Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Una uhakika?
Acha kupotosha!
Mfuasi wa Zitto uko kazini..
Una uhakika?
Acha kupotosha!
Hatuta mvumilia msaliti yoyote ndani ya chamamkuu umekosea Jana alileta mtoto mmoja anaitwa Shardcole
Mhuu jamaa ni mkereketwa sana wa CDM fuatilia nyuzi zake za nyuma ni against ZZK ila amwakilisha kilicho mitaani.Leo vijiwe vya Mpira vinajadili Zipi sababu haswa za ZZK kufukuzwa uanachama
mkuu umekosea Jana alileta mtoto mmoja anaitwa Shardcole
Mhuu jamaa ni mkereketwa sana wa CDM fuatilia nyuzi zake za nyuma ni against ZZK ila amwakilisha kilicho mitaani.Leo vijiwe vya Mpira vinajadili Zipi sababu haswa za ZZK kufukuzwa uanachama
Chadema haihitaji wanachama wajinga wanaomezwa na Propaganda za Lumumba
Salary SlipKwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.
2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.
Propaganda zingine ni za msimu tu lakini sio hizi nilizoziongelea hapa.
Yangu ni hayo tu.
nimekuambia hivi ''uwe na mke wakumfanya nini wakati huko nyuma kumelegea? kila siku unafumuliwa marinda halafu unaandika kinyesi humu. pyuuuu!.''Naona unakumbuka yale unayofanyiwaga na fisi pale Lumumba kwenye vibuyu
Jiulize ni kwa nini leo katika uzi wako wa leo wanaokuunga mkono asilimia kubwa ni magamba?.Tusipojirekebisha ataandaliwa mwingine na atapita kulekule alikopita Zitto nae ataonekana kaonewa.
Watu tunaleta mawazo kuondoa hizo loophole alafu nyie wengine kazi yenu ni kupiga makofu tu na si kusaidia viongozi kimawazo.
Dawa ya msaliti ni kumuacha ajimalize mwenyewe na si kumwekea vipengele vya kumbana na kumfanya aanze kutafuta huruma nje ya chama na mwisho wa siku anaonekana kaonewa au chama kinaminya haki za watu.
Waacheni watu waende mahakamani na mwisho wa siku watajimaliza wenyewe.
Dawa ya msali si kumkomoa bali ni kumpa haki yake na hatimae atajimaliza mwenyewe.
Katika siasa ukipewa haki pasipo kuungwa mkono ni bure tu.
Mwanasiasa hakubaliki kwa kupewa haki zake za kikatiba n.k bali kwa matendo yake.
Salary Slip
Mkuu hivi unajua kilicho mpata Mrema Akiwa NCCR then TLP ?
hivi kweli tumesahahu kuwa Mrema alipelekwa mahakani na chama kikasimamisha shughuli na Ruzuku akikupewa na wakaacha kujenga Chama wakawa wanaangaika na kesi iliyopo Mhakani kuja kustuka uchaguzi huu hapa?
kweli kabisa na ukongwe wako hujuhi madahara ya Mahakama hziz kwa vyama vya siasa?
au unafanya makusudi na kupotosha?
pole sana kama kweli hujuhi ila kama unajua na unafanya makusudi basi hakika kazi ipo.
Mimi naumia sana kuona tunatoa mwanya kwa chama kuchafuliwa kwa mambo yanayohitaji marekebisho madogo tu.Jiulize ni kwa nini leo katika uzi wako wa leo wanaokuunga mkono asilimia kubwa ni magamba?.
Mpaka hapa bado hujapata jibu kuwa ulichokifanya siyo sahihi?.
Hata kama unaoni ni sahihi kufanya hiki ulichokifanya huoni kuwa umekileta mahali ambapo sipo penyewe? huoni kuwa unampa faida mpinzani wako badala ya kukisaidia chama chako?.
