ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,052
- 6,197
Anaikomboa nchi kutoka ukoloni wa mweusi mwenzetuHuyu jamaa tukimchagua kazi yake itakuwa kupita tu mitaani akiimba Uhuru na Maendeleo😂😂 maana pamoja na story zake tamu hasemi yeye atafanyaa nini tukimpatia nchi.