Mambo ni mazito sana kwa Dkt John Magufuli...

Tatizo mtu akileta wazo, tunatoka kwenye mada na hoja za kusaidia nchi..tunaendekeza vyama!
Pitty..kama vijana fikra zao ndio hizi, naionea huruma hii nchi!
 
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
"ONE TERM PRESDENT" so SAD! but no alternative!😂😁
 
Samahani mkuu eti sisi tuliokua wapiga dili comments zetu tunachanganya na wasiokua wapiga dili hapa hapa au?
Hahahaha kiongozi Natoka hapa##Toka hapo. Dili zimebuma,hakuna cha mkato hapa.Tufanye kazi tupate hela.Mbona kuna wenzetu wanachapa kazi na kupata pesa kihalali na kula bata ya kufa mtu?Nasema mimi sina hela,sio wenzangu hawana hela,wanazo za kumwaga.
 
J
Kinachoendelea ni sawa na kutupa nguo ya mwanao aliyoianika juu ya waya wa umeme.

Wakati njia rahisi ingekua ni kufunga kamba ya kuanikia nguo ili wanao wasianike tena juu ya waya wa umeme.

Matokeo mnayoona yanatakua mazuri huko mbele ni uongo. Maendeleo ni plan sio kukurupuka na kusema nataka iwe hivi.
Kamwe hatuwezi pata maendeleo ya kweli kwa style hiyo
JPM alikaririwa akisema kwamba kama kuna kero au kitu cha maana atakashindwa kukifanya yeye, hakuna rais yeyote ajaye atakayeweza kufanya kitu hicho.

Kwa lugha nyingine pale atakapotuacha JPM 2025, tutagota hapo hapo! Sasa kama ni hivyo utasemaje ajiuzulu?
 
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
Acha uhuni wewe mbona mambo yako safi kabisa chini ya JPM, yaani wewe umetolewa kwenye reli ya ufisadi sasa unasema JPM anaongonza vibaya so kweli.

Rais wa nchi lazima uwe nguvu ya maamuzi mazito. Kwahiyo wewe JK kuwaogopa mafisadi unaona ndio uongozi bora, ule ni udhaifu wa rais, hatutaki tena rais mdhaifu vile.

JPM kanyaga twende na kaza Uzi hivyohivyo.
 
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
What a contradiction ni "worst president ever" na "he remains the best in faith". It's like eating a whole cake and keeping it.
 
Hivi ńa yeye huwa anapita humu au ndio ana shingo ngumu kama ya Pharaoh?
 
Kwamba atafute wataalamu wa kuchezesha/kupamba maneno aonekane anang'atuka na sifa nzuri?!!!
 
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
Very honest and bold advice. Hongera
 
Back
Top Bottom