Habari za kiintelijensia kutoka dodoma zinasema lowasa katoswa rasmi nec,.na wnegine wanafuatia,.hii nyeti nimeipata kutoka kwa ccm member aliyomo ndani ya hichi kikao cha wanga
- The dataz is: Ilikuwa either mabadiliko au six and the gang to Opposition!...ha! ha! ha! ha! ha! six won! ha! ha! ha!....ooooooh! six the man unapoweza kumtukana mkulu na akakupa uwaziri anyways! ha! ha! ha!
......stay ....tuned...!
Field Marshall Es!
Habari za kiintelijensia kutoka dodoma zinasema lowasa katoswa rasmi nec,.na wnegine wanafuatia,.hii nyeti nimeipata kutoka kwa ccm member aliyomo ndani ya hichi kikao cha wanga
hiki chama siyo Mungu na kitakufa tu... huu ni mwanzo na mwendelezo wa kifo chake blv me...Habari kutoka Dom zinasema kwamba JK kavunja Katiba ya CCM -- yaani hana madaraka/mamlaka ya kuivunja kamati Kuu na Sekretariat -- kwa maana Katiba ya chama iko kimya (silent) kuhusu suala hilo.
Pia kuna tetesi kwamba wale ambao JK alikuwa anadhamiria kuwatosa sasa wanapanga mikakati ya kuliibua suala hilo kuonyesha JK alikosea na wataalamu wa sheria katika chama hicho wanajaribu kufafanua mambo, lakini hali ni tete sana.
Hata hivyo wenye kuwa na uelewa kamili kuhusu suala hilo tunaomba atufafanulie.
Inavyoelekea chama hichi kimejiwekea misingi ya kutokufa!
Wabongo nao... kila jema lifanywalo mnatafuta upande wa pili, likifanyika baya manasema, heeeee.
Watanzania watu wa ajabu sana
Yaani kwenu this is the most important news of all?
You guys never cease to amaze me
watu wamekutana na chama chao kicha wanaamua who has to go and who has to stay kwenu hiyo big news?
Hivi kweli matatizo yote tuliyonayo kuanzia TRA, bandarini na uchafu ulikokithiri na matatizo ya elimu na afya yatatatulika baada ya kuondolewa watu wawili au baada ya kuvunjwa kamati kuu ya CCM?
Rostam na Chenge je ??? Jamani tusidanganywe na hawa wachawi wa ccm ! Mapambano ndo tu yanaanza mpaka kifahamike. Total liberation ni 1215 !
Unataka tuwe tunaanza na Title then abstract then ...results.......then conclusion unamalizia na Appendix, hayo ya scientific report hayapo hapa unachotakiwa wewe ni ku-hit kwenye point tu basi mambo ya citation wapi na wapi.Tatizo nafikiri hatufati kanuni za uadishi wa paper, ni lazima uli reference mahala fulani ili ku -justfy unachoongelea. Nani alikuambieni Sita, mwakyembe wanapigania masilahi yako. Fuatilia kwa makini mwanzoni mwa sakata la Richmord sita akiwa spika wakati huo wakiwa kundi moja na akina RA. Hoja alijaribu sana kuizima na kusema ulongo ulongo. Sita ameanza kupigana baada ya ku defect kutokana na kuzidiwa ujanja.
Tatizo wewe unaongea kama watoto wa Gadafi kumhasi baba yao na eti nao wamuite dictator baba yao, hasa unapowataja akina Mwinyi. Na vijana wachache waliopo wala sio wakutolea mfano kwa sababu wazee wamewa-abducted.
Tanzania hakuna mzee anayepigania haki ya Tanzania ila ni majambazi wawili wanapigania walichokipora, sasa mmoja anaonekana kulemewa. Na wengine wako pembeni wakitamani kuingia mahali hapo nao waibe.