hmjamii
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 627
- 313
Sijui kama Rais kwa sasa anajua anachokifanya kwa Taifa letu, ila tu maji yalishamwagika na yatazoleka mwakani, mwakani kazi itakuwa moja tu kwa sisi wenye tunaojitambua vizuri.
Ngoja nikwambie kitu Raisi katika nchi hafanyi maamuzi tu hivi hivi wanaamua na kutenda wengine yeye ni mtangazaji tu