Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,530
- 43,913
Naona leo makamanda wa kihindi wanapambana wenyewe tatizo Salary siyo mchaga lazima wamfukuze.Teh Teh
Naona leo makamanda wa kihindi wanapambana wenyewe tatizo Salary siyo mchaga lazima wamfukuze.Teh Teh
Salary Slip
Unamtibu Mgonjwa ambae wenyewe wameshmkatia tamaa.
usifikiri hicho ulichoandika Mbowe hakioni,wanajua wanachokifanya na kwa bahati Mbaya wapo vijana wameahiriwa mitandaini kupambana na hoja kinzani dhidi ya tishio lilote la wakubwa kupokonya power yao.
Wapo tayari hata kuua ilimradi wabaki madarakani.
Hujui kuwa hata Mugabe ,Museven na Kagame wanawashauri,umewahi kujiuliza kwanini hawapishi wenzao madarakani?
Ifike wakati nawe ukate tamaa na kijiandaa kisaikolojia kung'atuka.
Mbowe kawekeza sana Chadema na huu ndio muda mgodi unatema,akibaki na wabunge watano naamini atang'atuka tu maana atakuwa hana chakupoteza tena.
Kamanda umepamba rangi nyingi mpaka unamchanganya msomaji.Hapo sasa......
Naona umeamua kuja na Id yako nyingine, naam ile moja haitoshi, umeona ukafukunyue nyingine ili uendelee kupambana..!! Anyway tuko pamoja tunakwenda Sambamba mpaka utakapo elewa kwamba kwa leo umekengeuka.!!!
Kwenye red para ya kwanza;
Hapo unabainisha nguvu ya Propaganda, hii hufanywa na kila chama bila kujari inaelekea chama gani..Naam kama ni mbovu ktk kujibu Propaganda hizo then shimo la kisiasa lipo kwaajili yako utumbukie na upotee kabisa..!!! Halafu pia tambua, Ktk siasa hakuna rafiki wa kudumu na Adui wa kudumu kinachoangaliwa ni Maslahi ya Chama na Taifa. Hapo ndipo utakapowajua Chadema kwamba ni chama cha namna gani? Na hapa inadhihirisha kwamba vyama hivi vitatu vinacheza ngoma ya nani na ni nani anaye chagua wimbo. Kama unaakili japo kidogo huhitaji kujua nani anafaidika kwa hilo...
kwenye Blue;
Tambua na tena elewa, Hapa nilipo sifahamiki kwa Diwani,Mwenyekiti wa kijiji,Mkiti chama kata achia mbali Mbunge,Dr Slaa,Makene na yeyote yule maarufu kwenye chama hiki. Nina kazi yangu ambayo namshukuru Mungu inanitoshereza kulea Familia ya watu kumi. Sina haja ya kujikomba kwenye siasa na wanasiasa ili nifanikiwe iwe kwa kuvizia Cheo makombo ama chochote kile. Na hapa kama hutaki kuamini sina haja ya kukuaminisha ya nini? itanisaidia nini? Mimi nafuata misingi ya chama na kwakweli Chadema imenivutia kuliko chama chochote kile hapa Tanzania (Huyo ni mimi wala si wewe hutaki acha)
Kwenye Bolded;
Ndugu nakupa pole sana, Eti unasema kazi ya wenyeviti wa chama hiki(Chadema) wanaeneza Propaganda?? Akili chovu kabisa hii....!!!! Njoo hapa Tdm, wenyeviti hawa tangu wamechaguliwa ni watu wanaowajibika kwa wananchi kwa kuumiza kichwa ni namna gani watawatumikia nje ya mfumo mbovu waliouzoea, Na hapa ninapo sema na wewe huko Sogea juzi wameshirikiana na wananchi kubuni na kujenga kituo cha afya (Ambacho hata hivyo wenye akili chovu kama wewe wamezuia kwa madai ati sehemu wanayotaka kujenga ni yao) Daaah ccm imeathiri watu vibaya sana...!!!!!
Kwenye Green;
Waswahili wana msemo kwamba aisifuye mvua imemnyea...!!! Hapa unatuonyesha tabia zako mbaya za uchafu na kujifanya wajisafisha kwa Perfume...!!! Naam umejidhihirisha wewe ni mtu wa namna gani? sina haja ya kuongeza maana waswahili hawapungukiwi misemo pale waliposema "Kinywa huumba"...!!!
