Kwenye mashindano ya kutibu magonjwa gani?Daktari samia atashinda kwa 99.9%.
Uchaguzi mkuuKwenye mashindano ya kutibu magonjwa gani?
Yote hayo nayaweza isipokuwa Namba 8!1 . Mpe nafasi ya kucheat .as long atatumia protection n arudi kwa nyumba. Kwa maana ukishindana n mwanaume utachoka
2.Mheshimu.
3.mpe yote kitandani
4.usimufokee
5.usiwe mropokaji
6.mpikie chakula kitamu
7. Uwe msafi
8. Usiwahi shika simu yake.
9.heshimu wazazi wake.
10. Be a supportive wife.
11. Kuwa mwanamke asiye omba pesa ovyo ovyo.
Wanaume kuna kitu tumesahau hapo.!?
Haiwezekani,najua humo nitapata umbea wote!Hahahaa namna nanee sumuu elekezi usigusee
Na akirudi toka mchepukoni umpikie ChaKula kitamu🤓🤓🤓🤓🤓1.nimruhusu achepuke then 3.nimpe yote😳
Hivi mmetuona vikopo eti?🤨
Huwa tunawakinai kimtindo so yafaa akishakuchoka mpe nafasi akupige ya watoto wa 2005 mpk ichanganyikiwe.akili ikae Sawa kikubwa mzalie Tu mumeo huyo ulee watoto1.nimruhusu achepuke then 3.nimpe yote😳
Hivi mmetuona vikopo eti?🤨
😄😄😄Asiwe mwanachama wa VIKOBA.
ova
Sawa mkuuHuwa tunawakinai kimtindo so yafaa akishakuchoka mpe nafasi akupige ya watoto wa 2005 mpk ichanganyikiwe.akili ikae Sawa kikubwa mzalie Tu mumeo huyo ulee watoto
Marriage is a scam thing🚮Na akirudi toka mchepukoni umpikie ChaKula kitamu🤓🤓🤓🤓🤓