Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Muwape pesa maana wenye fedha za EPA bado wapo!!!!!!!!!!!! SISIEMU kwa ghiliba hamjambo!!!!!!!!!!Wanajf
Baada ya kufanya kazi kubwa ya kukisafisha Chama sasa hivi kinaanza kumeremeta
Nakumbushia mkoa wa DAR es salaam kuandaa maandamano makubwa ya kumpokea na kumpongeza
Hata wanaJF wenye mapenzi mema na JK na MUkama kuwapa nguvu maana TANzania inazaliwa upya
Wanajf

Kwani cdm nani ana mvuto kuzidi nape?
Yaa, Nape anafaa, he is good fighter! apewe nafasi aongoze.
hili ndio gamba gumu kuliondoa,halihitaji mwamba bali linataka kisu kikali cha kuliondoa,bila kuliondoa gamba hili sina uhakika kama ccm itarudisha mvuto!kundi la RA au EL plus Makamba?
Mnaongelea mvuto wa sura au mvuto wa brain? Kama ni wa sura tanzishe shindano la kumtafuta.
Kapenga, katutoa kwenye dhumuni letu nasi tumemruhusu.
Kwani cdm nani ana mvuto kuzidi nape?