Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Mkuu pole sana naona hadi umeitwa fisi kwa kusema ukweli
Walio pata Aibu Arusha wamelala wewe umekimbia ile michezo ya fisi?
Mkuu pole sana naona hadi umeitwa fisi kwa kusema ukweli
Sawa lakini ulipoleta hapa ndio mahali pake?.
Halafu mbona hujaitolea ufafanuzi hoja yako namba 2 kuwa itakuwaje pale kwa mwanachama ambapo itathibitika pasipo na shaka kuwa alikuwa ana kihujum chama akishindwa mahakamani na yeye aruhusiwe kuendelea na uwanachama wake wakati ana kiuwa chama?.
Zana za kilimo hakuanza usaliti leo, nitakua wamwisho kuondoka chadema tafakari katikati ya mistariHoja yangu ni kuwa,mtu akiataka kufukuzwa katika chama na akaenda mahakami asizuiwe na kama mahakama itaona alikuwa sahihi kufukuzwa basi chama kimfukuze ila mahakama ikiona haikuwa sahihi kumfukuza basi uamuzi huo uheshimiwe pia.
Hata hivyo,uamuzi wa kukipeleka chama mahakami uwe ni wa mwisho baada ya jambo hilo kushindwa kusuluhishwa nje ya mahakama.
Niwambie tu,maadamu chama kina wabunge na ubunge wao unadhaniniwa na chama kwa maana ya mtu hawezi kuwa mbunge akivuliwa uanachama,hizi kesi za wabunge kukimbilia mahakamani wanapotaka kuvuliwa uanachama wao kamwe haziwezi kwisha.Leo hii ni Zitto lakini kesho atakuwa mwingine.
Mwanachama wa kawaida(asie mbunge au kingozi ndani ya chama) ni rahisi zaidi kuheshimu utaratibu wa kutokishitaki chama kwani hata akufukuzwa hana cha kupoteza tofauti na mbunge au kiongozi wa chama.
Kipimo halisi cha uaminifu wa mtu ni wakati wa matatizo.
Zitto leo kaanza lakini ni swala la muda tu kabla wengine hawajarudia kutenda haya tunayoyaona leo kama madudu ya zitto.
Kwa hapa Tanzania makabila yenye uwezo wa kuendesha vyama vya upinzani na kupata mafanikio ni haya Chagga,Meru,Iraq/Mbulu,Kyusa,Kurya basi.Wengine wote maneno tu.Chadema bado inajengwa sasa unataka wasaliti waje kuongoza Chadema?
Hatuta muonea aibu wala huruma msaliti yoyote ndani ya ChamaNa amini kwamba ipo siku viongozi wa chadema watajiuliza ni wapi tulipo tofautiana. Sasa nadhani baada ya zzk kuondoka rasmi wengi wataanza kutafakali na kupata majawabu mtamfuata wengi subirini aingingie kitaa ni very talented mlitaka arudi kuvua Mikebuka kibilizi!
mashoga utayajua tu kwa matendo yako. ninauhakika wewe ungekuwa kule bara europa au amerika ungeshajitangaza siku nyingi sana. usithubutu hapa bongo maana watu hawachelewi kukutolea fatuwa.Sijazoea kushikishaga watu ukuta sasa nenda kwa wale wale uliowazoea
Baba hapo umechukulia maeneo ambayo Chadema ina wabunge tuu umeshindwa kuona kua kuna watu walipiga harakati kabla ya hayo makabila mf. WapembA na Wazanzibar tangu 1987 walipoanza kudai vyama vingi au uwezo wa kabila kuendesha chama unapimwa kwa kua CDM?
mashoga utayajua tu kwa matendo yako. ninauhakika wewe ungekuwa kule bara europa au amerika ungeshajitangaza siku nyingi sana. usithubutu hapa bongo maana watu hawachelewi kukutolea fatuwa.
Kukubali kitu kilichoko nje ya katiba ni ukiukaji wa katibaWale makamanda ambao akili zimehamia kwenye vigimbi hawawezi kukubali huu ushauri.
Kumbe wakati mwingine huwa unatumia akili zako?
Umejiuliza ni watanzania wangapi wenye uelewa kama wako?
Ni wangapi wenye uwezo wa kuchambua pumba na mchele?
Mtu asie na uwezo wa ku-reason akitajiwa alianza Mtei akafuaya Bob Makani na sasa Mbowe wote wakiwa ni wachaga ni rahisi sana kuamini hizo propaganda.
Tusiotoe mwanya wa watu kutengeneza propaganda.
Umejiuliza lakini ni kwanini Mtei alimwachia uenyekiti wa CDM Bob Makani ambaye ameoa dada yake na Mtei?
Vilevile umejiuliza ni kwanini Bob Makani alipoachia uenyekiti wa CDM alimuachia Mbowe ambaye ameoa binti yake na Mtei?
CDM smells like a family Company!!![/QUOTE
Mkuu umeongea ukweli kabisa,chadema ni chama cha ukoo.
Don't allow others to set the agenda for you. We must continue to put them on the defense. We must not take instructions from them. Yaani unashauri tumwachishe Mbowe kugombea tena uenyekiti kwa sababu tu za kikabila?
It is not possible to be a little bit pregnant. Aidha CDM ina principles always au haina at all.
Unaweza kuthibitisha kwamba mbowe alingofoa kipengele cha ukomo wa madaraka? Na isiwe habari za kusikia? na unajua hii katiba ya chadema ilipitiwa lin upya ?NO NO NO NO.
Kukubali kukosea sio weakness.
Mbowe kuondoa kipengele cha ukomo wa madaraka was a MASSIVE oversight in poor judgement. Pride ya kujifanya muda wote uko sahihi ni kosa lililoangusha majabali wengi sana duniani katika historia. Kama mbowe ni msomaji mzuri wa historia atakuwa analijua hilo.
Watanzania wanasubiri leadership kutoka CHADEMA, and so far ZITTO has the upper hand, kwani inaonekana amekubali kushindwa na kuachia ubunge bila kukata rufaa,the only way to neutralize this powerful card zitto has is for Mbowe to clarify that he will not seek for further chairmanship.
Akiendelea kung'ang'ania anapigia mstari madai ya Zitto na wenzie kuwa CDM Mbowe hatoi demokrasia kwa wengine.
Ukileta hadithi za Pricniple hata madikteta duniani waliua watu kwa kufuata principles. It's about right and wrong and these types of principles are just wrong. Keep hanging to them and CDM will be destroyed. Since you have people from inside CDM who are actively telling wrong things about CDM. It's not an easy position to be in and CDM are not used to it. CDM is used to attacking,not defence. for the past decade, they have always attacked what CCM does wrong, but have never been used to being told what they do wrong. This has made them complacent to their own blunders, and this is exactly what ACT will grow on, fixing CDM mistakes and providing meaningful opposition to CCM. you may not trust me, but this is a very powerful proposition.
Time will tell.