Je kuna tofauti gani na kutoa siri za chumbani kwako,siri ambazo mungeweza kuzimaliza chumbani na mkeo bila mtu yeyote kujua kuwa mlikuwa mmetofautiana na mkeo?.
Sijazoea kushikishaga watu ukuta sasa nenda kwa wale wale uliowazoeanimekuambia hivi ''uwe na mke wakumfanya nini wakati huko nyuma kumelegea? kila siku unafumuliwa marinda halafu unaandika kinyesi humu. pyuuuu!.''
Hata partner wako alisema atakuwa wamwisho kuondoka chadema lakini ndio amekua wakwanza punguza kuwa double agentMimi naumia sana kuona tunatoa mwanya kwa chama kuchafuliwa kwa mambo yanayohitaji marekebisho madogo tu.
Inaumiza sana kuona hutuwi wepesi wa kurekebisha kasoro ndogo ndogo na badala yake tunawapa watu faida.
Kwa mfano,kuna ugumu gani wa kurudisha kipengele cha ukomo wa uongozi?
Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini waasisi wa chama waliweka kifungu hicho katika katiba?
Je,katika siasa hizi za ushindani wa vyama vingi ilikuwa ni sahihi kuondoa kifungi hiki?
Sisi tunaotaka kushika dola tunapaswa kuwa kioo ili kuwapa wananchi imani waweze kutuamini na tusiruhusu mambo madogomadogo kama haya yakatupunguzia credibility.
Sawa lakini ulipoleta hapa ndio mahali pake?.Mimi naumia sana kuona tunatoa mwanya kwa chama kuchafuliwa kwa mambo yanayohitaji marekebisho madogo tu.
Inaumiza sana kuona hutuwi wepesi wa kurekebisha kasoro ndogo ndogo na badala yake tunawapa watu faida.
Kwa mfano,kuna ugumu gani wa kurudisha kipengele cha ukomo wa uongozi?
Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini waasisi wa chama waliweka kifungu hicho katika katiba?
Je,katika siasa hizi za ushindani wa vyama vingi ilikuwa ni sahihi kuondoa kifungi hiki?
Sisi tunaotaka kushika dola tunapaswa kuwa kioo ili kuwapa wananchi imani waweze kutuamini na tusiruhusu mambo madogomadogo kama haya yakatupunguzia credibility.
Pamoja na hayo,usitarajie kuna mbunge atakaekubali kufukuzwa bila kukimbilia mahakani.Tatizo ni kwamba,hakuna ubunge bila chama na ndio maana tuna wabunge kadhaa wa mahakama.
Hata Mwigamba na Kitila wangekuwa wabunge nao wangekimbilia mahakamani kulinda vibarua vyao.
Hili jambo ni gumu kuliepuka na litaendelea kuwepo tu.Leo ni Zitto lakini usishangae kesho na keshokutwa kuonao mwingine anakwenda mahakamini.
Nani atakubali kupoteza ubunge wake ili hali akijua mahakama inaweza kumsaidia?
Simuungi mkono Zitto ila hili jambo litaendelea kutusumbua kila siku iwe CHADEMA,CCM,,CUF,NCCR n.k.
Hii sheria imekaa pabaya kwa vyama vya siasa kama jinsi ugonjwa wa ukimwi ulivyokaa pabaya kwa binadamu.
Tukubaliane tu na matokea ya sheria hii hata kama ni mabaya kwani hayaepukiki hasa kwa wabunge wanaotaka kufukuzwa katika vyama vyao.
Toka lini mfuasi wa zana za kilimo akawa na akili kubwa?Dah, salary slip unadhani wewe ni mjanja sana wanaCDM wasiyaone hayo unayoyasema? Tangu lini uongozi ukapatikana kwa ukabila? Akili ndogo haiwezi ongoza eneo kubwa!
Toka lini mfuasi wa zana za kilimo akawa na akili kubwa?
Mkuu kwa hiyo huyu asikanyage ufipa?