Mambo matatu ya kurekebisha ndani ya CHADEMA


Chadema haifuati maelekezo kutoka Lumumba
 
Kamanda umepamba rangi nyingi mpaka unamchanganya msomaji.
 

Naona ukibaraka wako kwa zitto live mapema
 
Last edited by a moderator:
Naona leo makamanda wa kihindi wanapambana wenyewe tatizo Salary siyo mchaga lazima wamfukuze.
Nenda kauze sura za fisi Stadium maama mliompa tenda yakuleta watu uwanjani amekimbia na hela
 

Kama sikosei (nipo radhi kukosolewa) jana ulikuja na uzi wa msigwa humu ndani, 'eti kanunuliwa na nyalandu, kajiunga na kambi ya lowassa', mwisho ukahitimisha hata zitto alianza hivihivi. mi nadhani hata kwako imeanza konyesha dalilili, 'mtela, juliana na wenzake' walianza hivi hivi.....tafadhari endea kutuonyesha rangi yako halisi
 
Hivi nikuuluze kwa mfano,watanzania walipokataa mfumo wa vyama vingi walikuwa na sababu gani za msingi zaidi ya propaganda za CCM?
Sawa brother,upo sawa kuwa walikataa kwa sababu ya propaganda.
Lakini Nyerere hakukomalia tuingie kwenye vyama vingi ili kuzishinda propaganda za ccm.
Tulichagua vyama vingi kwa kuangalia faida zake na sio kushindana na propaganda za ccm.
Nadhani umenielewa vizuri mkuu.
 
Una uhakika?

Acha kupotosha!
 

Hata hujielewi unataka kusema nini.Kula hela ya CCM kunakupa laana.

Si umesema kuna ukabila Chadema? Mbona huweki wazi huo Ukabila?

Shame on you!
 
Last edited by a moderator:


Hoja yako ni sherehe Lumumba bila wewe kujua
 
uwe na mke wakumfanya nini wakati huko nyuma kumelegea? kila siku unafumuliwa marinda halafu unaandika kinyesi humu. pyuuuu!.
Naona unakumbuka yale unayofanyiwaga na fisi pale Lumumba kwenye vibuyu
 

Uzi ule kuna post nilitaka kupost, huwezi amini iligoma...!!! Sijui kwanini? Itoshe tu kusema ilikuwa ya moto na mleta mada ile angeisoma angeungulia mbali kabisa...

Ila sidhani kama aliyeleta ile mada ni mleta mada hii.., ngoja niitafute.

BACK TANGANYIKA
 
mkuu umekosea Jana alileta mtoto mmoja anaitwa Shardcole
Mhuu jamaa ni mkereketwa sana wa CDM fuatilia nyuzi zake za nyuma ni against ZZK ila amwakilisha kilicho mitaani.Leo vijiwe vya Mpira vinajadili Zipi sababu haswa za ZZK kufukuzwa uanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…