monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,887
- 13,645
Mkuu,umeng'ata na kupuliza!
Sarcastic comment.The full term is 10 years, he is not even half of his term and he is doing wonders.
This man is changing for the better,
https://www.jamiiforums.com/threads...changing-for-the-better-hongera-sana.1477723/
P
Mbona hatukuoni siku hizi jukwaa la kimataifa kwenye mada za Rwanda?Ni kweli yeye sio mwanasiasa kwa hiyo kuongoza hawezi. Ilitakiwa awe na mwanasiasa anayemuelekeza nini cha kufanya halafu yeye abaki kwenye kusimamia utekelezaji. Naunga mkono hoja ya yeye kupumzika 2020.
Nyerere kwamwe hakuamini katika vyama vingi alichokifanya ni kupiga changa la macho dunia na kuweka vyama vingi boya.Mwalimu Nyerere tu ndie aliona mbali akakiri kuwa zama za ufalme wa chama kimoja,mtu mmoja kutoa hoja zinazohusu maisha ya watu ukome akakubali tuingie mfumo wa vyama vingi hili makundi mbali mali ya jamii yachangie ujenzi wa taifa lao.Viongozi au vyama vinavyogagania madaraka mwisho wa enzi zao ulikoma vibaya watu wanawachoka .Chonde Chonde Watanzania tusiombe kurudi nyuma wazama za kale
Na anayefanya mabaya matokeo yake yanajionyesha vizuri miaka mingi baadaye.Wana falsafa wamenena na kusema kuwa ' will au testament ' ya mtu hufanya kazi vizuri zaidi baada ya yeye kutangulia katika haki.
Mambo anayofanya Mh. Rais kwa sasa ni will ya kwake, itaonyesha maajabu na kuleta manufaa makubwa baada ya yeye kumaliza muda wake wa kikatiba kuongoza Inchi.
Manabii na mitume hawakueleweka wanachofanya mpaka walipoondoka hapa Dunuiani. Watawala wa wakati wa wakati ule waliwaua lakini watawala wa sasa wanawaamini na kuyafuata mafundisho yao.
Kila kitabu na zama zake, sisi wa kizazi hiki tuwe wavumilivu na wenye kuvuta subira ili kitabu hiki kitumike hadi wakati wake utakapokwisha.
Naamini kizazi kijacho kitampa Rais wa sasa sifa kubwa na kumwona kama Kiongozi maarufu Afrika kuwahi kutokea.
Rais moja Kaburu wa South Africa aliwahi kufanya utafiti kuhusu Mwafrika Mweusi wakati anafanya PHD yake na kuainisha kuwa kwa kusema " The most intelligent black African can't think beyond one year".
Tuombe maoni kwa wenzetu wanaoweza kufikiri kwa muda wa zaidi ya mwaka moja.
Twiga anapoacha majani ya juu ya mti, na kuja kula ya chini, yanayokanyagwa na hata vidigidigi.Miaka yote ya uhai wangu vituo vya afya vilizinduliwa na mwenge au wakuu wa wilaya.Hii ya kumuona mutu mukubwa anazindua vituo vya afya ilinishangaza sana na nikajiuliza mambo mengi sana.Something is not right somewhere!
Kwenda zako wewe ndio mnasubiri eti msgufuli atolewe muendelee na maisha yetu ya ufedhuli. Mnaona siku zimeisha na uchaguzi atashinda mnajidai eti asigombee.Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.
Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.
Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.
Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.
Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?
Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.
Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
Ni kweli yeye sio mwanasiasa kwa hiyo kuongoza hawezi. Ilitakiwa awe na mwanasiasa anayemuelekeza nini cha kufanya halafu yeye abaki kwenye kusimamia utekelezaji. Naunga mkono hoja ya yeye kupumzika 2020.
Jamaaa hana uwezo.. keshachemka mara 100.. kaharibu nchi yetu.. kaitumbukiza katika umaskini wa kufa mtu.. nakubaliana na ushauri wako wa yeye kujitathmini na aachie ngazi 2020.. Watz tutamsamehe na atalipwa stahiki zake.. kama hofu yake ni kuhusu pensheni
Binafsi namchukia sana tena kwa sababu ya upeo wake mdogo.. alifikiri uchumi wa nchi ni sawa na biashara ya vitumbua..
Kaua kilimo.. rejea issue ya mbaazi na korosho
Kaua afya.. anajigamba kujenga vituo vya afya lakini kwenye hivyo vituo hakuna hata panadol
Kaua elimu.. kila kitu upuuzi.. watoto hawana madarasa..
Sasa hapo mtadai vipi mna kiongozi?
Akwende bhana.. tushachoka
Hii ndio kazi mnayoiweza,mnaongea as if nchi haifanyi KAZI.Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.
Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.
Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.
Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.
Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?
Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.
Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
ZIMBABWE Robert Gabriel Mugabe,SOUTH AFRICA(zuma and Mbeki) walikuwa wakuu wa nchi .......Ooh I got you bro. But remember huyo ndio mwenyekiti wa Ma-ccm so I don't know
Tatizo wewe unaleta ushabiki..Hii ndio kazi mnayoiweza,mnaongea as if nchi haifanyi KAZI.
Mambo yanaendelea ila majizi na makuwadi yamekwama na that's it.
Shame on all of you.....sisi wananchi wa JMT,tumeamua tuko na Mheshimiwa,simba wa vita,the bulldozer John Pombe Magufuli 2020 - 2025 [emoji1241][emoji117][emoji818]View attachment 1075909View attachment 1075912View attachment 1075913
Labda kwa wale waliuza ubunge wao kuunga mkono juhudi. Mkuu kama uko mjini kwanini fremu nyingi ziko wazi kwa sasa??
Correction please...full term is 5 years, the extra five year's term is but a reward given but only if his performance merits it! The last time I checked, the man has so far completely failed to deliver. We are digging ourselves into the ground and the sooner we stop digging the better.The full term is 10 years, he is not even half of his term and he is doing wonders.
This man is changing for the better, P