Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,836
Reaction score
1,846
kama hupendi sawa but ndo habari nyeti zilizotufikia.

Marekani wamemwambia profesa kuwa ni wakati sasa inabidi aamue kama ni east au west. Hii ni baada ya Russia kuonyesha nia ya kuanza uhusiano wa kiuchumi na Tanzania,nia ambayo inafuatiwa na ujio wa rais wa Russia kama prof hatakataa.
Waziri wa fedha wa marekani mbali na
mambo mengine alileta ujumbe mahususi kwa la profeseri kuwa mahusiano yoyote na Russia katika kipindi hiki cha cold war reborn, ni nia ya moja kwa moja ya kupinga vikwazo (sanction) mbalimbali vilivyowekwa kwa Russia na jumuiya ya kimataifa.

Ikumbukwe USA walichukizwa sana na ile mikataba 16 kati ya profesa na CHINA na wakalichukulia kama ni uchonganishi wa kiuchumi.

To worsen matters, shinikizo la uingereza kwa rafiki zao marekani kuhusu kujitoa katika misaada ya kibajeti limeshika kasi, moja ya mambo yaliyojadiliwa katika ujumbe huo mahususi ni ultimatum zilizotolewa na marekani kwa profesa kuhakikisha anashughulikia wezi wa escrow or else .

Inasemekana mambo si mazuri na ndugu zetu USA na hii inamfanya mkuu kufanya safari ya kiintelligensia USA ili apate muda wa kutosha kurekebisha mambo

Note: Tetesi hiinimepenyezewa na mmagogoni mmoja baada ya kumuhoji kuhusu taarifa ya safari ya mkuu ya 20 days
 
Marekani wamemwambia profesa kuwa ni wakati sasainabidi aamuekama ni east au west. Hiini baada ya Russia kuonyesha nia ya kuanza uhusiano wa kiuchumi na Tanzania,nia ambayo inafuatiwa na ujio wa rais wa Russia kama prof hatakataa.Waziri wa fedha wa marekanimbali na mambo mengine alileta ujumbemahususi kwa la profeseri kuwa mahusiano yoyote na Russia katika kipindi hikicha cold war reborn, ni nia ya moja kwa moja ya kupinga vikwazo (sanction) mbalimbalivilivyowekwa kwa Russia na jumuiya ya kimataifa.

Ikumbukwe USA walichukizwasana na ile mikataba 16 kati ya profesa na CHINA na wakalichukulia kama niuchonganishi wa kiuchumi.

To worsen matters, shinikizola uingereza kwa rafiki zao marekani kuhusu kujitoa katika misaada ya kibajetilimeshika kasi, moja ya mambo yalitojadiliwa katika ujumbe huo mahususi ni ultimatumzilizotolewa na marekani kwa profesa kuhakikisha anashughulikia wezi wa escrow.

Inasemekana mambo si mazurina ndugu zetu USA na hii inamfanya mkuukufanya safari ya kiintelligensiaUSAili apate muda wa kutosha kurekebisha mambo

Note: Tetesi hiinimepenyezewa na mmagogoni mmoja baada ya kumuhoji kuhusu taarifa ya safari yamkuu ya 20 days

Uongozi ni talanta na sio uswahiba! huwezi kuwa rafiki na taifa kama la marekani na uingereza ukaishia pazuri! haya ngoja tuone mtinange huu utakuwaje!
 
kama hupendi sawa but ndo habari nyeti zilizotufikia.

Marekani wamemwambia profesa kuwa ni wakati sasa inabidi aamue kama ni east au west. Hii ni baada ya Russia kuonyesha nia ya kuanza uhusiano wa kiuchumi na Tanzania,nia ambayo inafuatiwa na ujio wa rais wa Russia kama prof hatakataa.
Waziri wa fedha wa marekani mbali na
mambo mengine alileta ujumbe mahususi kwa la profeseri kuwa mahusiano yoyote na Russia katika kipindi hiki cha cold war reborn, ni nia ya moja kwa moja ya kupinga vikwazo (sanction) mbalimbali vilivyowekwa kwa Russia na jumuiya ya kimataifa.

