Mambo ni mazito sana kwa Dkt John Magufuli...

Maraisi wote wanaanzaga na ushindi mkubwa awamu yakwanza then awamu ya 2 unashuka...magu Ni vice versa..ameanza na mdogo halafu unakuja mkubwa
 
Kijana una ng'ata na Kupuliza...una UMA haaaam alafu unapuliza puuuuu...
 
Mkuu Interest, nimeipenda hii statement ya "the worst ever" ," the best in faith"

Kanisome hapa

Its very true, he has started as the worst ever, he will finish the Best.
P
But how do you know that though? How do you know that he will "finish the best" if record shows that he is underperforming? Care to explain? How will he "finish the best" if time itself is not on his side? It seems to me, that we tend to forget easily. It's been nearly 5 years already since he was elected into office. If you ask me, he has already "finished the worst." The CAG debacle has shown us that, and this week's IMF statement is the last nail on the coffin. Let's not kid ourselves; unless the electorate is really blind, the man is toast.
 
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
Umeogopa kutekwa kwa jinsi ulivyo wind-up!
 
Labda ni kweli lakini je akishatoka 2020,Huyo anayefata aendeshe nchi kwa mfumo upi?
JIbu la hilo swali linaweza kuturudisha hatua nyingi nyuma na hii miaka mitano ya JPM iwe haikuwa na tija kwa nchi isipokuwa kwa miundombinu iliyojengwa na si maendeleo kwa ujumla.
Anaweza akamaliza miaka 10 ili hata tukisema ametufikisha pazuri au pabaya tuwe na haki ya kusema hivyo bila visingizio kuwa muda haukumtosha kwani imekuwa desturi kuwa na rais mmoja kwa miaka 10.
 
Kaka, mambo yamekuwa magumu mno kwake. Huoni anavyopata tabu na mambo yanaharibika kila upande?

Mbaya zaidi Serikali yake inapata hati chafu kuanzia kwa ukaguzi wa hesabu za ndani mpaka analysis za uchumi kimataifa kutoka kwa taasisi nyeti kama IMF.

Weka yote hayo pembeni. Mtaani hali ikoje?

Me namuamini sana Dokta pengine zaidi yako. Na bado sibadilishi maneno kwamba amejaribu kutekeleza dhamira yake kwa kiasi kikubwa na dhati kabisa, lakini truth be told - amechemka. Hesabu zimekataa!
Miaka yote ya uhai wangu vituo vya afya vilizinduliwa na mwenge au wakuu wa wilaya.Hii ya kumuona mutu mukubwa anazindua vituo vya afya ilinishangaza sana na nikajiuliza mambo mengi sana.Something is not right somewhere!
 
Wana falsafa wamenena na kusema kuwa ' will au testament ' ya mtu hufanya kazi vizuri zaidi baada ya yeye kutangulia katika haki.
Mambo anayofanya Mh. Rais kwa sasa ni will ya kwake, itaonyesha maajabu na kuleta manufaa makubwa baada ya yeye kumaliza muda wake wa kikatiba kuongoza Inchi.
Manabii na mitume hawakueleweka wanachofanya mpaka walipoondoka hapa Dunuiani. Watawala wa wakati wa wakati ule waliwaua lakini watawala wa sasa wanawaamini na kuyafuata mafundisho yao.
Kila kitabu na zama zake, sisi wa kizazi hiki tuwe wavumilivu na wenye kuvuta subira ili kitabu hiki kitumike hadi wakati wake utakapokwisha.
Naamini kizazi kijacho kitampa Rais wa sasa sifa kubwa na kumwona kama Kiongozi maarufu Afrika kuwahi kutokea.
Rais moja Kaburu wa South Africa aliwahi kufanya utafiti kuhusu Mwafrika Mweusi wakati anafanya PHD yake na kuainisha kuwa kwa kusema " The most intelligent black African can't think beyond one year".
Tuombe maoni kwa wenzetu wanaoweza kufikiri kwa muda wa zaidi ya mwaka moja.
Una roho ngumu kama ya kamongo!
 
Another fisadi uliyezibiwa mianya ya upigaji. Eti asigombee 2020. Are you serious kweli? mzee baba imekula kwako utatubu sana hamna cha maana ulichoongea hapo JPM unaye bado mpaka 2025 so jiandae kisaikolojia. Fanya kazi hamna tena pesa za magumashi.
Hivi wakulima wa mahindi,mbaazi ,korosho nao walikuwa wanasubiri pesa za magumashi?Hawajafanya kazi kweli?
 
Mkuu Interest, nimeipenda hii statement ya "the worst ever" ," the best in faith"

Kanisome hapa

Its very true, he has started as the worst ever, he will finish the Best.
P
Duh!
 
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
Mambo sio Mazito Tu, Bali Mambo ni Mengi na Muda Haumsubiri Mtu, Tuwewazalendo Kweli Kweli.
 
Hakuna contractions hapo kasema he is the best in faith.
Sawa nijuavyo na niaminivyo mimi imani ndiyo inaanza kabla ya maneno na matendo ya mtu. Mnafiki tu ndiye anawaza kuonekana kwa judgement za huyu mleta mada.
 
Tunavyohangaika kukuza tasnia ya riadha, hatuna wanariadha wazuri tangu Filbert Baye sijui

Kumbe ufipa wamekalia talanta
Unapoteza muda wako, hatuhami hapo kwa Mfalme Jiwe the failure.
 
Labda ni kweli lakini je akishatoka 2020,Huyo anayefata aendeshe nchi kwa mfumo upi?
JIbu la hilo swali linaweza kuturudisha hatua nyingi nyuma na hii miaka mitano ya JPM iwe haikuwa na tija kwa nchi isipokuwa kwa miundombinu iliyojengwa na si maendeleo kwa ujumla.
Anaweza akamaliza miaka 10 ili hata tukisema ametufikisha pazuri au pabaya tuwe na haki ya kusema hivyo bila visingizio kuwa muda haukumtosha kwani imekuwa desturi kuwa na rais mmoja kwa miaka 10.
Bado wapenda kuendelea kuwa wa kufanyiwa majaribio? Wajameni mwee! haujachoka na maigizo? Hata wale mashangazi wa Ntwara wakikusikia watatamani kujimaliza.
 
But how do you know that though? How do you know that he will "finish the best" if record shows that he is underperforming? Care to explain? How will he "finish the best" if time itself is not on his side? It seems to me, that we tend to forget easily. It's been nearly 5 years already since he was elected into office. If you ask me, he has already "finished the worst." The CAG debacle has shown us that, and this week's IMF statement is the last nail on the coffin. Let's not kid ourselves; unless the electorate is really blind, the man is toast.
The full term is 10 years, he is not even half of his term and he is doing wonders.
This man is changing for the better,
https://www.jamiiforums.com/threads...changing-for-the-better-hongera-sana.1477723/
P
 
Back
Top Bottom