mambo
Note: Tetesi hiinimepenyezewa na mmagogoni mmoja baada ya kumuhoji kuhusu taarifa ya safari ya mkuu ya 20 days
Tungeimarisha uhusiano na majirani badala ya kuzunguka aimlessly ulimwengu mzima kama kuku aliyekatwa kichwa. Hivi Tanzania tunafanya biashara gani na Vietnam? Rais wa Kenya ambaye nchi yake ni mmoja wa trading partner wetu wakubwa hajafanya state visit hapa tangua achaguliwe. Badala yake kiongozi wetu anaona anapendwa sana na wakubwa. Kama anapendwa sana mbona sasa wamekata misaada? Hawa wakubwa hawana rafiki wa kudumu