Kwenye Purple;
Sasa hapa nani anapiga propaganda ndugu yangu? Sisi tunakufahamisheni ninyi mliokengeuka kwamba uelewa wenu ni finyu.. Na maskini wa Mungu hatukufahamisheni haya hivihivi bali kwa hoja mwanana. Kumbe kwenu kufanya hivyo ni Maneno matupu na Propaganda...Hahahahahah akili zilizojichokea hizi... ebooooooooo..!!!!!
Kwenye red para ya mwisho;
Hayo ni mawazi yako mfu na uzuri nilikwisha kusema hapo mwanzo ikiwa Mungu kanipa kinywa,masikio,Ubongo na ktk kuvitumia silipii kodi yoyote then nani wa kuniamulia cha kusema?.... Ndiyo kaka/Dada umetimiza matakwa ya ubongo wako kupitia kinywa chako ulichopewa na Mwenyezi Mungu, ambaye wakati akiumbahivi viungo katu hakusema wala hakukupangia limit ya kuongea..!!! Then sisi tusemeje??? Tukisema thibitisha huo wizi,uwongo na kila. ulichodai hapo utaanza kujiumauma..... Akili mfu hizi!!!
Hiyo para ambayo sijaibold wala kui-color, kwakweli ndipo inapoonyesha umtu wa namna gani? Na kwakweli unapaswa kuhurumiwa kwakutoifanyia kazi akili,Ubongo uliopewa na Mwenyezi Mungu..
Na kama huu tunaoandika hapa niUPUMBAVU KABISA....Then kaka/dada yangu sioni jina sahihi la kutumia kwa hiki ulichopost hapa, ila itoshe tu kusema, UMEKENGEUKA.
Nb
Nategemea kuona Id yako ya tatu hapa ndani, na utazifukunyua zote leo. Hebu Njoo!!!
BACK TANGANYIKA
Tusipojirekebisha ataandaliwa mwingine na atapita kulekule alikopita Zitto nae ataonekana kaonewa.
Watu tunaleta mawazo kuondoa hizo loophole alafu nyie wengine kazi yenu ni kupiga makofu tu na si kusaidia viongozi kimawazo.
Dawa ya msaliti ni kumuacha ajimalize mwenyewe na si kumwekea vipengele vya kumbana na kumfanya aanze kutafuta huruma nje ya chama na mwisho wa siku anaonekana kaonewa au chama kinaminya haki za watu.
Waacheni watu waende mahakamani na mwisho wa siku watajimaliza wenyewe.
Dawa ya msali si kumkomoa bali ni kumpa haki yake na hatimae atajimaliza mwenyewe.
Katika siasa ukipewa haki pasipo kuungwa mkono ni bure tu.
Mwanasiasa hakubaliki kwa kupewa haki zake za kikatiba n.k bali kwa matendo yake.
Naona leo makamanda wa kihindi wanapambana wenyewe tatizo Salary siyo mchaga lazima wamfukuze.
Kamanda umepamba rangi nyingi mpaka unamchanganya msomaji.
Nenda kauze sura za fisi Stadium maama mliompa tenda yakuleta watu uwanjani amekimbia na helaNaona leo makamanda wa kihindi wanapambana wenyewe tatizo Salary siyo mchaga lazima wamfukuze.
Blind follower never reason!
Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.
Wana-CHADEMA,tunapaswa kutambua kuwa watu tunatofautiana katika uelewa wa mambo na katika mapokeo ya taarifa tunazoletewa au kuzisoma.
Kwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.
2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.
3.Mh.Mbowe,kipindi chako cha sasa kikiisha,nakushauri usigombee tena na utoe fursa kwa wengine kugombea na wewe kama kiongozi, ujikite katika kuhakikisha chama kinapata mrithi bora,wa kuamimika na mwenye viwango.
Mchango ndani wako ndani ya chama ni mkubwa na wa kuthaminiwa sana ila ni vizuri sasa ukatoa nafasi kwa wengine ili kukinusuru chama na propaganda hizi.
4.Japo hatuchagu kiongozi kwa kuangalia kabila lake, lakini ikiwezekana katika uchaguzi wa mwenyekiti ajae jambo hili likaangaliwa kwa mapana na marefu yake.
