esther mashiker
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 616
- 555
ENDELEA KUOTA JPM HADI 2035
Usain bolt wa ufipaView attachment 1074933
Usain bolt wa ufipaView attachment 1074933
Hakuna contractions hapo kasema he is the best in faith.What a contradiction ni "worst president ever" na "he remains the best in faith". It's like eating a whole cake and keeping it.
Waambie Mafisadi na wahujumu uchumi watubu na kuomba msamaha watasamehewa ila tofauti na hapo wasubiri kupotezwa tu.Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.
Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.
Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.
Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.
Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?
Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.
Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
NAMAANISHA JIWE ONE TERM PRESIDENT 2020 MGOMBEA MWINGINEWewe...wataiba kura. THE WAY WANAIBA KWA MARUDIO YA WABUNGe NDIO WATAIBA KWA U RAIS
Waambie Mafisadi na wahujumu uchumi watubu na kuomba msamaha watasamehewa ila tofauti na hapo wasubiri kupotezwa tu.
Kwamba Mahakama ya mafisadi ni gereshaWaambie Mafisadi na wahujumu uchumi watubu na kuomba msamaha watasamehewa ila tofauti na hapo wasubiri kupotezwa tu.
Mnaweza kulazimisha/kung'ang'aniza kama ilivyo kwa Museveni, lakini swala msingi ni kuwa uwezo wa kuinua maisha ya wananchi wanyonge ameonyesha kuwa HANA.Kwa akili ya haraka haraka tu, tena ndogo, unavyoona Jiwe ni wa kuondoka 2020? Huyu tunaye mpaka 2030!! Mark my words!!
Mkuu Interest, nimeipenda hii statement ya "the worst ever" ," the best in faith"Rais Magufuli anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
"Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari."
Acha uhuni wewe mbona mambo yako safi kabisa chini ya JPM, yaani wewe umetolewa kwenye reli ya ufisadi sasa unasema JPM anaongonza vibaya so kweli.
Rais wa nchi lazima uwe nguvu ya maamuzi mazito. Kwahiyo wewe JK kuwaogopa mafisadi unaona ndio uongozi bora, ule ni udhaifu wa rais, hatutaki tena rais mdhaifu vile.
JPM kanyaga twende na kaza Uzi hivyohivyo.
Hatujamkosea Mungu kiasi hicho hadi atuadhibu kupita kiasi hichoENDELEA KUOTA JPM HADI 2035
Yahani amefanikiwa kuficha taarifa za madhaifu yake.Jamaaa hana uwezo.. keshachemka mara 100.. kaharibu nchi yetu.. kaitumbukiza katika umaskini wa kufa mtu.. nakubaliana na ushauri wako wa yeye kujitathmini na aachie ngazi 2020.. Watz tutamsamehe na atalipwa stahiki zake.. kama hofu yake ni kuhusu pensheni
Binafsi namchukia sana tena kwa sababu ya upeo wake mdogo.. alifikiri uchumi wa nchi ni sawa na biashara ya vitumbua..
Kaua kilimo.. rejea issue ya mbaazi na korosho
Kaua afya.. anajigamba kujenga vituo vya afya lakini kwenye hivyo vituo hakuna hata panadol
Kaua elimu.. kila kitu upuuzi.. watoto hawana madarasa..
Sasa hapo mtadai vipi mna kiongozi?
Akwende bhana.. tushachoka
Tunavyohangaika kukuza tasnia ya riadha, hatuna wanariadha wazuri tangu Filbert Baye sijuiUsain bolt wa ufipaView attachment 1074933