Ikumbukwe USA walichukizwa sana na ile mikataba 16 kati ya profesa na CHINA na wakalichukulia kama ni uchonganishi wa kiuchumi.

To worsen matters, shinikizo la uingereza kwa rafiki zao marekani kuhusu kujitoa katika misaada ya kibajeti limeshika kasi, moja ya mambo yaliyojadiliwa katika ujumbe huo mahususi ni ultimatum zilizotolewa na marekani kwa profesa kuhakikisha anashughulikia wezi wa escrow or else .

Inasemekana mambo si mazuri na ndugu zetu USA na hii inamfanya mkuu kufanya safari ya kiintelligensia USA ili apate muda wa kutosha kurekebisha mambo

Note: Tetesi hiinimepenyezewa na mmagogoni mmoja baada ya kumuhoji kuhusu taarifa ya safari ya mkuu ya 20 days

Tanzania kama nchi itavuka tu; the country will for sure outlive "the professor without a profession"!! kama Rwanda ilivuka tetemeko la genocide na sasa inaunguruma kiuchumi kuliko Tanzania ambayo its thieving leadership haijui jinsi ya kuwaletea wananchi wake maendeleo wakati wa amani sina uhakika kama watajua cha kufanya wakati wa vurumai kufuatia haya ya Jaji warioba majuzi!!
 
Sijui kama Rais kwa sasa anajua anachokifanya kwa Taifa letu, ila tu maji yalishamwagika na yatazoleka mwakani, mwakani kazi itakuwa moja tu kwa sisi wenye tunaojitambua vizuri.
 
kama hupendi sawa but ndo habari nyeti zilizotufikia.

Marekani wamemwambia profesa kuwa ni wakati sasa inabidi aamue kama ni east au west. Hii ni baada ya Russia kuonyesha nia ya kuanza uhusiano wa kiuchumi na Tanzania,nia ambayo inafuatiwa na ujio wa rais wa Russia kama prof hatakataa.
Waziri wa fedha wa marekani mbali na
mambo mengine alileta ujumbe mahususi kwa la profeseri kuwa mahusiano yoyote na Russia katika kipindi hiki cha cold war reborn, ni nia ya moja kwa moja ya kupinga vikwazo (sanction) mbalimbali vilivyowekwa kwa Russia na jumuiya ya kimataifa.

Ikumbukwe USA walichukizwa sana na ile mikataba 16 kati ya profesa na CHINA na wakalichukulia kama ni uchonganishi wa kiuchumi.

To worsen matters, shinikizo la uingereza kwa rafiki zao marekani kuhusu kujitoa katika misaada ya kibajeti limeshika kasi, moja ya mambo yaliyojadiliwa katika ujumbe huo mahususi ni ultimatum zilizotolewa na marekani kwa profesa kuhakikisha anashughulikia wezi wa escrow or else .

Inasemekana mambo si mazuri na ndugu zetu USA na hii inamfanya mkuu kufanya safari ya kiintelligensia USA ili apate muda wa kutosha kurekebisha mambo

Note: Tetesi hiinimepenyezewa na mmagogoni mmoja baada ya kumuhoji kuhusu taarifa ya safari ya mkuu ya 20 days

Mkuu umevujisha kazi kwako sasa..
Meno,kucha na mijiti huko kwenye nanino ujipange.lol
 
Hali ni mbaya eti eeeeeeh!!!!!.Ila njaa zingine bwana!!,CCM mmezidisha umalaya, hivi mnataka muolewe na wanaume wangapi?,Sasa mmeona matokeo ya kupenda pesa za wanaume yalivyo mabaya?.Marekani na UINGEREZA wanataka kujitoa kwenye hiyo ndoa.Cjui itakuwaje jamani???.
 
Back
Top Bottom