Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

sisi sera yetu ni kutofungamana na upande wowote kwahiyo kama marekani akiona nguo imebana aivue asepe mapema kabisa sisi hatuchaguliwi rafiki.

Enyi wana wa Mafisadi,mnaodumaza Wananchi kwa kauli na vibwagizo vya 'NCHI HII NI MASKINI SANA' huku ninyi mkizitafuna kodi zetu mithili ya Mchwa kutafuna Nyasi.

Kutofungamana na upande wowote hio ni danganya toto tu,si kila siku mnawalamba wa USA miguu ili wawapatie mafungu?

Vichwa vingi vya magamba vimezoea na kukamatwa na roho TEGEMEZI kwa Mataifa ya Magharibi.
 
Na mapito tu wakati mwingine shida uleta maarifa maana itawafanya wawe wabunifu wa kuangalia vyanzo vipya vya mapato maana wao wanachojua ni kupanga kwa ku-copy na ku-paste alafu gap linalobaki wanakimbilia kwa wahisani
 
Huu ni muda wa kugeukia Mashariki sasa.
 
kama hupendi sawa but ndo habari nyeti zilizotufikia.

Marekani wamemwambia profesa kuwa ni wakati sasa inabidi aamue kama ni east au west. Hii ni baada ya Russia kuonyesha nia ya kuanza uhusiano wa kiuchumi na Tanzania,nia ambayo inafuatiwa na ujio wa rais wa Russia kama prof hatakataa.
Waziri wa fedha wa marekani mbali na
mambo mengine alileta ujumbe mahususi kwa la profeseri kuwa mahusiano yoyote na Russia katika kipindi hiki cha cold war reborn, ni nia ya moja kwa moja ya kupinga vikwazo (sanction) mbalimbali vilivyowekwa kwa Russia na jumuiya ya kimataifa.

Ikumbukwe USA walichukizwa sana na ile mikataba 16 kati ya profesa na CHINA na wakalichukulia kama ni uchonganishi wa kiuchumi.

To worsen matters, shinikizo la uingereza kwa rafiki zao marekani kuhusu kujitoa katika misaada ya kibajeti limeshika kasi, moja ya mambo yaliyojadiliwa katika ujumbe huo mahususi ni ultimatum zilizotolewa na marekani kwa profesa kuhakikisha anashughulikia wezi wa escrow or else .

Inasemekana mambo si mazuri na ndugu zetu USA na hii inamfanya mkuu kufanya safari ya kiintelligensia USA ili apate muda wa kutosha kurekebisha mambo

Note: Tetesi hiinimepenyezewa na mmagogoni mmoja baada ya kumuhoji kuhusu taarifa ya safari ya mkuu ya 20 days

Kumbukumbu zinaonyesha Tanzania ni NAM aka hatufungamani na upande wowote pamoja na huyo China mwenyewe nae yupo NAM (au ilishakufa hii maana siasa za kimataifa sasa hivi naona kama nchi za magharibi zimeshinda though east hasa Russia bado wamo)
 
Hii hoja mwandish ameiandika baada ya kusoma magazeti...... ni ya kufikirika
 
Hakuna lolote zaidi ya hii vita baridi kati ya Marekani na Urusi na kundi lake, Marekani inajipanga kiuchumi ili isiyumbe Maana Warusi na kundi lake la BRIC wamejipanga kwa yote wamebana misaada nchi nyingi tu sio kwetu tu.
 
Nchi yetu haiwezi ku-afford mivutano hii.kama tumeamua kuwa upande wa China na Rusia basi watusaidie kupata TECHNOLOGIA kubwa ili tuwe na uhakika wa kujitegemea.lakini pia tusiwape wawekezaji kila kitu na kwa miaka mingi.
 
kama hupendi sawa but ndo habari nyeti zilizotufikia.

Marekani wamemwambia profesa kuwa ni wakati sasa inabidi aamue kama ni east au west. Hii ni baada ya Russia kuonyesha nia ya kuanza uhusiano wa kiuchumi na Tanzania,nia ambayo inafuatiwa na ujio wa rais wa Russia kama prof hatakataa.
Waziri wa fedha wa marekani mbali na
mambo mengine alileta ujumbe mahususi kwa la profeseri kuwa mahusiano yoyote na Russia katika kipindi hiki cha cold war reborn, ni nia ya moja kwa moja ya kupinga vikwazo (sanction) mbalimbali vilivyowekwa kwa Russia na jumuiya ya kimataifa.

Ikumbukwe USA walichukizwa sana na ile mikataba 16 kati ya profesa na CHINA na wakalichukulia kama ni uchonganishi wa kiuchumi.

To worsen matters, shinikizo la uingereza kwa rafiki zao marekani kuhusu kujitoa katika misaada ya kibajeti limeshika kasi, moja ya mambo yaliyojadiliwa katika ujumbe huo mahususi ni ultimatum zilizotolewa na marekani kwa profesa kuhakikisha anashughulikia wezi wa escrow or else .

Inasemekana mambo si mazuri na ndugu zetu USA na hii inamfanya mkuu kufanya safari ya kiintelligensia USA ili apate muda wa kutosha kurekebisha mambo

Note: Tetesi hiinimepenyezewa na mmagogoni mmoja baada ya kumuhoji kuhusu taarifa ya safari ya mkuu ya 20 days

hivi tutakuwa homba homba chini ya utawala wa chama cha mapinduzi na rathilimali nyingi tulizonazo mpaka lini? ni haibu ni haibu sana. wahondoketu 2015 waendezao hawana tena maarifa.
 
Back
Top Bottom