Wenye akili na upeo wa kuona mbali watanielewa, ila wenye kukariri kuwa chama hakihitaji ushauri wa aina hii, watakuja hapa na vijembe na kejeli.
Niwaambie tu,hata kiburi na kujiamini kwa Zitto msingi wake ni uwepo wa hizi propaganda na ndio maana hata anapata public sympathy kutoka kwa baadhi ya watu na watu hao ni wengi tu huku mitaani tunakoishi.Fanya utafiti mdogo uone.
Propaganda zingine ni za msimu tu lakini sio hizi nilizoziongelea hapa.
Yangu ni hayo tu.
Sawa brother,upo sawa kuwa walikataa kwa sababu ya propaganda.Hivi nikuuluze kwa mfano,watanzania walipokataa mfumo wa vyama vingi walikuwa na sababu gani za msingi zaidi ya propaganda za CCM?
Una uhakika?Kama sikosei (nipo radhi kukosolewa) jana ulikuja na uzi wa msigwa humu ndani, 'eti kanunuliwa na nyalandu, kajiunga na kambi ya lowassa', mwisho ukahitimisha hata zitto alianza hivihivi. mi nadhani hata kwako imeanza konyesha dalilili, 'mtela, juliana na wenzake' walianza hivi hivi.....tafadhari endea kutuonyesha rangi yako halisi
Ni vema ukaleta mipango ya ACT inavyoendelea..Porojo ulizotumwa na Zitto hazina mashiko
Tusipojirekebisha ataandaliwa mwingine na atapita kulekule alikopita Zitto nae ataonekana kaonewa.
Watu tunaleta mawazo kuondoa hizo loophole alafu nyie wengine kazi yenu ni kupiga makofu tu na si kusaidia viongozi kimawazo.
Dawa ya msaliti ni kumuacha ajimalize mwenyewe na si kumwekea vipengele vya kumbana na kumfanya aanze kutafuta huruma nje ya chama na mwisho wa siku anaonekana kaonewa au chama kinaminya haki za watu.
Waacheni watu waende mahakamani na mwisho wa siku watajimaliza wenyewe.
Dawa ya msali si kumkomoa bali ni kumpa haki yake na hatimae atajimaliza mwenyewe.
Katika siasa ukipewa haki pasipo kuungwa mkono ni bure tu.
Mwanasiasa hakubaliki kwa kupewa haki zake za kikatiba n.k bali kwa matendo yake.
Nitambua si kila propaganda ina nguvu lakini hizi ninazozisema zimetukali vibaya.
Hebu niambie propaganda ya ugaidi ina nguvu gani kwetu na imetuathiri nini.
Propanda ya ugaidi wengi wameipuuza na wala haina mashiko lakini sio hizo nilizozisema ambazo si za kupuuza hata kidogo.
Una uhakika?
Acha kupotosha!
Hoja yako ni sherehe Lumumba bila wewe kujua
uwe na mke wakumfanya nini wakati huko nyuma kumelegea? kila siku unafumuliwa marinda halafu unaandika kinyesi humu. pyuuuu!.Ninamke dini yangu ainiruhusu kuwa nawake wawili
Naona unakumbuka yale unayofanyiwaga na fisi pale Lumumba kwenye vibuyuuwe na mke wakumfanya nini wakati huko nyuma kumelegea? kila siku unafumuliwa marinda halafu unaandika kinyesi humu. pyuuuu!.
Kama sikosei (nipo radhi kukosolewa) jana ulikuja na uzi wa msigwa humu ndani, 'eti kanunuliwa na nyalandu, kajiunga na kambi ya lowassa', mwisho ukahitimisha hata zitto alianza hivihivi. mi nadhani hata kwako imeanza konyesha dalilili, 'mtela, juliana na wenzake' walianza hivi hivi.....tafadhari endea kutuonyesha rangi yako halisi
mkuu umekosea Jana alileta mtoto mmoja anaitwa ShardcoleKama sikosei (nipo radhi kukosolewa) jana ulikuja na uzi wa msigwa humu ndani, 'eti kanunuliwa na nyalandu, kajiunga na kambi ya lowassa', mwisho ukahitimisha hata zitto alianza hivihivi. mi nadhani hata kwako imeanza konyesha dalilili, 'mtela, juliana na wenzake' walianza hivi hivi.....tafadhari endea kutuonyesha rangi yako halisi