Mambo matatu ya kurekebisha ndani ya CHADEMA

Unaweza kuthibitisha kwamba mbowe alingofoa kipengele cha ukomo wa madaraka? Na isiwe habari za kusikia? na unajua hii katiba ya chadema ilipitiwa lin upya ?

Ebo?sasa maswali gani haya unauliza wakati katiba iko wazi?
 
Ngoma zinazopigwa na ccm naona wana chadema wenzangu mnazicheza baadala ya kudelete
 
Nakuheshimu sana lakini hoja zako zote dhaifu!!! Siasa ni perception nakubaliana na wewe Lakini kupima upepo na kujua kina cha maji ni muhimu sana kwa ustawi wa taasisi yoyote ile!!! Imagine Putin angekuwa anaimba nyimbo za maliberali wa Ulaya, leo hii Russia si ungekuta imetawaliwa? Kuelekea kushika Dola CHADEMA inahitaji Viongozi wa aina ya Mbowe wasiokuwa na Price Tag Mgongoni ... viongozi ambao wako tayari kutumia rasilimali zake kutimiza malengo ya CHADEMA... Ukomo unaamuliwa na wanachama kwa maslahi ya wanachama si mfumo!!! Hao wenye kupiga Propaganda ndo hao wamejaza watoto wao, wajukuu zao, wake zao na hata babu na bibi zao !! Fuatilia Takwimu ujionee mwenyewe ... ACT kwa sasa wamejaza mamluki wa CCM waliokuwa wanatumika kuidhoofisha CDM..ila baada ya muda vijana wa Mwandiga watajaa humo!!! ... Mambo muhimu ya kurekebisha CHADEMA ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu!!! Mkazo uwe kuwaandikisha wapiga kura Zaidi, kusimamia kura na kuwapata wagombea safi wenye sifa ya kuibadilisha Tanzania ndani ya miaka 5 tu ...

Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.

Wana-CHADEMA,tunapaswa kutambua kuwa watu tunatofautiana katika uelewa wa mambo na katika mapokeo ya taarifa tunazoletewa au kuzisoma.

Kwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.

2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.

3.Mh.Mbowe,kipindi chako cha sasa kikiisha,nakushauri usigombee tena na utoe fursa kwa wengine kugombea na wewe kama kiongozi, ujikite katika kuhakikisha chama kinapata mrithi bora,wa kuamimika na mwenye viwango.

Mchango ndani wako ndani ya chama ni mkubwa na wa kuthaminiwa sana ila ni vizuri sasa ukatoa nafasi kwa wengine ili kukinusuru chama na propaganda hizi.

4.Japo hatuchagu kiongozi kwa kuangalia kabila lake, lakini ikiwezekana katika uchaguzi wa mwenyekiti ajae jambo hili likaangaliwa kwa mapana na marefu yake.

Wenye akili na upeo wa kuona mbali watanielewa, ila wenye kukariri kuwa chama hakihitaji ushauri wa aina hii, watakuja hapa na vijembe na kejeli.

Niwaambie tu,hata kiburi na kujiamini kwa Zitto msingi wake ni uwepo wa hizi propaganda na ndio maana hata anapata public sympathy kutoka kwa baadhi ya watu na watu hao ni wengi tu huku mitaani tunakoishi.Fanya utafiti mdogo uone.

Propaganda zingine ni za msimu tu lakini sio hizi nilizoziongelea hapa.

Yangu ni hayo tu.
 
CC: jingalao
 
Back
Top Bottom