Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,612
- 17,647
Tatizo sio nia nzuri sijui aliyonayo tunachotaka kuona sisi ni 1+1=2 na sio 1+1=-35
Be wise and fair.What a contradiction ni "worst president ever" na "he remains the best in faith". It's like eating a whole cake and keeping it.
Hahahaha kiongozi Natoka hapa##Toka hapo. Dili zimebuma,hakuna cha mkato hapa.Tufanye kazi tupate hela.Mbona kuna wenzetu wanachapa kazi na kupata pesa kihalali na kula bata ya kufa mtu?Nasema mimi sina hela,sio wenzangu hawana hela,wanazo za kumwaga.
ikifika 2030 watoto wako watakuwa na nguo za viraka , maandishi hayapotei nitakukumbushaKwa akili ya haraka haraka tu, tena ndogo, unavyoona Jiwe ni wa kuondoka 2020? Huyu tunaye mpaka 2030!! Mark my words!!
Huyu jamaa yetu kweli ana nia nzuri,ana energy ya kutosha Ila amekosa kitu muhimu Sana '' Brain" na maarifaNamuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.
Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.
Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.
Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.
Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?
Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.
Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
tumia ubongo na siyo rojo lililopo tumboni kwako unapojadili hoja nzito! Wewe siyo Mungu hadi umkadirie umri wa kuishi!Baada ya kuzibwa mianya ya madawa ya kulevya ufipa mna haha sana.
Magufuli ni mpaka 2030
Well said!Kwa taarifa yako hata kwenye nchi zenye vita kuna watu wana hela za kumwaga kwani wanauza silaha, madawa, chakula nk. Kinachozungumzwa ni mazingira sahihi kwa wote kuwa na hali ya kuridhisha. Ni wangapi wanafungua shughuli na ni wachapa kazi lakini purchasing power Ni ndogo kiasi kwba shughuli hizo zinakufa? Kwani unaposikia nchi yetu ikiitwa masikini sana ni kwamba hamna matajiri kama kina Mo, Bakhressa nk?
Hana busaraHuyu jamaa yetu kweli ana nia nzuri,ana energy ya kutosha Ila amekosa kitu muhimu Sana '' Brain" na maarifa
Mlikua mnataka kumpiga ya moto...poleni sanaUsain bolt wa ufipaView attachment 1074933
Kaka, mambo yamekuwa magumu mno kwake. Huoni anavyopata tabu na mambo yanaharibika kila upande?
Mbaya zaidi Serikali yake inapata hati chafu kuanzia kwa ukaguzi wa hesabu za ndani mpaka analysis za uchumi kimataifa kutoka kwa taasisi nyeti kama IMF.
Weka yote hayo pembeni. Mtaani hali ikoje?
Me namuamini sana Dokta pengine zaidi yako. Na bado sibadilishi maneno kwamba amejaribu kutekeleza dhamira yake kwa kiasi kikubwa na dhati kabisa, lakini truth be told - amechemka. Hesabu zimekataa!
Dili Mbona bado zipo? Doto katibu mkuu bado anapiga dili na wenzake ndiyo maana hamtaki CAG akague hesabu zakeSamahani mkuu eti sisi tuliokua wapiga dili comments zetu tunachanganya na wasiokua wapiga dili hapa hapa au?
Ni Rais wa milele kama kagame na museveni?JPM ndio asubuhi kumekucha,hatoki mtu hapo.
Atupishe tu the failed presidentNamuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.
Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.
Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.
Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.
Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?
Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.
Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
Mkuu 2030 hafiki, anajikaza tu lakini pale alipo amenyoshwa na system vibaya mno.Kwa akili ya haraka haraka tu, tena ndogo, unavyoona Jiwe ni wa kuondoka 2020? Huyu tunaye mpaka 2030!! Mark my words!!
https://www.jamiiforums.com/threads/mizengo-kayanza-peter-pindas-profile.88155/#post-1270420Eti mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika,tuwekee video akisema hivyo.
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu....Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake.....Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.
Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?
Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.
Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. ...
Sio 2030 tu hata mpaka afe lkn bado historia itamhukumu na hata kifo chake kitakuwa ni cha aibu.Baada ya kuzibwa mianya ya madawa ya kulevya ufipa mna haha sana.
Magufuli ni mpaka 2030
Labda kwa wale waliuza ubunge wao kuunga mkono juhudi. Mkuu kama uko mjini kwanini fremu nyingi ziko wazi kwa sasa??Hahahaha kiongozi Natoka hapa##Toka hapo. Dili zimebuma,hakuna cha mkato hapa.Tufanye kazi tupate hela.Mbona kuna wenzetu wanachapa kazi na kupata pesa kihalali na kula bata ya kufa mtu?Nasema mimi sina hela,sio wenzangu hawana hela,wanazo za kumwaga.